CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

Wewe wasemaje, Je, CDM wanakubalika au hawakubaliki?. Kama ukisema hawakubaliki, nakushauri leo nenda kamuone daktali haraka sana. Unaonyesha kuwa na tatizo la ubongo ambalo limesababisha unaona wala huoni, unasikia wala husikii, unaambiwa wala huelewi. ukichelewa kwenda hospitali unaweza kwenda milembe muda wowote.
 
Vp Operation Sangara ilifia wapi? sasa mumekuja na operation ya nne.

Huku Dar mumeingia choo cha kike, sio kila mtu ni MMASAI.
Labda mngekuja na operation vua pweza.

Acha ubaguzi Wa kikabila mpumb...,,,vu mkubwa we.
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

acha papara kijana siasa haiko hivyo! Mbona unalazimisha mambo wakati ukweli unaujua! Tulia basi kama hauna cha kuandika. Halafu punguza jazba. Siasa hailazimishwi hivyo kijana jitahidi kusoma nyakati, inawezekana ulikurupuka kuleta nyuzi hapa maana huku hatukurupuki. Tafakari sasa ulichokiandika kinaendana na ulichokiona!
USHAURI:
Pima fikra zako kabla hujazileta humu.
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa 1. vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

2. Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na 3. mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa 4. yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

1. Mnasema vijana mia mbili wakija wazee na watu wa makao je?
2. Sinza ni kubwa taja eneo na ukumbi gani walifanyi
3. taja jina la huyo mtu kama kweli amejulikana
4. Nyie ndio polisi siku hizi mnakamata, mnahoji na kutoa adhabu?
NB: mkiambiwa vile vifo vya arusha na mwanza na kwingineko vya wanachama wa CDM CCM inahusika moja kwa moja mtakataa??
 
Back
Top Bottom