Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,982
- 1,009
Katika hali isiyotarajiwa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) lenye ndege aina ya Boeing 735 lililokuwa linafanya safari kati ya Dar-Mwanza via K'njaro na Dar-Hahaya(Comoro) limesitisha safari zake hivi leo Asubuhi. Habari nilizozipata kwa jamaa yangu aliyekuwa asafili na ndege hiyo leo asubuhi ni kuwa abiria wote wa ATCL waliokata ticket kwenda Mwanza "wamefaulishwa" ktk ndege ya 540.Com aina ya CRJ.
Kwa habari ya chini ya kapeti ni kuwa ATCL imeshindwa kulipa malipo ya kukodi kwa kampuni ya AEROVISTA ilipoikodi Ndege hiyo,kampuni husika imeizuia ndege yake kuruka mpaka hapo itakapolipwa malimbikizo ya madeni yote na ATCL. Hii inatokea siku moja baada ya Wizara ya Uchukuzi kuwasilisha Bajeti yake ktk Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
ngaliba dume hiyo si kweli. ndege ya atcl leo imekodiwa na serikali kupeleka ethiopia wale jamaa waliopona ile kadhia ya msitu wa kongwa dodoma wakiwa wanaelekea sauzi.