The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,862
- 13,786
Hivi huyu Kitwanga(mawe matatu) ex employee wa BOT hangefaa pale kwenye pesakumsaidia Mkulo
nasubiri mawaziri na manaibu waliokosa..... mwakyusa.. mama sitta
I am happy with this man kwani si mbabe, mtulivu na kama sidanganyiki basi anajua kusikiliza. Wizara hii inahitaji mtu msikivu maana anawataalamu wakutosha so kazi yake ni kuwa coordinate tu the quality which I guess he has.
Umekosea, Wizara ya maji inabaki pekee yake ila umwagiliaji inaenda Kilimo, kutakuwa na Wizara ya Kilimo na Umwagiliaji
Baraza la zawadi, yaani post zimetengenezwa ili kuwaridhisha watu wachache!! hakukua na haja ya kua na mawaziri wa nchi kibao, ni uvivu, kutokuwajibika na urafiki!! sasa fikiria posho, mashangingi, wakurugenzi, makatibu wakuu, na nyumba ndogo!!! at whose cost? tuna utajiri gani huo wa kugharamia yote haya!!!
Chiligati,Dr Daftari Mauwa(alikuwa waziri mdogo mwandamizi tokea enzi za mzee ruksa aliota magego hapo miundo mbinu),mzee wa Akudo kwa heri ,kwa heri,Akudo kwaherie eh kwaheriinasubiri mawaziri na manaibu waliokosa..... mwakyusa.. mama sitta
Waziri wa nchi-uhusiano imerudishwa Ofisi ya Rais