Blackberry ya kichina.

hamnaga blackbery ya kichina...blackbery inabaki kuwa blackbery na sifa zake za kipekee kabisa,kumbuka sifa ya blackbery sio ku browse internet kama zilivyo simu za kawaida ...sifa yake ya kipekee ni kupata zile blackbery services (wenye blackbery nadhan nadhan mnazijua
<br />
<br />
Huwa napata tabu sana kuwaelewesha watu blackberry is more than 4ne. Hii si kununua na kuweka vocha tu unapata internet ina BIS na BES services hapo ndo utaona tofauti ya mchina na original. Hii ina subscription fee per month (30000 per month kwa Vodacom) ndo unapata BIS (blackberry Internet services)
 
Back
Top Bottom