Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

KUNA SIRI GANI KATI YA JK NA SOPHIA SIMBA, MBONA HANA AFANYALO HALAFU KAMRUDISHA? NIMECHUKIA!!!:A S-cry:

sofia ndo mmbea wake na kumtafutia vidosho...
usalama wa taifa my foot!!
Ghasia ni shemeji wa kikwelikweliiiiiiiiiiiiiiiii
:angry:
 
Sijui nifanye saasaa!! maskini maprofesaa, hivi UDSM wanatoa parttime au waende pale Kampala International University Gongolamboto, naskia hawana maprof, by the way, naskia hawajawahi kuandika hata kapepa kakupresent mbele ya chekechea, so wa R.I.P wasiende kuwapelekea wadogo na watoto wetu frustration zao!! KARIBU KIJIWENI PROF. MSOLA
 
ok thanks nilijuwa watairudisha umwagiliaji kilimo,kwani kule ilipotea,kawambwa ndani ya elimu? kweli sasa ni kushuka kwa elimu ndiko kutazidi
mapinduziii daimaaaa
 
jamani vijana ndio wamechinjiwa baharini...... wamehamishiwa wizara ya propaganda...mmmmhhhhhhh
 


Wanabodi,

Hatimaye Baraza jipya la Mawaziri ndio lianza kutangazwa sasa live kupitia TBC!
Endelea kufuatilia...

UPDATES:

  • Wizara ya maji imeunganishwa na Kilimo - Itakuwa Wizara ya Kilimo na umwagiliaji!
  • Kazi ajira na vijana - kitengo cha vijana kimehamishiwa michezo na utamaduni
  • Uwezeshaji wa wananchi (Baraza la uwezeshaji) - Ilikuwa wizara ya fedha, imebidi kuipunguzia Hazina mzigo huu na kulielekeza Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Waziri wa TAMISEMI atakuwa na manaibu wawili
  • Wizara ya Miundo Mbinu imepunguzwa, imegawanyika kuwa na Wizara ya Ujenzi (barabara na viwanja vya ndege) & Wizara ya Uchukuzi - Reli, bandari na usafiri wa majini
  • Magufuli atachukua wizara ya Ujenzi na msaidizi wake ni Mwakyembe
  • Sitta atakuwa waziri wa Wizara ya ushirikiano wa Afrika Mashariki
  • Membe ataendelea kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje
  • Ngeleja ataendelea kubaki wizara ya Nishati na Madini
  • Wizara ya Mambo ya Ndani atakuwepo Nahodha akishirikiana na Kagasheki
  • Anna Tibaijuka atakuwa waziri wa Wizara ya Ardhi na Makazi
  • Hakuna jina la Januari Makamba wala Lowassa kama wengi walivyokuwa wakishuku
WIZARA NA MAWAZIRI WAKE:
) Wizara ya ofisi ya utawala bora chikala
2) Wizara ya Mahusiano wassira = amechoka
3) Wizara ya manegement – hawa ghasia = hanajipya shemeji
4) Wizara ya makamu wa rais – samia suluhu hassan
5) Wizara ya mazingira - therezia
6) Wizara ya waziri mkuu – william lukuvi
7) Wizara ya uwezeshaji nagu= hanajipya
8) Wizara ya tawala za mkoa mkuchika
9) Wizara ya fedha mkula, teu, amisilima
10) Wizara ya mambo ya ndani nahoza, kagasheki= pana ulakiwani hapa
11) Wizara ya katiba na sheria Kombani= mmmh! haiwezi wizara nzito sana kwake
12) Wizara ya nje membe
13) Wizara ya ulizi mwingi
14) Wizara ya mifugo mathayo d. Athayo
15) Wizara ya mawasiliano science makame, kitwanga(mawe matatu)
16) Wizara ya ardhi prof. Tibaijuka= wahaya wote watakuwa mameneja
17) Wizara ya maliasili maige = ???? kashfa za meghji anaziendeleza
18) Wizara ya nishati ngeleja, malima= uswahiba tu hakuna kitu hapo
19) Wizara ya ujenzi Magufuli, Mwakyembe= wamemziba mdomo but kazi ipo
20) Wizara ya uchukuzi Omary N
21) Wizara ya Viwanda na Biashara Chami-
22) Wizara ya Elimu Dk Kawambwa = hapamfai mzee wa kuchakachua matundu 4 @milion 700
23) Wizara ya Afya Hadji H Mpanda
24) Wizara ya Kazi Ajira Kabaka, Mahanga= hakuna jipya tumeliwa
25) Wizara ya Maendeleo ya jamii Sophia SImba= tutaimbiwa taarabu hadi tukome
26) Wizara ya Elimu habari vijana na michezo Nchimbi= yaleyale ya kina bendera
27) Wizara ya Ushirikiano EAC Sitta
28) Wizara ya Kilimo Magheme, Chiiza
29) Wizara ya Maji Prof Mwandozya


Baraza ni kubwa mmno limejaa wababaishaji hakuna jipya mkwere amechemka vibaya asubiri kulivunja tu maana hao askari wa miamvuli hawafai watakuwa wa mifukoni :angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:
 
Last edited by a moderator:
unaonekana una chuki za ajabu sana na huyo Nchimbi.............pole bwana usijali ndio maisha muda mwingine usiempenda si mara zote anapata unacopenda wewe apate

Sikiliza John, Maisha yana mambo mengi sana, Kuna wakati watu wanaweza kukuchukia bila sababu na wasione unachokifanya, Unaweza usikubalike tu, Mimi binafsi sijaona tatizo la Emma.
 
Angalau Kikwete kachagua cream ya CCM kidogo na kuacha makapi nnje. Ila hili kapi Sofia Simba lina nini???Amechemsha kummmpa Sofia wizara....manake kila cheo anapewa bila kujali uweza wake, ni mbunge wa viti maalum, ni mbunge wa SADC bila kupingwa, mwenyekiti wa CCM wanawake na bado kapewa uwaziri??SI BURE KUNA KITU. au mie ndo sijui CV ya huyu Mama Simba??
 
Magufuli na Mwakemba -'''' hahahaha Kikwete kama ametaka kutukomoa vile seems kawasusia ngoja niwaweke niondoe kelele za hawa manyang'au wananchi nione kama kweli wata perform ... kaandika huku anaangalia pembeni...
Vichaa wawawili wamepewa Rungu anzeni kumwambia mchina ishakuwa sooooooooo.... :A S crown-1:
 
Haya ni vyema tukajiandaa na miaka mingine mitano ya kusaga meno na kulia machozi. Kwa timu hii ya mheshimiwa rais, sitegemei kitu. Ila naona kafanya jitihada za dhati kuhakikisha kuwa hatovunja tena baraza la mawaziri katikati ya miaka yake 5. Ile kesi ya Mh. Mahanga sitoshangaa kuona akishinda ingawa alishakamatwa na masanduku ya kura.
 
kaka upo fasta sana unafaa kwa mkuu wa habari,nimeipenda hiiiiiiiiiiiii,nimeshadownload nasikiliza kilichojili,kazi nzuri mkuuuuuuuu

mapinduziiiii daimaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom