Kyela: Yanayojiri kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara wa Chadema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,718
218,265
Kwa Mujibu wa ratiba iliyosambazwa na Chadema Kanda ya Nyasa , leo tarehe 26/02/2023 kuna mikutano miwili mikubwa ya hadhara itakayoburumishwa na Chadema .

Mapema Asubuhi hadi Mchana Mkutano utafanyika Jimbo la Kyela , Kwenye Viwanja vya SUGU mbele kidogo ya Kanisa la Roma , baadaye Mchana hadi machweo ni Jimbo la Mbarali .

Pichani Makamanda wakiwa safarini kuelekea Kyela

FB_IMG_1677402931721.jpg

Ukitaka kujua nguvu ya Chadema Kyela muulize Ndugu Harisson Mwakyembe , kwa ufupi CHADEMA ndio iliyomstaafisha kwenye siasa , yale mambo ya 'ALILE KAKO' ilikuwa porojo tu .

Kama kawaida mimi mtumishi wenu nitawaletea kila kinachojiri kutokea Viwanja vya Joseph Mbilinyi Sugu , Kyela

Usiondoke JF .
==========
UPDATES

Msafara wa Chadema umepita Kyela na kupokelewa kwa kishindo .

Tunaomba radhi kwa hitilafu ya Umeme iliyosababisha tupotee hewani .

Hata hivyo tumerejea .

View attachment 2530710View attachment 2530706View attachment 2530708View attachment 2530709
 
Mikutano ya Mbeya imedorora sana
Upo sahihi sana.Ila ikifika kwenye uchaguzi lazima tuombe polisi,watumishi,TISS na vimbwenerehi wengine "watusaidie" na aibu itakayokuwa mbele yetu.Wale tunaosema mara nyingi chama chao kimekufa huwa tunawaogopa sana.Halafu,huwa tunawaita "wa upande wa pili"!😜😜😜😜
 
Upo sahihi sana.Ila ikifika kwenye uchaguzi lazima tuombe polisi,watumishi,TISS na vimbwenerehi wengine "watusaidie" na aibu itakayokuwa mbele yetu.Wale tunaosema mara nyingi chama chao kimekufa huwa tunawaogopa sana.Halafu,huwa tunawaita "wa upande wa pili"!
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba
 
Ndo mnakpiga picha kwa horizontali ili tuone mikono mingi sio
Siyo lazima wawe wengi.Hivi unajua hata weye ni mmoja wa hao wahudhuriaji wa mkutano kupitia mtandao.Umejihesabu?Watu wanatumia akili kukushirikisha mkutanoni.Kama umebeba kichwa kama tikiti huwezi kujua.
 
Kwa Mujibu wa ratiba iliyosambazwa na Chadema Kanda ya Nyasa , leo tarehe 26/02/2023 kuna mikutano miwili mikubwa ya hadhara itakayoburumishwa na Chadema .

Mapema Asubuhi hadi Mchana Mkutano utafanyika Jimbo la Kyela , Kwenye Viwanja vya SUGU mbele kidogo ya Kanisa la Roma , baadaye Mchana hadi machweo ni Jimbo la Mbarali .

Pichani Makamanda wakiwa safarini kuelekea Kyela

View attachment 2530424

Ukitaka kujua nguvu ya Chadema Kyela muulize Ndugu Harisson Mwakyembe , kwa ufupi CHADEMA ndio iliyomstaafisha kwenye siasa , yale mambo ya 'ALILE KAKO' ilikuwa porojo tu .

Kama kawaida mimi mtumishi wenu nitawaletea kila kinachojiri kutokea Viwanja vya Joseph Mbilinyi Sugu , Kyela

Usiondoke JF .
==========
UPDATES

Msafara wa Chadema umepita Kyela na kupokelewa kwa kishindo .

Tunaomba radhi kwa hitilafu ya Umeme iliyosababisha tupotee hewani .

Hata hivyo tumerejea .

View attachment 2530710View attachment 2530706View attachment 2530708View attachment 2530709
Na mm Niko apa mkutanonii, ila hamna jipya linalowagusa maishaa ya watu
 
Back
Top Bottom