Kwanza tujue majina then tuanze Majala .Lini watatangaza majina ama nayo ni Siri Kama kawaida yao?hizi kamati toka zianze kuundwa zina faida gani? zaidi ya kula posho tu? upuuzi mtupu.......
Kwanza tujue majina then tuanze Majala .Lini watatangaza majina ama nayo ni Siri Kama kawaida yao?
Kwanza tujue majina then tuanze Majala .Lini watatangaza majina ama nayo ni Siri Kama kawaida yao?
Ilihitaji kuwa na wana sharia zaidi kwani ndanimwe kuna mengi sana ya kisharia.
Katika List ya watu watakaohojiwa mbona katibu mkuu wizara ya nishati na madini ndg. Maswi hayumo?
Huyu si anasemekana yeye na waziri wake wote walitoa tuhuma za rushwa, sasa kwanini spika hakuona umuhimu wa yeye pia kuhojiwa na kamati aliyoiunda?
Allowance ni 4Mil per day msichekelee tu ni kiziba mdomo na hakuna kitakachofanyika. Watakumbushana tu "Unakumbuka ule mzigo niliokutumia mwezi wa 4? Nusu ilikua mgao wa hili jambo unaloniulizia".......
Taarifa: Hakuna ufa wa RUSHWA! Tanzania kama kahaba, haina msimamo hata kidogo.
Afadhali hata kahaba ambaye ana msimamo kwamba 'Haachi chochote kinachokuja mbele yake'.
Not this guy for heaven sake!