Msaada juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studies

swagy

Senior Member
Jan 23, 2018
131
201
Wakuu kwema?

Naomba mchango wenu juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studiesambayo inatolewa na chuo cha Tanzania institute of accountancy.

Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma, sasa mwaka huu napanga kwenda kujiendeleza kielimu, sasa kuna hii kozi je itanifaaa na je,nje ya ualimu naweza fanya kazi gani nyingine kupitia kozi hii?

Vigezo vya kusoma kozi hiyo ni hivi:-

Two principal passes in the following subjects:
History, Geography, Kiswahili, English Language,
French, Arabic, Fine Art, Economics, Commerce etc.

Msaada wenu wadau
 
Ninachojua mimi ni kuwa unasomea ualimu,sasa nje ya ualimu acha wadau wengine waje wakujuze
 
Wakuu kwema !!?

Naomba mchango wenu juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studiesambayo inatolewa na chuo cha Tanzania institute of accountancy...
Kama hutaki kupoteza furaha yako achana na kozi za ualimu maana huko mbele unaweza kupata kazi lakini ukaishia kujuta tu
 
Nafundisha kiswahili na history
Samahan mkuu unafundisha secondary au shule ya msingi
Na una muda gani kazini
Je ni sababu gani za kutaka kubadili kada kutoka ualimu kwenda kwenye uchumi
Je ni kipato au mazingira magumu ya kazi
 
Mimi tayari ni mwalimu, nataka kwenda ku upgrade tu
Wewe nenda kasome tu. Baada ya kumaliza na kurejea shule, Mkuu wako atakuteua kuwa mwalimu wa miradi. Na kama zitakuwa zinaiva, basi atakuteua kuwa Mhasibu wa shule.

Nje ya hapo, usitegemee maajabu. Maana utaendelea kuwa mwalimu mpaka ile siku yako ya kustaafu, na CWT kukuzawadia bati 20.
 
Samahan mkuu unafundisha secondary au shule ya msingi
Na una muda gani kazini
Je ni sababu gani za kutaka kubadili kada kutoka ualimu kwenda kwenye uchumi
Je ni kipato au mazingira magumu ya kazi
Mkuu bado na hii kozi ni ya ualimu, isipokuwa yenyewe inahusu uchumi tu , ila bado ni degree ya elimu
 
Wewe nenda kasome tu. Baada ya kumaliza na kurejea shule, Mkuu wako atakuteua kuwa mwalimu wa miradi. Na kama zitakuwa zinaiva, basi atakuteua kuwa Mhasibu wa shule.

Nje ya hapo, usitegemee maajabu. Maana utaendelea kuwa mwalimu mpaka ile siku yako ya kustaafu, na CWT kukuzawadia bati 20.
 
Education, ukifika Chuoni kabadili Usome Kozi ya purely Accounting isiyo na education
 
Wakuu kwema?

Naomba mchango wenu juu ya kozi ya Bachelor Degree in Education with Accounting and Business Studiesambayo inatolewa na chuo cha Tanzania institute of accountancy.

Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma, sasa mwaka huu napanga kwenda kujiendeleza kielimu, sasa kuna hii kozi je itanifaaa na je,nje ya ualimu naweza fanya kazi gani nyingine kupitia kozi hii?

Vigezo vya kusoma kozi hiyo ni hivi:-

Two principal passes in the following subjects:
History, Geography, Kiswahili, English Language,
French, Arabic, Fine Art, Economics, Commerce etc.

Msaada wenu wadau
Cc: Mpwayungu Village Ushauri wako unahitajika Mkuu
 
Back
Top Bottom