Cameron: Kikwete kakubali maharamia wa kisomali kushtakiwa TZ!

UMBALI NINAOZUNGUMZIA NI KULINGANISHA NA KENYA, UGANDA NA ETHIOPIA kwa mujibu wa jamaa hapo juu. Tanzania iko nafuu japo nakubaliana nawe kwamba sio mbali kwa mashambulizi ya El shabab.
Kama ni umbali basi Uganda ipo mbali kuliko TZ. Kama ni umbali basi wakashitakiwe kwa Cameroun. Hivi unajua kwa nini Cameroun aliitisha huo mkutano? Anataka Alshabab waangamizwe ili wasije wakasambaza ugaidi huko uingereza has ikizingatiwa kwamba kuna Wasomali wengi huko Uingereza. Cameroun anawaogopa sisi hatuwaogopi!
 
Kwa hiyo kwa akili yako ya jikoni, unaona kuwa unakuwa salama zaidi dhidi ya mbwa wa jirani kwa kumrushia mawe zaidi ya kumuacha apite zake?

Kwa hiyo wewe kwa akili yako unaona wakishtakiwa Tanzania ndio tutakuwa salama!

wanaweza kushitakiwa Tanzania tusiwe salama na wanaweza wasishitakiwe Tanzania pia tusiwe salama. Kupima usalama wetu kutatokana na taarifa za kiintelijensia zilizopo kwa wenzetu na sisi sio taaifa za hapa JF.

Inalipa kama hatuna taarifa za kutosha kuviamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama likiwemo JWTZ.
 
tatizo ni kingereza,
taarifa inasema
"Britain signed an agreement Thursday with Tanzania to handle suspected pirates captured by British vessels."

@kakakuona40, hapo kwenye blue: Kwa uelewa wako unaweza kutupa tafsiri sahihi ya hayo maneno hasa pale wanaposema 'handle'? Pengine wanamaanisha Tanzania kuwapa 'juice' how suspected pirates?
 
tatizo ni kingereza,
taarifa inasema
"Britain signed an agreement Thursday with Tanzania to handle suspected pirates captured by British vessels."
source: World - The Globe and Mail
Heee kumbe ni maharamia? Mimi nikidhani ni wale Alshabab watakaokamatwa huko Somalia wakati wa hizi operations zinazoendeshwa huko ikiwemo ya Wakenya ya Linda Nchi. Hiki kizungu kweli kizungumkuti.
 
Kama ni umbali basi Uganda ipo mbali kuliko TZ. Kama ni umbali basi wakashitakiwe kwa Cameroun. Hivi unajua kwa nini Cameroun aliitisha huo mkutano? Anataka Alshabab waangamizwe ili wasije wakasambaza ugaidi huko uingereza has ikizingatiwa kwamba kuna Wasomali wengi huko Uingereza. Cameroun anawaogopa sisi hatuwaogopi!

Nakubaliana na wewe lakini hofu ya Uingereza haitupunguzii hofu sisi kwa hali inavyokwenda hadi sasa. El shabab wanazidi kujitanua na kuvuka mipaka yake.

Kama leo tutakataa kuungana na jumuia ya kimataifa kesho tukipata msukosuko wa el shabab hakuna atakayekuwa tayari kutupa msaada.

Usalama wa dunia katika zama za utandawazi sio wa nchi moja. Usalama wa sasa ni nipe nikupe.
 
Kama ni umbali basi Uganda ipo mbali kuliko TZ. Kama ni umbali basi wakashitakiwe kwa Cameroun. Hivi unajua kwa nini Cameroun aliitisha huo mkutano? Anataka Alshabab waangamizwe ili wasije wakasambaza ugaidi huko uingereza has ikizingatiwa kwamba kuna Wasomali wengi huko Uingereza. Cameroun anawaogopa sisi hatuwaogopi!

Kwa mtazamao wangu uko sahihi

Hawa alshabab sio Threat kwa tanzania kiasi hicho kama ilivyo kwa UK. kama wasomali .usumbua wamesumbua Miaka mingi sana na wa ujangili na hatukupata msaada.

