Mnyalu-DSM
Member
- Oct 2, 2011
- 90
- 16
Mkuu kama kuvua gwanda ni usanii si utulie tu!!.Unaumia nini?.
Wanatumia mbinu za wale wachungaji wanaojidai kuponesha vilema, kila mkutano vilema wanatupa magongo lakini vilema tuwajuao wote hatumuoni hata mmoja akipona.
Janja sana hii chungaji.
habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa chadema wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za ccm wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-ccm ambao wataikana ccm hapo kesho katika viwanja vya jangwani.
Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaccm wanaoikana ccm. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya vua gamba vaa gwandwa
sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!
Au Kama wale mashehe wanaokuja na kichane cha ndizi kwenye hitma kwaajili ya kutafunia pilauWanatumia mbinu za wale wachungaji wanaojidai kuponesha vilema, kila mkutano vilema wanatupa magongo lakini vilema tuwajuao wote hatumuoni hata mmoja akipona.
Janja sana hii chungaji.
Siku zote mimi huwa nakuwa fair. Tatizo CDM huwa hampendi kukosolewa.
Hapo ukileta kejeli zako za mitandaoni utaangushiwa kipigo mpaka ufanane na hiyo avatar yakoTuwe na subira tu. Yamebaki masaa machache sana. Na mimi nitajitahidi niwepo Jangwani ili nishuhudie matukio yote.
Uzushi mwingine!!! Hauhitaji hata chembe ya elimu ili kuweza kuubaini. Kama huu uliotolewa kwenye thread hii ni mfano hai.Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.
Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya vua gamba vaa gwandwa
Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Au Kama wale mashehe wanaokuja na kichane cha ndizi kwenye hitma kwaajili ya kutafunia pilau
Tusubiri hiyo kesho, kitu kama hiki kikitokea then, tutarudi hapa kulijadili hili suala. Kwa sasa naona tukae kimya tu kusubiri!
Mkuu Hans79 nimekufanyia nini tena? Au unafikiri mImi gamba mwenzako Pambaf wewe!!!!Chupi za vip zinawachanganya sana mnazivaa za nini? nani kakulazimisha mzinunue? au mlipewa na mbunge wenu wa Mtera!
Tusubiri hiyo kesho, kitu kama hiki kikitokea then, tutarudi hapa kulijadili hili suala. Kwa sasa naona tukae kimya tu kusubiri!
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.
Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya vua gamba vaa gwandwa
Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!
ccm inavopenda sifa, labda sijui, si ajabu itasomeka kwny baadhi ya magazeti ya kesho.Hizo tshirt wangezionyesha hapa na huyo organizer wangempiga picha na kutuambia jina lake. CHADEMA naturally imeshakiweka CCM pabaya hiyo mikakati wangefanya Chama kingine na sii CHADEMA ambayo wote waliopevuka akili wanaikimbilia