Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Makongoro Mahanga anarudia darasa kwa nini hapandi? Au yeye ni naibu milele kama alivyokuwa Maua Daftari?
 
Duh!! Shukuru Kawambwa - Wizara ya Elimu

I am happy with this man kwani si mbabe, mtulivu na kama sidanganyiki basi anajua kusikiliza. Wizara hii inahitaji mtu msikivu maana anawataalamu wakutosha so kazi yake ni kuwa coordinate tu the quality which I guess he has.
 
WIZARA NA MAWAZIRI WAKE:
) Wizara ya ofisi ya utawala bora chikala
2) Wizara ya Mahusiano wassira
3) Wizara ya manegement – hawa ghasia
4) Wizara ya makamu wa rais – samia suluhu hassan
5) Wizara ya mazingira - therezia
6) Wizara ya waziri mkuu – william lukuvi
7) Wizara ya uwezeshaji nagu
8) Wizara ya tawala za mkoa mkuchika
9) Wizara ya fedha mkula, teu, amisilima
10) Wizara ya mambo ya ndani nahoza, kagasheki
11) Wizara ya katiba na sheria Kombani
12) Wizara ya nje membe
13) Wizara ya ulizi mwingi
14) Wizara ya mifugo mathayo d. Athayo
15) Wizara ya mawasiliano science makame, kitwanga(mawe matatu)
16) Wizara ya ardhi prof. Tibaijuka
17) Wizara ya maliasili maige
18) Wizara ya nishati ngeleja, malima
19) Wizara ya ujenzi Magufuli, Mwakyembe
20) Wizara ya uchukuzi Omary N
21) Wizara ya Viwanda na Biashara Chami-
22) Wizara ya Elimu Dk Kawambwa
23) Wizara ya Afya Hadji H Mpanda
24) Wizara ya Kazi Ajira Kabaka, Mahanga
25) Wizara ya Maendeleo ya jamii Sophia SImba
26) Wizara ya Elimu habari vijana na michezo Nchimbi
27) Wizara ya Ushirikiano EAC Sitta
28) Wizara ya Kilimo Magheme, Chiiza
29) Wizara ya Maji Prof Mwandozya

Kwa hiyo Prof. Kapuya, Prof Msola...OUTTTTTTTTTTTTTTTTTTTT!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! siyo
 
nasubiri mawaziri na manaibu waliokosa..... mwakyusa.. mama sitta
 
Wanabodi, naomba compile mzuri, atusadie kuzipanga, ndipo tuanze hesabu ya nani ndani, nani nje, na kumalizia kwenye who's is who?.
 
Baraza la zawadi, yaani post zimetengenezwa ili kuwaridhisha watu wachache!! hakukua na haja ya kua na mawaziri wa nchi kibao, ni uvivu, kutokuwajibika na urafiki!! sasa fikiria posho, mashangingi, wakurugenzi, makatibu wakuu, na nyumba ndogo!!! at whose cost? tuna utajiri gani huo wa kugharamia yote haya!!!
 
i see jaman du nilkuwa nawish magufuri apewe japo wizara nyeti kama madini vile mkwele naye sasa magufuri na mwakyembe sahani moja sijui itakuwa vipi hapo
 
JK katangaza baraza lake na kumrudisha Sitta kuwa waziri wa Afrika Mashariki na kwatosa Prof Msola, Kapuya na Mwakyusa, pia amemrudisha Pombe Magufuli ujenzi(barabara) na naibu wake kuwa Mwakyembe, cha kushangaza kampa Kombani(Sheria),Ghasia(utumishi) na Shangazi Sofia karudishwa(ustawi na wanawake), kwa mtazamo wangu hapa kachemka, hizi ni wizara nyeti sana hasa sheria na utumishi.
 
Ebwana kumbe jf tunaipenda nchi na tuko nyuma ya viongozi wetu hata kama tunatofautiana kimaono, good tanzanians

Tukumbuke kwamba yote haya yanatokana na msingi mbovu; hivyo kama ni nyumba hakuna uimara wala ubora wowote - mtaniambia; baadhi ya hao mawaziri ninawafahamu ni moja ya ma-opportunist wa nguvu hapa duniani!!!!!!!
 
Wanabodi,

Hatimaye Baraza jipya la Mawaziri ndio lianza kutangazwa sasa live kupitia TBC!
Endelea kufuatilia...
22) Wizara ya Elimu Dk Kawambwa
26) Wizara ya Elimu, habari vijana na michezo Nchimbi

Hii niaje?na bado kuna Naibu Waziri katika wizara ya Tamisemi anayeshughulikia Elimu ya Msingi na Sekondali, kaazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom