ATCL Yasitisha Safari zake

Nakubaliana na Ileje 100%. Serikali iachane kabisa na biashara hii kwa sasa. Acheni Precision na wengine waendelee. Sioni ATCL inatusaidia nini. Is the flag too heavy to bear?

Hao wapuuzi Precision Air wameanza kuhujumu ATCL 1985; hao hao wanadiriki kutuibia abiria wao kupitia kupeg tiketi na dola na kusababisha abiria kulipa 25% zaidi ya dola rate ya soko. SEMA kuna makanjanja Wizara ya Uchukuzi wanafanya maamuzi ya kisiasa fisadi kwenye masuala ambayo hawana uwezo nao. HAPA ndipo tulipo na CCM hatutoki hadi CCM ife ili wenye uchungu wa nchi hii tupate nafasi ya tuiokoe nchi yetu kwenye hili.
 
Back
Top Bottom