Baadhi ya wabunge vijana mmeanza kutuangusha kwa tabia za ajabu

Mimi ni Mtanzania, tena mpenda maendeleo na mpigania vijana... na hasa hasa mpenda haki na maendeleo ya nchi

sipendi viongozi wanaoonyesha picha mbaya kwa namna yoyote ile kwani wanatunyima taswira nzuri

Naomba leo nitoe ushauri kwa baadhi ya wabunge vijana
mmefanikiwa sana nawapongeza
ni wapiganaji wa kweli nawapongeza
ni vijana sana nawupongeza
mko chadema na ccm, nawapongeza

Baadhi yenu mmeanza kulewa, mnalewa sana madaraka na mnalewa pombe sana
mmefikia hadi mnaharibu...

Nikiamua nitawataja ila mmoja kanikera analewa na magrupu ya wanawake wengi, anatukana na kupiga makelele hovyo, ni kijana yupo kanda ya ziwa

haangalii hata amezungukwa na nani

TUSAIDIANE
Mate...... inauma sana asee...... Unaonaje ukafuata nyayo za mchungaji hapa chini?

Stephen Nyerere punguza pombe na mambo ya kijinga.

sio mmoja na sio kanda ya ziwa pekee, huo nimfano

lengo hapa ni kuwekana sawa, miiko ya uongozi ni pamoja na conducts za mtu popote pale awapo
Mate....upumbavu hauna ujazo!

Pombe ni tamu lakini unapokuwa public figure inalazimika ukubali machungu ya kuikosa.....si umetaka mwenyewe?......Inauma sana lakini hamna jinsi.

Inachoma sana asee...........
 
Back
Top Bottom