Cameron: Kikwete kakubali maharamia wa kisomali kushtakiwa TZ!

Imeandikwa usiogope. Watanzania tuacheni uwoga. Jumuia ya E A tunaogopa, maandamano tunaogopa. Mnataka nini ss?
 
ebooo!!! Yanachimbwa wapi hayo mafuta hapa bongo? Tupe data kamili, usilete porojo mazee!!

Porojo zinapatikana TBC1 kwenye Chereko.
Njoo Mtwara utawakuta wanaume wanachimba wese na kupeleka kwao. Kule hakuna mlinzi wa kibongo, wanalinda wenyewe wamarekani na wabrazil.
Wako bahari ya hindi karibu na kisiwa cha mafia. Kwani mwenzetu unaishi Lesotho??? au ndo TBC ishakumaliza??
 
Hiyo ni kutoka kwa mkutano wa London. Sasa tukae mkao wa kuliwa na ma Al shabab.
Hivi Ben yupo wapi kumfundisha huyu jamaa kusema "NO"?
Source - Al Jazeera news/English

Mkuu hivi ni both Alshab na pirates au ni pirates tuu? Tuepuke kupotosha watu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri masuala ya Jumuiya ya Madola, Umoja wa Mataifa na Afrika na Mazingira (Parliamentary Under Secretary responsible for Africa, United Nations, economic issues,conflict resolution,and climate change) wa Uingereza Bw Hendry Bellingham wakishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernad Membe akiweka saini sambamba na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo mbili juu ya taratibu za kukabadhiana watuhumiwa wa uharamia na mali zilizokamatwa katika matukio ya uharamia katika bahari kuu leo February 23, 2012 Lancaster House,London. Picha na IKULU

mk4.jpg


mk3.jpg


mk1.jpg


mk2.jpg
 
Could you please stop politicising this global topical issue of immense international concerns by reducing its actual magnitudes into some petty and myopic vendettas Gamba la Nyoka?

For your information, Rostam Aziz and a number of his home-grown cohorts saw this coming long enough and with a kind of an unusual supersonic speed to deliver justice to their door-steps sooner than later.

And so was his itching to relocate the syphoned taxpayers' money of Tanzania to safer territories of choice before finally politically hybernating in a totality of the finest meaning of the word.

For now mkuu, let me tell you, there is ONLY one choice here ...

... a total Freedom from the claws of Terrorist networks wherever they are; including these home-grown pockets let by Rostam Aziz in our own backyards and stealing of our uranium into wrong and dangerous hands.

No more sactuaries and safe-heavens to exploit; not even the fast-mushrooming Kariakoo area sky-crappers. And it serves as a big bang warning to the ilks around before it is too late - why put people to live under costant fear????

Mzee nilienda BC kusoma ngeli kidogo ila kwa hapa sijaelewa mantiki yako. Maneno yanaeleweka kidogo ila mantiki sijaipata.
Dadavua kwa upana zaidi labda ntakuelewa.
Kwa Tanzania, constant fear to people inaletwa na serikali ambayo RA alishiriki kuiweka madarakani.
 
unaitwa Zing wala sihitaji kubishana na wachina wazee wa bidhaa bandia ( hoja bandia)
Tushaona wanaojifanya wajanja kama wewe wananunua bidhaa kwa bei tena mbaya kwa kufuata label ya made in Germany kumbe made ni ile neno made in tu ndio la germany vingine vyote kuanzia kasha mpaka vifaa vya ndani ni china.... Upo hapo?????? Uzembe wako wa kotugundua au kutambua standards za Qulity usikufanye uadhani Quality ina uhusiano na nchi. Mnaibiwa sana watu kama ninyi.......

TUrudi kwenye mada
 
wewe jamaa ni mgeni una mambo. Hapa Jf utaonekana wa maana kama utajenga hoja,, matusi yatatufanya kuhoji weredi na uwezo wako kichwani.

wewe jamaa ni mgeni una mambo. Hapa Jf utaonekana wa maana kama utajenga hoja,, matusi yatatufanya kuhoji weredi na uwezo wako kichwani.
Sijui kwa nini watu wanapenda matusi! Tutaijenga JF kwa hoja na si vioja. Watu wanatukana wakidhani hawajulikani. Juzi kulikuwa na thread iliyokuwa inaongelea anonimity ya members wa JF ikabainika kwamba ni rahisi mtu kujulikana basi niliona wachangiaji wakiweweseka. Tunatakiwa tuchangie responsibly bila matusi.
 
