Baadhi ya wabunge vijana mmeanza kutuangusha kwa tabia za ajabu

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,702
11,034
Mimi ni Mtanzania, tena mpenda maendeleo na mpigania vijana... na hasa hasa mpenda haki na maendeleo ya nchi

sipendi viongozi wanaoonyesha picha mbaya kwa namna yoyote ile kwani wanatunyima taswira nzuri

Naomba leo nitoe ushauri kwa baadhi ya wabunge vijana
mmefanikiwa sana nawapongeza
ni wapiganaji wa kweli nawapongeza
ni vijana sana nawupongeza
mko chadema na ccm, nawapongeza

Baadhi yenu mmeanza kulewa, mnalewa sana madaraka na mnalewa pombe sana
mmefikia hadi mnaharibu...

Nikiamua nitawataja ila mmoja kanikera analewa na magrupu ya wanawake wengi, anatukana na kupiga makelele hovyo, ni kijana yupo kanda ya ziwa

haangalii hata amezungukwa na nani

TUSAIDIANE
 
This is JF mazee,where we dare...
Wataje majina hao wabunge vijana wanaolewa pombe na kutukana hovyo.Ulivyoandika imekuwa kama majungu vile au umbeya.Sasa haiwezekani tuchangie umbeya mkuu!
 
ni tahadhari... twaweza anza na majina lakini nimekua resrved kwa muda kama ni majungu sawa....

Mods wanaweza kuondoa hii thread,

Thanks
 
sasa role model wao ni ZITTO
unategemea nini?

mtu anaenda kwenye kaburi la mtu aliehusishwa na e kimapenzi na alikuwa mke wa mtu.

na anaongozana na waandishi wa habari bila aibu.....
 
ni tahadhari... twaweza anza na majina lakini nimekua resrved kwa muda kama ni majungu sawa....

Mods wanaweza kuondoa hii thread,

Thanks

hakuna cha majungu

mimi nilisema humu zamani sana
kuwa bunge hili ,magazeti ya udaku yatauza sana
so far
tazama kilichotokea na ile ishu ya sugu na shyrose......

na baaado....
 
sasa role model wao ni ZITTO
unategemea nini?

mtu anaenda kwenye kaburi la mtu aliehusishwa na e kimapenzi na alikuwa mke wa mtu.

na anaongozana na waandishi wa habari bila aibu.....
the boss the bosss the boss, mwache zitto yupo kwenye mapambano, hii si o celebrit forum
 
the boss the bosss the boss, mwache zitto yupo kwenye mapambano, hii si o celebrit forum

sasa uhuru wa kuongea unaishia kwa watu walio kwenye mapambano sio?????

hivi wewe ulifuatilia intavyuu ya zitoo na diva wa clouds fm??????

yeye hawezi kujiheshimu na ku avoid upuuzi kama huo????????
 
sasa role model wao ni ZITTO
unategemea nini?

mtu anaenda kwenye kaburi la mtu aliehusishwa na e kimapenzi na alikuwa mke wa mtu.

na anaongozana na waandishi wa habari bila aibu.....

The Boss, are you suffering from Zittophiabiasis (sijui huu ugonjwa nimeuandika vizuri?)?
 
Mimi ni Mtanzania, tena mpenda maendeleo na mpigania vijana... na hasa hasa mpenda haki na maendeleo ya nchi

sipendi viongozi wanaoonyesha picha mbaya kwa namna yoyote ile kwani wanatunyima taswira nzuri

Naomba leo nitoe ushauri kwa baadhi ya wabunge vijana
mmefanikiwa sana nawapongeza
ni wapiganaji wa kweli nawapongeza
ni vijana sana nawupongeza
mko chadema na ccm, nawapongeza

Baadhi yenu mmeanza kulewa, mnalewa sana madaraka na mnalewa pombe sana
mmefikia hadi mnaharibu...

Nikiamua nitawataja ila mmoja kanikera analewa na magrupu ya wanawake wengi, anatukana na kupiga makelele hovyo, ni kijana yupo kanda ya ziwa

haangalii hata amezungukwa na nani

TUSAIDIANE
Wamenasa wenye mtego wa siasa zaidi nashindwa kuelewa hata hawa vijana tunaposhauriana mambo fulani fulani bado hawayaelewi au kuyafanyia kazi.
 
The Boss, are you suffering from Zittophiabiasis (sijui huu ugonjwa nimeuandika vizuri?)?

inawezekana wewe hujui connection ya moral corruption na political au leadership corruption......

go figure......
 
Kwanza kabisa naomba niseme wazi, zitto si mlevi na sijawahi kumuona akikurupuka na kushauti kwenye public
 
Kwanza kabisa naomba niseme wazi, zitto si mlevi na sijawahi kumuona akikurupuka na kushauti kwenye public

sijasema unamzungumzia ZITTO....
ninachosema hawa wabunge wapya wamekuwa inspired na ZITTO kwa mazuri

but siku hizi huyo Zitto ameanza kuwa very corrupt morrally
which usually lead to other forms of corruptions as well

mifano ni hiyo niliyotaja

intavyuu ya diva clouds fm...

na habari ya kwenda kaburi la amina na wapiga picha wa magazeti....
 
sishangai kwani hao wabunge wazee wenyewe chenga tuuu,sasa na vijana wanafuata ma role model wao....
 
Bila shaka ni Mbunge wa Mkoa wa MARA huyu
Mchungaji

huyo ni mmoja wao

Kijana ni one of my heroes kwani anajiamini, anaweza kujituma na ana energy tosha, sasa siku nilifika musoma jioni (sijui zamani alikuaje) alikua anatapanya kilaji, amejaza zile nanihii, anasahau hata kauli za nuru ya badae nk

Leo tena nimeona akinywa kabla hata ya saa sita mchana, tena ina a public place!!

kwa kweli niliacha ile ya musoma lakni nadhani kuna haja ya kukumbushana morals hasa ukiwa public figure... Yeye si MTM wala Masa, yeye ni dira

Lets build our images

Ntakuja na mwingine ikibidi
 
sijasema unamzungumzia ZITTO....
ninachosema hawa wabunge wapya wamekuwa inspired na ZITTO kwa mazuri

but siku hizi huyo Zitto ameanza kuwa very corrupt morrally
which usually lead to other forms of corruptions as well

mifano ni hiyo niliyotaja

intavyuu ya diva clouds fm...

na habari ya kwenda kaburi la amina na wapiga picha wa magazeti....
nimekusoma, ila nilikua najihami tu... leo nimeongea kuhusu pombe, i am sure wengine watajaribu kutusaidia tupunguze kuiga walipoanguka wakubwa zetu wa zamani
 
binafsi nawahurumia sana watanzania wenye matumaini
na hawa wabunge.....

binafsi hawawezi ku ni dissapoint
kwa sababu i always doubts them......
na they have failed to prove me wrong....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom