donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
Mmenigusa,sister wang alinunua iphone ya Jumong (mchina) imeandkwa 32gb kumbe waapi. Alaf wangese wanakwambia made in calfornia,assembled in china
hapo kwenye red, nilidhani ni cm yangu pekee ndo ina tatizo hilo.kobe anasaidiaMi nnayo mwaka na miezi 4 sasa, mi nimeipenda coz naitumia kusomea vitabu ktk ebook yake ingawa kwa mafaili ya txt tu kwani haikubali pdf.video, kamera intaneti, games application haifai pia kuna tatizo ktk system yake ya kuchaji(simu nyingi za mchina ziko hivyo) huwa inagoma na kuandika "warning bad charger contact" kwa sasa nachajia kobe lol
Japokuwa wanapenda muziki munene lakini huu utani sas, ngoja tuoneutani wa ngumi huo
Mkuu net configuration inapokea ila blackberry mchina kwenye internet sio sim,kama unaichukua kwa mawasiliano tu poa ila kwa net na entertainment ya aina yeyote apart from music sahau! Kwanza huwezi kudownload game likafunguka(haipokei jar. nor jad. inshort no games apart from soduku and the other internal stupid games). Camera yake imeandikwa ina megapixel ni kama 4 au 3 kama cjasahau,ila picha inazopiga ni rubbish,videos kiduchu sana ina ubora ukilinganisha na picha. Programming yake it's so boaring,yaani utaitumia cku mbili utaiona choo,ukikaa nayo mwezi hujaiuza we balaa! Bora ninue nokia ndogo kabisa yenye internet capabillity kuliko blackberry au I-phone ya mchina. Puuu mpaka nimetema mate jinci ninavyoichukia hiyo cm.lol
So how can one indetify original BB.?
and does it maean any BB or iphone from china are fake or counterfeit ?
So how can one indetify original BB.?
and does it maean any BB or iphone from china are fake or counterfeit ?
na mchina yake inaitwa HI-PHONE ama SCI-PHONE,ukitaka kujua mchina tu uliza kama unataka iphone ya line mbili ukiletewa jua fambaNot all Iphones but all apple product are assembling in china like ipod,ipad,iphone,mac laptops and so on frm this products Chinese wameweza kutengeneza kila kitu hasa iphones ukiingalia kwa nje hauwezi kuitofautisha na original yake lakini wameshindwa kwenye kitu kimoja tu ile sensor ambayo unaweza ukaiita screen,wao wameweka ya plastic wakati ya original yake ni kioo,na kitu kingine OS yake pale wachina wamechemka kwani nyingi ni double line wakati original ni single laini,na housing yake ni plastic ina ribon ya chuma wakati mchina ni plastic full.
1.How can one id an original BB. These things nowadays are xo identical you can almost be sure ur using the real thing,while using the fake one! Where you buy the 4ne is a major factor in finding an original 4ne! One can identify the original after checking it's functioning b4 buying it,but if you can't as i said,where you buy it matters a lot.
2nd. Are all china mobiles fakes?well i don't know xactly what 4nes they use but i can tell you that i'm almost sure that the 4nes we as developing nations get from china are fakes and out dated. That's what i think.
Huwa nashangaa kuona watu wa nchi yetu amabayo haina hata kiwanda cha tooth stick au vifungo ni big issue wanakuwa na ujasiri wa kuita bidhaa za nchi nyingine fake. teh teh tehAll iPhones are made in China so no.
TBS died before Nyerere. Thats why haiaminiki tena
Je hii simu inatofauti gani na original?
Nataka kuinunua lakini naogopa.
Je simu za kichina zinakubali internet configuration ya mitandao yetu?
Simu za mchina ni TOYS sio simu
Unauza Kiasi Gani iphone 2g,16 gb?
Mmenigusa,sister wang alinunua iphone ya Jumong (mchina) imeandkwa 32gb kumbe waapi. Alaf wangese wanakwambia made in calfornia,assembled in china