Hiyo Habari Haipo kwenye News zozote; hata Al-Jazeera siioni habari hiyo...

Unaweza kutusaidia; kutupa More Info??
 
Mkuu hivi ni both Alshab na pirates au ni pirates tuu? Tuepuke kupotosha watu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri masuala ya Jumuiya ya Madola, Umoja wa Mataifa na Afrika na Mazingira (Parliamentary Under Secretary responsible for Africa, United Nations, economic issues,conflict resolution,and climate change) wa Uingereza Bw Hendry Bellingham wakishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernad Membe akiweka saini sambamba na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo mbili juu ya taratibu za kukabadhiana watuhumiwa wa uharamia na mali zilizokamatwa katika matukio ya uharamia katika bahari kuu leo February 23, 2012 Lancaster House,London. Picha na IKULU

mk4.jpg


mk3.jpg


mk1.jpg


mk2.jpg

Kwa nini wasitumie ICC yenye infastructure za kudumu na waliyounda kushghuikia matatizo kama haya , Au ICC ni kwa ajili ya wanasiasa kama kina Tylor, Omar ali bashir na Kina uhuru kenyata.?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Taarifa hii haijakamilika japo great thinkers watairukia na kuanza kutoa maoni bila kujali ina mapungufu. Haiko kamili kaitoa wapi?

Cameron alirushwa live na Al jazeera mkuu. Ametaja Tz na kanchi kengine kamenitoka
 
We Cameron huyo Kikwete sio mtu wa kumwamini, achelewi kumluka cameron, muulizeni Pinda, Makinda alivyo waruka sakata la Posho.
 
Kwa nini wasitumie ICC yenye infastructure za kudumu na waliyounda kushghuikia matatizo kama haya , Au ICC ni kwa ajili ya wanasiasa kama kina Tylor, Omar ali bashir na Kina uhuru kenyata.?

Article 5 of the Rome Statute grants the ICC jurisdiction in four groups of crimes. These are the crime of genocide, crimes against humanity, war crimes and crimes of crime of aggression. Hapo sidhani kama piracy related crimes, fall within those crimes. One may ask why they cannot squeeze piracy crimes within the ICC jurisidction.

Well, just in June 2010, the ICC's first review conference in Kampala, Uganda many countries wanted to add terrorism and drug trafficking to the list of crimes covered by the Rome Statute, but countries were unable to agree on a definition for terrorism and it was decided not to include drug trafficking as this might overwhelm the Court's limited resources. Even India lobbied to include nuclear weapons and weapons of mass destructions as war crimes but this move was also defeated.

So, as it stands, piracy does not fall under the jurisdiction of the ICC, simply because it cannot be connected to the principles of the court, which mainly aims at international or national armed conflicts. There are also a lot of legal technical problems to bring piracy as an international crime under the jurisdiction of the ICC. The proposal has already been rejected and there is no chance that it will be included in it's statute in the near future.

The only solution for piracy lies in economic, political and socio-cultural change in Somalia. There are a lot of fishermen who go into piracy because the fishing grounds around Somalia are being exhausted by professional fishing fleets from all over the world. The economic and political instability of the country, which give leeway to corruption and the absence of any financial prospects also brings people into piracy.

Actually, we should not have the illusion that when you convict five Somali pirates here in Tanzania that this would prevent future piracy. Nobody in Somalia will know about the trial in Tanzania. The solution thus lies in economic and political change in Somalia, not using the criminal law of Tanzania.
 
Kwa nini wasitumie ICC yenye infastructure za kudumu na waliyounda kushghuikia matatizo kama haya , Au ICC ni kwa ajili ya wanasiasa kama kina Tylor, Omar ali bashir na Kina uhuru kenyata.?

sijaona sababu ya kikwete kuwepo hapo, mambo yote Membe alikuwa anamaliza hapo..jamaa anabana hadi kona..atleast huko nyuma angekuwa amepoa na cameron ningemuelewa.
 
Inawezekana maharamia wanatokana na Al-Shaabab?

Which means will indirectly be prosecuting and convicting Al-Shaabab members within our national courts? Whether ni maharamia au ni Al-Shaabab, hivi Kenya nao wamesaini mkataba kama huo au ni sie tuu? What do we get in return of doing so?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom