Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

Nisaidie mimi binafsi nielewe vizuri. Mleta mada kasema 'inasemwa' nape kasoma pale kati ya 1998 na2000. Wewe unazungumzia kituo cha private candidate. Nilivyoelewa hujajibu hoja ya mleta mada, bali umekuja na hoja mpya kwamba nape alifanyia mtihani pale kama private candidate. Hebu njoo na ufafanuzi p'se.
Private candidate wanafundishwa pake kama tution wakijiandaa na mitihani
 
Wasomi wengi wa kanisa wapo hivyo, hapo wamekaa tuh kusubiri nafasi waibe,hawana tija na Taifa hili
 
Hii imenikumbusha wakati fulani, kuna yule bwana sijui anaitwa Msemakweli alitengeza kabisa kitabu cha watu mashuhuri aliowaita wana vyeti vyenye mashaka.
 
Kinachotambulika ni Kituo ulichofanyia mtihani

Uwage unaelewa na wewe!
Sikuona kwenye maelezo ya wasifu wa waziri huyo kuihusisha TTC kuwa kituo cha kufanyia mtihani.
Haya maswali nayaelewa vizuri sana mkuu 'johnthebabtist', maisha yangu kwa kirefu chake yametumika huko.
Tanzania tumeporomoka sana kama viwango tunavyojivunia sasa ni vya hawa akina Neppy. Hawa ndio wanaowaharibia na wengine wenye sifa sahihi kielimu.
 
Je,chadema ni kama nyumbu?

Butimba TCC (Tanzania Cigartte Company au TTC (Teachers' Training College)?
Yaani hujui maana ya PC?
Kenge wewe.
Hata hivyo tunahitaji watu wenye akili zaidi na siyo wenye mavyeti zaidi.
Bahati mbaya Nape Hana vyote, akili zero na cheti Hana.
 
Back
Top Bottom