Bachelor of Education in Physical Education and Sport Science

bonge moja ya course.. itakuhakikishia mafungu ya semina na marupurupu..miradi ya kimichezo na safari kibao.. waweza kuwa afisa michezo manispaa au wa halmashauri... mwalimu mkufunzi wa michezo vyuo vya diploma..au sekondari...
ingawa kuna uwezekano wa kuanza kuajiriwa kama mwl wa kawaida wa kufundisha class...ila fursa yako ikitokea tuu UNAPEWA hainaga mizengwe hii..

nami nitaisoma kwa moyo wote,kaka asante
 
Wewe acha hadithi mshauri akasome lolote litakalo mtokea apokee swala ajira n kizungumkuti kwa sasa
 
Sheheee, mbona wewe hukuisoma kama ina maslahi sana?

miaka/kipindi changu hakukuwa na watu wa kutoa guidance juu ya course nzuri za kusoma.. what i knew ni kuwa course za kipaumbele kupata mkopo mnene na uhakika wa ajira ni zipi ikabidi nichome katika mojawapo..SIKUWA NA MTU WA KUTOA MUONGOZO JENGEFU.. NA HAKUKUWA NA VYANZO VINGI VYA TAARIFA KAMA ILIVYO NYAKATI HIZI Mphamvu
 
Last edited by a moderator:

vip cut point zake na comption ipoje
 
Last edited by a moderator:
miaka/kipindi changu hakukuwa na watu wa kutoa guidance juu ya course nzuri za kusoma.. what i knew ni kuwa course za kipaumbele kupata mkopo mnene na uhakika wa ajira ni zipi ikabidi nichome katika mojawapo..SIKUWA NA MTU WA KUTOA MUONGOZO JENGEFU.. NA HAKUKUWA NA VYANZO VINGI VYA TAARIFA KAMA ILIVYO NYAKATI HIZI Mphamvu

Ila hujachalewa mwanangu, ukiona vipi vipi kafanye hata kozi ya muda mfupi ya mafunzo ya ukocha ukamatie leseni. Ifike mahali Soka litulipe, mie ninayo certificate ya Sport Administration na ingine ya Sports MAkerting
 
Last edited by a moderator:
Ila hujachalewa mwanangu, ukiona vipi vipi kafanye hata kozi ya muda mfupi ya mafunzo ya ukocha ukamatie leseni. Ifike mahali Soka litulipe, mie ninayo certificate ya Sport Administration na ingine ya Sports MAkerting

thanks for the advice... im currently exploring some other options.. nje ya field yangu.. there are some few priorities navihangaikia kaka Mphamvu
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu.

Wakati nasoma hapo miaka ya mwanzoni mwa 2000 nilikua nawacheka sana jamaa zangu wanaosoma hiyo kozi. Tuliwaona kama watu waliopotea njia. Hata wale jamaa walipata unyonge sana. Matokeo yake ni kinyume sana. Wale jamaa sasa hivi nikiwaona nawakimbia. Naona aibu. Wameniacha kilometa kadhaa za maendeleo. Wote wapo kwenye nyadhifa kubwa sana.

Safari za nje za timu mbalimbali kama za kuogelea, tenisi na hata mpira wa miguu lazima utapata mmoja. Wana majumba na miradi mikubwa sana sasa hivi. Kifupi wamefanikiwa sana, karibu wote wa mwaka huo niliokuwa nao.

Ila huo ni wakati wetu. Toka kipindi hicho watu wengi walishaistukia kuwa ni dili sana hivyo wengi waliingia huko. Sijui hali kwa sasa ya soko lake itakuwaje. Nakushauri weka nguvu na hamasa ya kutosha na kumuomba Mungu kila kitu kitaenda upande wako.

Kila la heri kijana.
 
bonge moja ya course.. itakuhakikishia mafungu ya semina na marupurupu..miradi ya kimichezo na safari kibao.. waweza kuwa afisa michezo manispaa au wa halmashauri... mwalimu mkufunzi wa michezo vyuo vya diploma..au sekondari...
ingawa kuna uwezekano wa kuanza kuajiriwa kama mwl wa kawaida wa kufundisha class...ila fursa yako ikitokea tuu UNAPEWA hainaga mizengwe hii..

Vanmedy,umeni encourage sana,
 
wakuu nauliza college znazotoa kozi ya physical edtcn level ya diploma na jinsi ya kutuma maomb kupitia nacte..
 
Songea ttc,mtwara ttc,kleruu,biology uwe na ufaulu kwanzia d. Kuapply nafikir ni tcu na nacte,ntfte0769816692
 
Kimsingi hii ni shahada ya ualimu inayotolewa na Chuo Kikuu Dar es Salaam, pamoja na kufundisha stadi zingine za msingi za ualimu msisitizo wake upo katima michezo.

Wanafunzi wa shahada hii hutoka moja kwa moja Kidato cha Sita au kutoka vyuo vya ualimu na hufundishwa michezo karibu yote kiufundi, utawala, masoko, saikolojia na mambo mengine ambayo yanahusu michezo.

Mwanafunzi anayehitimu shahada hii huweza kuwa mwalimu wa michezo katika Sekondari au vyuo vya ngazi ya cheti na stashahada, huweza kuwa maafisa michezo wa wilaya, mkoa au mashirika mbalimbali na pia huweza kufanya kazi katika vyama, mashirikisho pamoja na vilabu vya michezo kote nchini.

Wanafuzu pia kuwa makocha, watawala au hata waamuzi wa michezo mbalimbali.

Karibu.
Hakuna vyuo vingine vitoavyo zaidi ya UD!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom