ATCL Yasitisha Safari zake

Katika hali isiyotarajiwa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) lenye ndege aina ya Boeing 735 lililokuwa linafanya safari kati ya Dar-Mwanza via K'njaro na Dar-Hahaya(Comoro) limesitisha safari zake hivi leo Asubuhi. Habari nilizozipata kwa jamaa yangu aliyekuwa asafili na ndege hiyo leo asubuhi ni kuwa abiria wote wa ATCL waliokata ticket kwenda Mwanza "wamefaulishwa" ktk ndege ya 540.Com aina ya CRJ.

Kwa habari ya chini ya kapeti ni kuwa ATCL imeshindwa kulipa malipo ya kukodi kwa kampuni ya AEROVISTA ilipoikodi Ndege hiyo,kampuni husika imeizuia ndege yake kuruka mpaka hapo itakapolipwa malimbikizo ya madeni yote na ATCL. Hii inatokea siku moja baada ya Wizara ya Uchukuzi kuwasilisha Bajeti yake ktk Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

ngaliba dume hiyo si kweli. ndege ya atcl leo imekodiwa na serikali kupeleka ethiopia wale jamaa waliopona ile kadhia ya msitu wa kongwa dodoma wakiwa wanaelekea sauzi.
 
Hapa naona wadau wengi walio andika maoni yao ni wafanyakazi wa precision. Jamani precision ni shirika la kikenya na madhumuni yao ni kuuwa kabisa utalii wa tanzania uende kwao kenya ndio maana unaona hata shirika lenyewe la precision haliendelei. Kwanza hawaruhusiwi kwenda international routes. Sasa kama nchi lazima liwe na shirika lake na litaleta tija tu kwa taifa.
 
This thing was breathing on life support for a long time,now its about time it dies and saves us from all unnecessary outlays.

Ukweli kabisa... Alafu mi nashangaa hivi mtu na akili yake timamu anasafiri na ATC. Have they lost their minds!!
 
UKWELI WA HALI HALISI
ATCL ikifufuka PA watakosa wateja kutokana na gharama za ATCL kuwa chini. Kutokana na vigogo wengi kuwa na hisa PA, kuna fitina znafanyika ili ATCL isiendelee na hisa zao za PA ziendelee kuwapa maslahi.
Angalieni wenye hisa ni kina nani then mtajua naongelea nini.
kuna mtu aliyeko idara ya ATCL ndo alinifafanulia kwa kirefu kwanini pia hawa ATCL wana wafanyakaz wengi na hawafanyi kaz yeyote zaid ya kwenda ofisin kupga story na kusaini breakfast na lunch, na wengne hawafiki kabisa.
 
ATCL imeshakuwa mzingo kwa taifa nashindwa kuelewa Tanzania si wajifunze kutoka ETHIOPIAN AIRLINES...hii ni sawa kumkabidhi nguruwe akuchomee mishikaki.
 
Ukweli kabisa... Alafu mi nashangaa hivi mtu na akili yake timamu anasafiri na ATC. Have they lost their minds!!

mtotowamjini,kuna habari nyingine imejitokeza hapo kwamba serikali imeikoidisha kwenda Ethiopia. Ukweli utajulikana. Kwa msaada kwako abiria wengi sasa hivi wanapendelea kutumia hiyo ndege kwa njia zilizotajwa hapo juu. Hii ni fahari yetu,kuna siku itafufuka. Zamani ukiwa nje ya Tanzania ukaona twiga anatua ama anaruka unajisikia fahari sana. Enzi hiyo itarudi!
 
Sasa kama wamekula kodi za watanzania wakashindwa kuifufua sasa wanataka kula na viten % vyetu vya mshahara labda itafufuka kwel tuwe na uvumilivu 55yrs tutaona watakuwa wapi
 
Nakubaliana na Ileje 100%. Serikali iachane kabisa na biashara hii kwa sasa. Acheni Precision na wengine waendelee. Sioni ATCL inatusaidia nini. Is the flag too heavy to bear?

Mkuu,kama nchi yetu inataka kupiga hatua ktk sekta ya utalii,hatuna budi kuwa na shirika imara la ndege. Hapa juzi ATCL chini ya Paul Chizi ilikua imeanza kufufuka lakini ghafla akafurushwa! Nini ilikua nyuma ya hiyo move,kuna siku ukweli utajulikana.
 
