Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Hivi huyu Kitwanga(mawe matatu) ex employee wa BOT hangefaa pale kwenye pesakumsaidia Mkulo
 
RA bado yuko freshi pawn wake yupo nishati na madini, wizara zenu za shida sijui elimu sijui maji machafu kawaachia..yeye anataka raslimali zetu tuu.. Mi naogopa huyu nahodha ujambazi dar umekua hatari alafu anapewa mzanzibari, I dont know much in detail about this guy lakini kwakweli kama sio machachari itakuwa tabu (akileta mambo ya visiwani ati.. mnaokaa Mbezi Luis mmekufa wote)
 
Hivi huyu Sophia Simba huyu ana nini huyu kichwani mpaka apewe wizara!!!!!???, au ndo kiburudisho cha ...
 
Prof. Mwakyusa, Prof. Msola, Prof Kapuya hawa wakafanye kazi zao za kitaaluma sasa waache kutuzingua...
 
I am happy with this man kwani si mbabe, mtulivu na kama sidanganyiki basi anajua kusikiliza. Wizara hii inahitaji mtu msikivu maana anawataalamu wakutosha so kazi yake ni kuwa coordinate tu the quality which I guess he has.

Matundu 4 vyoo kwa mil 700?
 
Umekosea, Wizara ya maji inabaki pekee yake ila umwagiliaji inaenda Kilimo, kutakuwa na Wizara ya Kilimo na Umwagiliaji

yeah wizara ya maji imebaki peke yake coz tatizo kubwa ni maji so ikiwa wizara ya maji pekee maji yatapatikana ........let us see km itawork
 
Baraza la zawadi, yaani post zimetengenezwa ili kuwaridhisha watu wachache!! hakukua na haja ya kua na mawaziri wa nchi kibao, ni uvivu, kutokuwajibika na urafiki!! sasa fikiria posho, mashangingi, wakurugenzi, makatibu wakuu, na nyumba ndogo!!! at whose cost? tuna utajiri gani huo wa kugharamia yote haya!!!


Mzee usilie sana. Hapo ndiyo mwenzako kajitahidi sana. FirkirIA KUTOKA 60 2005 mpaka 30 something sasa siyo mchezo!!
 
Mzigo mzito saaana, nilidhani atapunguza wizara kumbe ndo kazimwaga za OFFER, hapa tuna kazi, yaani kujifungia kooote huko ndo wamekuja na huu utumbo!!
 
nasubiri mawaziri na manaibu waliokosa..... mwakyusa.. mama sitta
Chiligati,Dr Daftari Mauwa(alikuwa waziri mdogo mwandamizi tokea enzi za mzee ruksa aliota magego hapo miundo mbinu),mzee wa Akudo kwa heri ,kwa heri,Akudo kwaherie eh kwaherii
 
Yaani hawa ndo watu makini na wachapa kazi alioahidi kutupatia siku alipohutubia bunge??? Kwa kweli sikio la kufa halisikii dawa. Yaani hili la baraza la kuiangamiza CCM. wait and see
 
Back
Top Bottom