Blackberry ya kichina.

usiombee upande basi na Msukuma mwenye simu ya kichina, hadi unafika ulipokuwa unaenda kichwa kitakuwa kinakuuma kwa makelele

buji bana
Kuna kipindi nilisafiri kutoka Nzega kwenda Mwanza, nikakaa siti moja na hao jamaa, kweli kufika Mwanza ilikuwa naanza na kununua panado.
 
ina depend..ninayo blackberry ya kichina ina-support JAVA,so internet napata bila shida,software za java nazo pia na-download.,.tatizo ni betri
 
Je hii simu inatofauti gani na original?
Nataka kuinunua lakini naogopa.
Je simu za kichina zinakubali internet configuration ya mitandao yetu?


Ku-deal na vitu vya kichina, unahitaji kuwa makini sana hasa kutokana na udanganyifu wa wafanyabiashara wa kibongo.

Wachina kwenye maisha yao kule kwao, huwa wanatengeneza kila kitu kwa ubora tofauti ili kukidhi uwezo wa wanunuaji tofauti tofauti. Yaani hata kama unataka Kiatu cha Nike au jeans ya Levi's, wanatengeneza kwa viwango mbalimbali vya ubora, ili hata kama mtu ni maskini sana naye japo avae Nike hata kama ni kwa mwezi mmoja. Na yule mwenye nazo naye anatengenezewa yake ya bei kubwa.
Kuna vitu unaweza kuwa umenunua Bongo au nchi zingine, ukawa umevipenda ukifikiri vimetengenezwa ulaya, kumbe ni mchina tu.
Hivyo, si kweli kwamba vitu vyote vya wachina ni vibovu, ukweli ni kuwa wafanyabiashara wa kiafrika huwa wanaenda eneo linaitwa 'Xiaobei lu' na 'San yuanli' kule Guangzhou na 'Wuyi' kule Zhejiang, wananunua vitu vya ubora wa chini, halafu wanavipeleka Africa na kuviuza kwa bei kubwa kama vile ni vya ubora wa juu. Na hapo ndipo mnapoliwa.

Vinginevyo kama unakaa ulaya, utanunua vitu vingi kutoka China ambavyo vina alama ya CE (kuthibitisha ubora kwa soko la ulaya) na vitu vitakuwa ni vizuri tu. Sie watz na maneno yetu mengi halafu TBS yetu ipo TATU BILA na tunashindwa kuhakikisha ubora wa bidhaa zinazoletwa na wafanyabiashara wetu.

Sasa kwasababu hatuwezi kutofautisha Original na fake (hata kama vyote vinatoka China au kwingineko) dawa pekee kwa mteja ni kununua kutoka kwenye duka lenye warranty walau ya miezi 6. Mambo ya kununua simu kwenye maduka ya Temeke, kwa bei rahisi, halafu unataka iwe na function zote, hapo inabidi uwe na bahati pia.
 
hapo kwenye red, nilidhani ni cm yangu pekee ndo ina tatizo hilo.kobe anasaidia


Japokuwa wanapenda muziki munene lakini huu utani sas, ngoja tuone

Wee mwache anatafuta ugomvi huyu!!
 
Jamaa Rafiki yangu kanletea kutoka DUBAI, Bureee Kabisa, nililitumia mwezi, nikaona nabeba mzigo wa Bureee!!!, achana na masimu hayo ya kichina!!!!
 
hamnaga blackbery ya kichina...blackbery inabaki kuwa blackbery na sifa zake za kipekee kabisa,kumbuka sifa ya blackbery sio ku browse internet kama zilivyo simu za kawaida ...sifa yake ya kipekee ni kupata zile blackbery services (wenye blackbery nadhan nadhan mnazijua
 
hamnaga blackbery ya kichina...blackbery inabaki kuwa blackbery na sifa zake za kipekee kabisa,kumbuka sifa ya blackbery sio ku browse internet kama zilivyo simu za kawaida ...sifa yake ya kipekee ni kupata zile blackbery services (wenye blackbery nadhan nadhan mnazijua

mkuu are u sure.!
 
Jamani ni wapi zinako uzwa tv orijino?

kwanini usianzishe thread yako kuulizia hizo tv orijino? acha mwenzako apewe ushauri wa hizo simu za kichina.

watu wanaweza kuwa more interested na hizo tv orijino na kumsahau mwenye simu ya mchina. kwahiyo uungwana ni kuanzisha thread yako kuliko kupandikiza kwenye thread ya mwenzako
 
simu za kichina ni mzigo kwa mtumiaji,,Operating system inayotumika ni unknown kwa software developers, sio Symbian, BB Os, IOS, windows mobile, sio Android na wala sio Java therefore no chance to Upgrade anything in China mobile,,make sure tunakuwa wajanja tunavyochagua simu, kupata uhakika na simu ni bora kuangalia specification zake kwenye internet...
 
simu za kichina ni mzigo kwa mtumiaji,,Operating system inayotumika ni unknown kwa software developers, sio Symbian, sio Android na wala sio Java therefore no chance to Upgrade anything in China mobile,,make sure tunakuwa wajanja tunavyochagua simu, kupata uhakika na simu ni bora kuangalia specification zake kwenye internet...

I couldn't say it even better.
 
Kama budget yako ni ndogo kiasi cha kufikiria kufata mchina mi nakushauri achana nayo Bora ukanywe beer tu utapata raha na kupotez\a mawazo kuliko kumiliki mchina.

au nunua simu used. PM kama wataka simu used from uk and usa!!

cheers!!!
 
Jamani leo nimekutana na tapeli mmoja anataka kunitapeli, eti ananionyesha blackberry ya mchina akinilaghai eti ni original kutoka Canada
 
hamnaga blackbery ya kichina...blackbery inabaki kuwa blackbery na sifa zake za kipekee kabisa,kumbuka sifa ya blackbery sio ku browse internet kama zilivyo simu za kawaida ...sifa yake ya kipekee ni kupata zile blackbery services (wenye blackbery nadhan nadhan mnazijua
<br />
<br />

Ndio mkuu, nakubaliana nawe
 
Back
Top Bottom