UKWELI WA HALI HALISI
ATCL ikifufuka PA watakosa wateja kutokana na gharama za ATCL kuwa chini. Kutokana na vigogo wengi kuwa na hisa PA, kuna fitina znafanyika ili ATCL isiendelee na hisa zao za PA ziendelee kuwapa maslahi.
Angalieni wenye hisa ni kina nani then mtajua naongelea nini.
kuna mtu aliyeko idara ya ATCL ndo alinifafanulia kwa kirefu kwanini pia hawa ATCL wana wafanyakaz wengi na hawafanyi kaz yeyote zaid ya kwenda ofisin kupga story na kusaini breakfast na lunch, na wengne hawafiki kabisa.

There you are!!! Wengine wanapiga porojo tu. Mchawi wa ATC ni P! ndege yao ni nzuri sana kulinganisha na za P, na bei yao inareflect uhalisia. Siku ufisadi ukiondoka nchi hii, sijui tutafika wapi kwa maendeleo!!!!!
 
ngaliba dume hiyo si kweli. ndege ya atcl leo imekodiwa na serikali kupeleka ethiopia wale jamaa waliopona ile kadhia ya msitu wa kongwa dodoma wakiwa wanaelekea sauzi.

Mkuu naitakia mema ATCL.....Sio kwamba Siipendi,naipenda na ndo usafiri wangu nitumiapo usafiri wa Anga..ndo mana nilsema Tetesi ili kupata ufafanuzi mana hata Mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA amelizungumzia Bungeni leo Asubuhi...Tungoje tupate ufafanuzi
 
tangia hapo safari hawana! wanasitisha nini sasa! au sare zao zile zimesha chakaa, wanataka mpya!
 
There you are!!! Wengine wanapiga porojo tu. Mchawi wa ATC ni P! ndege yao ni nzuri sana kulinganisha na za P, na bei yao inareflect uhalisia. Siku ufisadi ukiondoka nchi hii, sijui tutafika wapi kwa maendeleo!!!!!

jobo the great thinker!
 
sasa precision wanunue hisa ATCL wakati ATCL haina ndege, unanunuaje hisa kwenye kampuni ambayo iko bankrupt na haina ndege angani. Serikali ndio inapaswa kununua hisa Precision kwa sababu ndio shirika lililo active na linafanya kazi kwa faida.
Kama Serikali inaona kuna ugumu kwa wao kununua hisa Precision Air,basi Precision wanunue hisa katika ATCL tena wawe na majority shareholding.Sijui kigugumizi kiko kwa nani? Govt au precision?
 
Omujubi!

Uko sahihi tatizo ni Serikali na haswa huyo Mwakyembe anaota ndoto ya kuwa na National Carrier . Yeye na Dhaifu is another bunch of nicompoops . Kenya hawana national carrier Kenye Airways inayorusha ndege karibu duniani kote ni a Private Company na serikali ya Kenya inazo hisa only 23% .

It's quite simple Serikali inunue hisa PA na kutumia hiyo opportunity. Huwezi kodisha ndege moja halafu ukategemea ikutoe. Tulikuwa na Air Tanzania ikauwawa na Watanzania na hakuna aliyepelekwa Mahakamani but the dream goes on and on.

Wakati Dhaifu anazindua Hanger ya PA alipewa hiyo offer na Shirima lakini akitokea Mwakyembe aka sema dhamira ya kufufua ATC iko pale pale. Nadhani Mwakyembe ni Mkristo na anajua from the bottom of his heartbeat that hakuna kitu kilichowahi kufa kikafufuka ila yasemekana Yesu Kristo alifufuka I can't dispute that kwani wengi wanaamini.

Kufufua ATC under CCM is an impossible mission kwani it's still the same level. Just like watu Fulani wanafikiria kufufua JKT?

Simple solution lets jump at the offer ya PA tununue hisa tusonge mbele! Hizi ngonjera za kuanzisha Chuo cha air hostess is another failed CCM conception.
mara ya kwanza kumfahamu Dr. Mwakyembe ilikuwa ni miaka ya tisini mwanzoni kwenye pitapita na baada ya hapo nilivutiwa naye sana maana nilifuatilia presentations zake na shughuli zingine.
Nilianza kuwa na mashaka kidogo pale alipotangaza kuwa alikuwa akiwindwa na wauaji (TISS nadhani) lakini alipokubali kuwa naibu waziri na mambo yakendelea hadi ilipodhihirika kuwa kapewa sumu lakini kaanza kujichanganya alipoulizwa kueleza yaliyomsibu. Ila kwa hii kauli hapo kwenye red siko tena hata njia panda bali imenisikitisha sana.

 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom