Cameron: Kikwete kakubali maharamia wa kisomali kushtakiwa TZ!

Tuwe wepesi wa kupima athari za kiusalama tusiwe wepesi wa kutupa lawama.

Nani anatuhakikishia kwamba kama el shabab hawatashitakiwa Tanzania usalama wetu ni 100%.
 
Kama hili ni kweli basi kuna hatari. Kwa nini wasishitakiwe huko Kenya, Ethiopia, Burundi ama Uganda ambao wana majeshi yao huko Somalia? Au hata huko Uingereza ama Marekani? Ni kweli Al shabab wanaiathiri Tanzania kwa njia mbalimbali lakini pia tunaweza kushiriki hiyo vita kwa njia nyingine nyingi tu badala ya TZ kuwa sehemu ambayo magaidi watakuja kushitakiwa. Magaidi hawatabiriki, wanaweza kulipiza kisasi.
 
Could you please stop politicising this global topical issue of immense international concerns by reducing its actual magnitudes into some petty and myopic vendettas Gamba la Nyoka?

For your information, Rostam Aziz and a number of his home-grown cohorts saw this coming long enough and with a kind of an unusual supersonic speed to deliver justice to their door-steps sooner than later.

And so was his itching to relocate the syphoned taxpayers' money of Tanzania to safer territories of choice before finally politically hybernating in a totality of the finest meaning of the word.

For now mkuu, let me tell you, there is ONLY one choice here ...

... a total Freedom from the claws of Terrorist networks wherever they are; including these home-grown pockets let by Rostam Aziz in our own backyards and stealing of our uranium into wrong and dangerous hands.

No more sactuaries and safe-heavens to exploit; not even the fast-mushrooming Kariakoo area sky-crappers. And it serves as a big bang warning to the ilks around before it is too late - why put people to live under costant fear????

hahaha
ALQAEDA=CIA PROJECT TO QONQUER THE MIDDLE EAST AND ARAB COUNTRIES
ALSHABAAB-CIA PROJECT TO QONQUER THE HORN AND EAST AFRICA
BOKO HARAM=CIA PROJECT TO QONQUER WEST AFRICA
COLUMBIAN REBELS AND MEXICO DRUG CARTELS= CIA PROJECT TO KEEP SOUTH AMERICA IN CHECK.

WE ARE SLOWLY INVITING THE AMERICANS, THE ENGLISH INTO OUR OWN SOVEREIGN DECISION BODIES, SLOWLY THEY WILL ACCESS OUR JUDICIARY, OUR MILITARY THROUGH SO CALLED MILITARY TRAINING.

JK BETTER WATCH ON THIS!!!!
 
Suala la somalia ni la Dunia yote havi sasa sio la kikwete wala somalia yenyewe ni vema tungepata mjadala wa kina ulivyokwenda hadi nchi yetu imekubali lakini pia Waziri wetu wa mambo ya nje akitoka huko atupe taarifa kwa nini tumefikia uamuzi huo. faida zake na hasara zake. Tuwe na subira JF.

Hapa Tanzania tumeshapokea matishio kadhaa ya El shabab na vyombo vyetu vya ulinzi vilitangaza kukaa tayari kwa kulinda usalama wetu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kama hili ni kweli basi kuna hatari. Kwa nini wasishitakiwe huko Kenya, Ethiopia, Burundi ama Uganda ambao wana majeshi yao huko Somalia? Au hata huko Uingereza ama Marekani? Ni kweli Al shabab wanaiathiri Tanzania kwa njia mbalimbali lakini pia tunaweza kushiriki hiyo vita kwa njia nyingine nyingi tu badala ya TZ kuwa sehemu ambayo magaidi watakuja kushitakiwa. Magaidi hawatabiriki, wanaweza kulipiza kisasi.

Tanzania iko mbali zaidi na somalia kiusalama kwa magereza kukaa mbali na somalia.
 
Hiyo ni kutoka kwa mkutano wa London. Sasa tukae mkao wa kuliwa na ma Al shabab.
Hivi Ben yupo wapi kumfundisha huyu jamaa kusema "NO"?
Source - Al Jazeera news/English

Kama kweli Motive behind ya kuridhia ni misaada and nothing else.
 
katika maamuzi hayo alimshirikisha Mtanzania hata 1? Isijeikawa anajiamulia leo yeye mwenyewe kikinuka anakimbilia hk kwa cameroon anatuacha wa tz tukilizwa
 
Could you stop politicking this issue of immense international concerns Gamba la Nyoka? Let me tell you, there is ONLY one choice here ...

... a total Freedom from the claws of Terrorist networks wherever they are; including these home-grown pockets let by Rostam Aziz in our own backyards and stealing of our uranium into wrong and dangerous hands.

Maneno ya hekima.
 
Tuwe wepesi wa kupima athari za kiusalama tusiwe wepesi wa kutupa lawama.

Nani anatuhakikishia kwamba kama el shabab hawatashitakiwa Tanzania usalama wetu ni 100%.

Mama Porojo it is one thing to be a football fan and to be a football player. Au wanatafuta sababu za kufuta "maandamano na kuhimiza "matembezi ya mshikamano".
 
Usalama wetu uko mashakani hatuwezi kujitoa kwamba tukijitenga ndipo tutakuwa salama. Meli yetu ilishawahi kutekwa na watanzania kadhaa. El shabab wamechangia sana kupandisha bei ya mafuta kutokana na meli nyingi kukataa kufika pwani ya Afrika mashariki na Meli zinazokubali kupita bima imepanda bei endapo zitapata msukosuko.

Sina hakika kama Jk kakubali lakini tuna nafasi ya kutafakari kwa kina. Jambo hili linahusu usalama sio siasa.

Mama Porojo sitaki kukulaumu maana jina lako linatoa ujumbe kamili wa uwezo wako wa kufikiri.
1. Jambo la usalama tokea lini likapiganiwa na JK? Mwakyembe anakufa tunamuona na bosi wake yuko kimya, hao usalama (IGP na manumba) wanacheza sarakasi tu.
2. Hivi sasa huko Songea kuna wananchi wake wanapigwa mabomu na risasi za moto na askari wake
3. Mbeya mjini walipigana mpaka askari wakakimbia
4. kama kuna sehemu ameonekana JK ni mgumu wa kuwatetea wananchi wake ni kwenye mgomo wa madaktari, mpaka leo hajasema lolote
mafuta yanachimbwa nchini kwetu na yanachukuliwa na wamarekani na wabrazil, hapo alshabab wamepandishaje bei?? mikataba mibovu anayosaini Ngeleja kila siku ndo inatuumiza.
mifano ni mingi ila kwa hili la kuwaleta Alshabab washitakiwe kwetu wakati madhara yanapatikana Kenya, Ethiopia na SOmalia penyewe ni kukaribisha janga jipya.
Kwanza nchi yetu ina maslahi mengi ya wamarekani na waingereza (madini, mafuta na sasa mji wa kigamboni unakuja,etc) na hawa jamaa na adui wakubwa wa Al Qaeda ambao wamejiunga na Alshabab, sasa hapa si tunajiletea magaidi kwa kasi zaidi???
CCM naona mmedhamiria kuikabidhi nchi yetu kwa mafisadi na sasa mnatupeleka kwa magaidi kwa ARI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI.
 
Tanzania iko mbali zaidi na somalia kiusalama kwa magereza kukaa mbali na somalia.
Mkuu Tanzania haiko mbali na Somalia. Unalijua jina la Msemaji wa Al shabab? Kama unalijua basi ni hakika unajua Tanzania haiko mbali na Somalia. Unawajua wamilki wa hotel za kitalii za bagamoyo? Kama unawajua basi utaona Tanzania haiko mbali na Somalia. Tafakari
 
katika maamuzi hayo alimshirikisha Mtanzania hata 1? Isijeikawa anajiamulia leo yeye mwenyewe kikinuka anakimbilia hk kwa cameroon anatuacha wa tz tukilizwa

Hata kwa akili ndogo tu kabla ya uamuzi huo Jk atakuwa alikaa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama na kuomba ushauri wao bila shaka ndio wamemshauri hivyo.

