Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,108
- 5,626
bonge moja ya course.. itakuhakikishia mafungu ya semina na marupurupu..miradi ya kimichezo na safari kibao.. waweza kuwa afisa michezo manispaa au wa halmashauri... mwalimu mkufunzi wa michezo vyuo vya diploma..au sekondari...
ingawa kuna uwezekano wa kuanza kuajiriwa kama mwl wa kawaida wa kufundisha class...ila fursa yako ikitokea tuu UNAPEWA hainaga mizengwe hii..
nami nitaisoma kwa moyo wote,kaka asante