Bungeni: Kamati ya kuchunguza tuhuma za rushwa yaundwa

"utabiri" wangu ni kwamba "kamati imebaini kuwa mehshimiwa Tundu Lissu amesema uwongo dhidi ya wabunge wenzake wanaotuhumiwa kwa rushwa hivyo Lisu achukuliwe hatua za kinidhasmu ndani ya bunge na pia aliowatuhumu wamchukulie hatua za kisheria kwa kuwachafua na kuwavunjia heshima mbelle ya jamii na pia kamati imegundua kuwa tuhuma za rushwa dhidi ya wabunge ni za uwongo na zilkuwa na malengo ya kuwachafua kisiasa" Another silly season!
 
Ulaji huo 4mil\5=800.000 per person perday this is onother corrupt au Ndio Yale matumizi mengineyo? Nahamia Somalia Mimi I'm seek and tired of this poor govt I'll rather be a slave somalia than being a resident I'n this he'll corrupt country, we need our tanganyika back
 
Sina na iaman na kamati yenye chiligat watakuja na jibu kuwa zito hafai but ukweli haubadlki ata ukipakwa rangi
 
Kweli hii ni nchi ya ajabu! Kwa ishu kama hii, kwa nchi makini, ni police/Takukuru issue wala si ya kuiundia Kamati, Lakini maadam wanataka kuhalalisha ulaji wa pesa na kutusahaulisha basi waendelee.
 
Katika List ya watu watakaohojiwa mbona katibu mkuu wizara ya nishati na madini ndg. Maswi hayumo?
Huyu si anasemekana yeye na waziri wake wote walitoa tuhuma za rushwa, sasa kwanini spika hakuona umuhimu wa yeye pia kuhojiwa na kamati aliyoiunda?
 
Kwanza tujue majina then tuanze Majala .Lini watatangaza majina ama nayo ni Siri Kama kawaida yao?

Mkuu Lunyungu hujaona link imetolewa?
Majina yenyewe ni haya hapa;
1. Brig. Gen. Hassan Ngwilizi
2. Capt. John Chiligati
3. Riziki Omar Juma
4. Mh. Said Amour Arfi
 
Last edited by a moderator:
Hivi jamani labda tujuzane kidogo, nini nafasi ya kamati hizi kwa mahakama au PCCB? je PCCB inaweza kutumia ushahidi wa kamati hii kama imewatia hatiani wabunge hawa nayo iwezde kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria? Vinginevyo hizi hazina tija kwa taifa
 
Ilihitaji kuwa na wana sharia zaidi kwani ndanimwe kuna mengi sana ya kisharia.
 
Katika List ya watu watakaohojiwa mbona katibu mkuu wizara ya nishati na madini ndg. Maswi hayumo?
Huyu si anasemekana yeye na waziri wake wote walitoa tuhuma za rushwa, sasa kwanini spika hakuona umuhimu wa yeye pia kuhojiwa na kamati aliyoiunda?

Mkuu hapa ndipo nastukia dili ya Anna Makinda na genge lake. Katibu Mkuu ni mtu muhimu ktk uchunguzi huu. Ndiye alipindisha mchakato wa tenda. Jambo ambalo linaonyesha kulikua na jambo jingine nyuma ya maslahi ya taifa.
 
Allowance ni 4Mil per day msichekelee tu ni kiziba mdomo na hakuna kitakachofanyika. Watakumbushana tu "Unakumbuka ule mzigo niliokutumia mwezi wa 4? Nusu ilikua mgao wa hili jambo unaloniulizia".......

Taarifa: Hakuna ufa wa RUSHWA! Tanzania kama kahaba, haina msimamo hata kidogo.

Afadhali hata kahaba ambaye ana msimamo kwamba 'Haachi chochote kinachokuja mbele yake'.
 
Hivi kama kila taasisi ikajijengea desturi ya kujichunguza yenyewe, TAKUKURU watamchunguza nani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom