Mabwepande
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 230
- 51
Big mistake wamefanya. Halafu angalia Wanavyokenua utafikiri wamefanya jambo la maana.
Mbadili jina la nchi muite msaada au matonya.Tunanajijengea taswira nzuri mbele ya jamii ya kimataifa ili tuendelee kupata misaada
hapa DAR si tutakufa? Ee mola
MamaPorojol acha hizo ni porojo tuchanzo cha taarifa yako hakieleweki tutajuaje kama ni porojo. Ni wapi umepata taarifa hizi?
chanzo cha taarifa yako hakieleweki tutajuaje kama ni porojo. Ni wapi umepata taarifa hizi?
chanzo cha taarifa yako hakieleweki tutajuaje kama ni porojo. Ni wapi umepata taarifa hizi?
Ni kuwa maharamia wakishakamatwa wataletwa hapa kwetu kushitakiwa kwenye mahakama zetu na wakipatikana na hatia watufungwa kwenye jela zetu.. sasa sijui ni nani atakaye fund hizi mahakama na hizo jela!!Labda kuna kitu sijaelewa hapa!Hv hayo makubaliano ni kwamba hao maharamia watakuwa wanashitakiwa tu hapa nchini au shughuli zote za kuzuia uharamia tumepewa Tz?Kama ni kusikiliza kesi zao tu tena na watu wasiokuwa wa tz sidhani kama kuna haja ya kuhofia usalama wetu sisi raia tusiohusika!!
Ni kuwa maharamia wakishakamatwa wataletwa hapa kwetu kushitakiwa kwenye mahakama zetu na wakipatikana na hatia watufungwa kwenye jela zetu.. sasa sijui ni nani atakaye fund hizi mahakama na hizo jela!!
Kama kweli habari za tanzania kukubali kuweka mahakama ya kiharamia (Al-shaab Tanzania) basi tunaelekea kubaya kiusalama. Rais Kikwete atakua ameiza nchi kutokana na sababu anazozifahamu yeye. Kwa mfano vyama vya upinzanoa vilipoomba vibali kufanya maandamano, wakuu wapolisi waliyazuia maombi yao wakidai kwamba al-shaab wangehatarisha usalama wa Raia. Iweje leo, tukubali kichwa kichwa kuleta mahakama ya alshabaab Tanzania? Maghaidi wangapi watakuja kutubomoa? Lawama moja kwa moja atatwikwa RAIS Kikwete................Maoni yangu tu