Bachelor of science in chemistry and physics

Habarini wapendwa,kuna dogo langu kapangiwa hii kozi hapo UDSM,naomba kujua ipoje na hawa watu wanaajiriwa kama walimu au vipi?
Hio Bachelor peke yake haitoshi kuwa mwalimu, hawasomi course za ualimu, ajipange akimaliza akasomee ualimu.
Hao ni scientists sio teachers, they are physicists and chemists.
Soko lake mtaani sina uhakika nalo, sema nikushauri tuu broo bora ufwatilie mwenyew usiulize ulize watu ambao hawajasoma hio kozi au kwamba ana ndugu/rafiki ake amesema hio kozi ameona anafanya kazi, huwez jua katapaje, tafuta watu kama watatu walio graduate kweny hio kozi uwaulize ndo utapata majibu sahihi.
 
Hii kozi huwa inasomo moja tu na siyo mawili na hii kozi inatolewa Udom huwa
Eithe Bachelor of science in chemistry, physics or mathematics lakini siyo masomo mawili
 
Back
Top Bottom