Sasa defence strategy na security strategy za Tanznaia inaonekana zina kidhi matakwa ya wakuu sio mahitaji yetu tanzania.

Miezi michache iliyopita wamrekani wametoa msaada wa boti ya kupatrol bahari hindi kwa JWTZ . Najiuliza ni lini watafirikia hata kutusaidia japo Ambulence helicopter walau moja. kusaidia kwenye majanga ya ajali na maafa kama mafuriko.

Wakati huo hakuna anayesema wala kutoa sauti kuhusu matukio ya uharamia kwenye ziwa Tanganyika na hata ziwa victoria sometime .....

Pale wizara ya fedha wameanzisha kitengo cha Financial inteegence unit. (FIU) Lakini kitengo hakina intellgence ya kumfatilia chege ambaye ufisadi wake unaeta madhara kwa watanzania bali kipo kuzuia na kumonitor pesa zinaweza kupeeka madhara USA na UK.
 
aksante mkuu kwa ufafanuzi maana tumevamiwa na ma great thinker wa 'kichina',hawajui tofauti kati ya al shabab na pirates!!

Kila kitu siku hizi ni ng'iiii ng'oooo akili za kichina tunazo hadi JF. Ndio tabu ya kula Bidhaa bandia hata akili inakuwa bandia
 
aisee, huyu jamaa yetu ni kama wale wanao-plegdge milioni kwenye vikao vya harusi huku hata ada za watoto hawana
 
Kwa mtazamao wangu uko sahihi

Hawa alshabab sio Threat kwa tanzai iasi hicho kama iivyo kwa UK. kama wasomai Kusumbua wamesumbua Miaka mingi sana na wa ujagili na hatukuata msaada.

Sasa defence strategy na security strategy za Tanznaia inaonekana zina kidhi matakwa ya waku sio mahitaji yetu tanzania.

Miezie michache iliyopita wamrekani wametoa msaada wa boti ya kupatrol bahari hindi kwa JWTZ . Najiuliza ni lini watafirikia hata kutusaidia japo Ambulence helicopter walau moja. kusaidia kwenye majanga ya ajali na maafa kama mafuriko.

Wakati huo hakuna anayesema wala kutoa sauti kuhusu matukio ya uharamia kwenye ziwa Tanganyika na hata ziwa victoria sometime .....

Pale wizara ya fedha wameanzisha kitengo cha Financial inteegence unit. (FIU) Lakini kitengo hakina intellgence ya kumfatilia chege ambaye ufisadi wake unaeta madhara kwa watanzania bali kipo kuzuia na kumonitor pesa zinaweza kupeeka madhara USA na UK.

ni wazo zuri lakini inahitaji thread tofauti kwa uchambuzi wa kina. mawazo mawili katika thread moja hatutapata hitimisho sahihi kwa mada iliyopo mbele yetu.
 
ni wazo zuri lakini inahitaji thread tofauti kwa uchambuzi wa kina. mawazo mawili katika thread moja hatutapata hitimisho sahihi kwa mada iliyopo mbele yetu.
Aksante sana

Mada gani ambayo ina hitimisho hapa JF.???
Nnaona unataka kuwafungia watu gavana kwenye bongo zao . Wewe chukua unayoweza kutafakari. then yakubali au yaponde kwa hoja . Yaache mengine . Nina uhakika nilichoandika kiko within scope ya thread.
 
Kwahiyo kakubali waislam wenzake waje wahukumiwe nchini mwake? Masaburi at work!!Hawa watoto waliovamia JF kero sana kwakweli yaani vitu vya msingi wanatanguliza Masaburi mbele!Aaagh!!

nchi yetu haina dini wala Rais wa dini moja.
 
Aksante sana

Mada gani ambayo ina hitimisho hapa JF.???
Nnaona unataka kuwafungia watu gavana kwenye bongo zao . Wewe chukua unayoweza kutafakari. then yakubali au yaponde kwa hoja . Yaache mengine . Nina uhakika nilichoandika kiko within scope ya thread.

unaitwa Zing wala sihitaji kubishana na wachina wazee wa bidhaa bandia ( hoja bandia)
 
Back
Top Bottom