Maombi haya sio mageni tukumbuke huko nyuma media ilitueleza kuwa Jk alikataa bila muda unavyozidi kwenda Elshabab wanazidi kujimaarisha na kuhatarisha usalama wa pwani ya afrika mashariki na nchi zake.
 
Suala la somalia ni la Dunia yote havi sasa sio la kikwete wala somalia yenyewe ni vema tungepata mjadala wa kina ulivyokwenda hadi nchi yetu imekubali lakini pia Waziri wetu wa mambo ya nje akitoka huko atupe taarifa kwa nini tumefikia uamuzi huo. faida zake na hasara zake. Tuwe na subira JF.

Hapa Tanzania tumeshapokea matishio kadhaa ya El shabab na vyombo vyetu vya ulinzi vilitangaza kukaa tayari kwa kulinda usalama wetu.

Tanzania as far as I know haijawahi kuwa katika tishio la Al Shaabab. Kilichowahi kusemwa hapa ni moja tu ya propaganda za CCM katika kuzuia wananchi kupata haki yao ya kikatiba ya kuandamana. Ni zile habari za kiintelijensia za kuona tishio la Al Shaabab kwenye maandamano ya wanaharakati lkn tishio lisiwepo katika mechi zilizochezwa National Stadium timu ya Kenya ikiwapo ilhali majeshi ya Kenya yanapambana na Al Shaabab.

Sikanushi kwa niaba yako lkn, kwani jambo lenyewe linahitaji tafakari kulielewa maana siasa ipo ndani yake
 
Suala la somalia ni la Dunia yote havi sasa sio la kikwete wala somalia yenyewe ni vema tungepata mjadala wa kina ulivyokwenda hadi nchi yetu imekubali lakini pia Waziri wetu wa mambo ya nje akitoka huko atupe taarifa kwa nini tumefikia uamuzi huo. faida zake na hasara zake. Tuwe na subira JF.

Hapa Tanzania tumeshapokea matishio kadhaa ya El shabab na vyombo vyetu vya ulinzi vilitangaza kukaa tayari kwa kulinda usalama wetu.

NCHI YETU HAINA VYOMBO VYA ULINZI, INA VYOMBO VYA UUUAJI. Ukienda polisi kutoa taarifa ya tukio, kama muhusika anakuzidi hela ujue kesi inageukia kwako. Sasa Alshabab na vyombo vyetu vya ulinzi wanatofautiana nini??
 
Mkuu Tanzania haiko mbali na Somalia. Unalijua jina la Msemaji wa Al shabab? Kama unalijua basi ni hakika unajua Tanzania haiko mbali na Somalia. Unawajua wamilki wa hotel za kitalii za bagamoyo? Kama unawajua basi utaona Tanzania haiko mbali na Somalia. Tafakari

UMBALI NINAOZUNGUMZIA NI KULINGANISHA NA KENYA, UGANDA NA ETHIOPIA kwa mujibu wa jamaa hapo juu. Tanzania iko nafuu japo nakubaliana nawe kwamba sio mbali kwa mashambulizi ya El shabab.
 
Hii taarifa kama ni kweli itakuwa hatari sana kwa usalama wa tanzania ya watu waliostaarabika
 
Tuwe wepesi wa kupima athari za kiusalama tusiwe wepesi wa kutupa lawama.

Nani anatuhakikishia kwamba kama el shabab hawatashitakiwa Tanzania usalama wetu ni 100%.

Kwa hiyo kwa akili yako ya jikoni, unaona kuwa unakuwa salama zaidi dhidi ya mbwa wa jirani kwa kumrushia mawe zaidi ya kumuacha apite zake?

Kwa hiyo wewe kwa akili yako unaona wakishtakiwa Tanzania ndio tutakuwa salama!
 
Ndio maana watanzania hawataki kujiunga na OIC!

Naamini wazazi wako wangeona haja ya kukupeleka jandoni tusingekuwa na shida hii, lkn kwa kuwa siku hizi tohara inafanyika hospitali haya ndiyo madhara yake. Ukiona wakubwa wanajadili jambo basi mchango wako uwe ni ukimya wako, ****!
 
Back
Top Bottom