Yaani kila dakika zinavyowenda ndivyo watu wanavyozidi kujaa kwa wingi kwenye viwanja vya soweto kwenye mkutano wa Chadema ambapo kwa wakati huu Mbunge Lema anahutubia na wengi ya wakazi wa kata ya kaloleni hasa wale ambao nyumba zao zinataka kuvunjwa ili kumpisha mwekezaji anayetaka kujenga shoping Mall.