Ushauri wa aina ya TV nzuri za kichina

Kipondo Cha ugoko

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
655
1,042
Wanajamvi habari zenu,

Jamani nimekuja hapa kuomba ushauri nahitaji kununua TV kwa ajili ya project yangu flani hivi. TV nazotaka ni hizi za kawaida kabisa kulingana na budget yangu, sasa kati ya hizi kampuni za kichina ya koditek, boss, Sundar, Alyon n.k ipi itafaa? Nahitaji nipate walau pc4 za inchi 32.

Nahitaji kwa ajili wa matumizi ya saloon tu.
 
Chukua Hisense

image-2023-10-22-16:28:36-993.jpg

Hisense wapo vzuri
 
Smart Tv ya pinetech IPO VIZURI Mimi naitumia Hadi kufundishia kuchunguza iwapo umewapa watoto KAZI ya kujiasomea na wanacheza unaweza kuona ukiwa chumbani ,pia unaweza kutumia kuchajishia simu mbili na zaidi.
 
Wanajamvi habari zenu,

Jamani nimekuja hapa kuomba ushauri nahitaji kununua TV kwa ajili ya project yangu flani hivi. TV nazotaka ni hizi za kawaida kabisa kulingana na budget yangu, sasa kati ya hizi kampuni za kichina ya koditek, boss, Sundar, Alyon n.k ipi itafaa? Nahitaji nipate walau pc4 za inchi 32.

Nahitaji kwa ajili wa matumizi ya saloon tu.
Hakuna TV nzuri ya kichina. Matumizi yake ni baina miezi ya 12 mpaka 24, buina ya muda huo ununuwe model mpya zaidi.
.ikiishi zaidi ya hapo umeshinda wewe.
 
Kumbe una akili ndogo sana mzee

Nina Hisense nch 32 mpaka Leo ipo clear Ina miaka 3 Sasa na quality ipo vile vile

Nikwambie Tu katoka brand Bora za kichina bass Hisense Wako njema kwenye TV , fridge na Hi fi speaker Zina mkito umeenda shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei gani na inch ngapi?

Back
Top Bottom