Munuo
Member
- Jul 30, 2019
- 98
- 128
Mku hiyo taarifa umeipata wapi ??mbona sijaionaWameongeza mpaka tarehe 10
Mku hiyo taarifa umeipata wapi ??mbona sijaionaWameongeza mpaka tarehe 10
Kuna uwezekano wa kuongezaaWAJUVI , NAOMBENI MNISAIDIE , HIVI NIKISHINDWA TUMA FORM YA MAOMBI LEO HII SAA 5 USIKU AMBAYO NI DEADLINE , JE ITANITOKEA NINI ?
Muingo Huyo.. Aweke source basiMku hiyo taarifa umeipata wapi ??mbona sijaiona
Vipi wewe mku ushamaliza kila kitu niniMuingo Huyo.. Aweke source basi
Muingo Huyo.. Aweke source basi
Ndo kwanza nasubiri matokeo yangu chuoniVipi wewe mku ushamaliza kila kitu nini
Hizi Siku mbona chache sana..?
ahaa vipi UE ya mwisho mmeshafanya au utatumia matokeo gani kuomba mkopoNdo kwanza nasubiri matokeo yangu chuoni
Inabidi iwe katika mfumo wa jpgWakuu nipo namwombea Dogo kote nimeshajaza ila kila niki-upload picha yake inasema “the file you are attempting to upload is not allowed” shida nini.?
Inabidi iwe katika mfumo wa jpg
Inabidi iwe katika mfumo wa jpg
Ukubwa usizidi 300kbNawekaje.? Picha amenitumian inayo kwenye simu
Hatua za ujazaji wa fomu ya mkopo online iko very technical, cyo kila mtu anaweza kujaza kwa ufasaha wake.Inabidi uwe umefanya hiyo process several times.Unaweza kuhisi umejaza vzr kwa hatua zote,lakini cku ya ku release majina ya waliokosea ukajikuta.Ndiyo maana wapo wanaofanya hizo kazi miaka yote,hivyo wana uzoefu wa kutosha.Watumieni hao watu...!Wakuu nipo namwombea Dogo kote nimeshajaza ila kila niki-upload picha yake inasema “the file you are attempting to upload is not allowed” shida nini.?
Hapa naona siku zitanipita tu.. Hebu nitazame macho tuahaa vipi UE ya mwisho mmeshafanya au utatumia matokeo gani kuomba mkopo
Fika ofisini kwao physically, jambo lako hilo litashughulikiwa haraka kuliko kutuma barua au kujaza fomu ya jambo hilo.Msaada wakuu barua ya kusimamisha jina lako TCU Kama uliomba mwaka Jana na aukwend unataka unde mwaka huu mbon barau Amana za kutuma ili wakusitishe mwenye taharifa zozote kuhusu Jambo Hilo atuambie
Hiyo mpaka iweke kwenye 150x120 pixels. Ingia mtandaoni search "Online photo resizer" Kisha uiweke kwenye hiyo pixelHatua za ujazaji wa fomu ya mkopo online iko very technical, cyo kila mtu anaweza kujaza kwa ufasaha wake.Inabidi uwe umefanya hiyo process several times.Unaweza kuhisi umejaza vzr kwa hatua zote,lakini cku ya ku release majina ya waliokosea ukajikuta.Ndiyo maana wapo wanaofanya hizo kazi miaka yote,hivyo wana uzoefu wa kutosha.Watumieni hao watu...!