Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

We wish to inform loan applicants that we have extended the deadline for online loan application for ten (10) days from September 1st – 10th, 2020. All applicants are advised to observe and complete their online applications within the extended time.

(Tunapenda kuwajulisha waombaji wa mikopo kuwa muda wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao umeongezwa kwa siku kumi (10) kuanzia Septemba 1 – 10, 2020. Waombaji wote wanashauriwa kukamilisha maombi yao ndani ya muda ulioongezwa).

Imetolewa na:

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu

DAR ES SALAAM

Jumatatu, Agosti 31, 2020
 
Muingo Huyo.. Aweke source basi
Screenshot_20200831-183039.png
 
Wakuu nipo namwombea Dogo kote nimeshajaza ila kila niki-upload picha yake inasema “the file you are attempting to upload is not allowed” shida nini.?
 
Wakuu nipo namwombea Dogo kote nimeshajaza ila kila niki-upload picha yake inasema “the file you are attempting to upload is not allowed” shida nini.?
Hatua za ujazaji wa fomu ya mkopo online iko very technical, cyo kila mtu anaweza kujaza kwa ufasaha wake.Inabidi uwe umefanya hiyo process several times.Unaweza kuhisi umejaza vzr kwa hatua zote,lakini cku ya ku release majina ya waliokosea ukajikuta.Ndiyo maana wapo wanaofanya hizo kazi miaka yote,hivyo wana uzoefu wa kutosha.Watumieni hao watu...!
 
Msaada wakuu barua ya kusimamisha jina lako TCU Kama uliomba mwaka Jana na aukwend unataka unde mwaka huu mbon barau Amana za kutuma ili wakusitishe mwenye taharifa zozote kuhusu Jambo Hilo atuambie
 
Msaada wakuu barua ya kusimamisha jina lako TCU Kama uliomba mwaka Jana na aukwend unataka unde mwaka huu mbon barau Amana za kutuma ili wakusitishe mwenye taharifa zozote kuhusu Jambo Hilo atuambie
Fika ofisini kwao physically, jambo lako hilo litashughulikiwa haraka kuliko kutuma barua au kujaza fomu ya jambo hilo.
 
Hatua za ujazaji wa fomu ya mkopo online iko very technical, cyo kila mtu anaweza kujaza kwa ufasaha wake.Inabidi uwe umefanya hiyo process several times.Unaweza kuhisi umejaza vzr kwa hatua zote,lakini cku ya ku release majina ya waliokosea ukajikuta.Ndiyo maana wapo wanaofanya hizo kazi miaka yote,hivyo wana uzoefu wa kutosha.Watumieni hao watu...!
Hiyo mpaka iweke kwenye 150x120 pixels. Ingia mtandaoni search "Online photo resizer" Kisha uiweke kwenye hiyo pixel
 
Back
Top Bottom