Arusha kata ya Kaloleni yatema viwanja vya soweto kwenye Mkutano wa CHADEMA

Wewe tulia maana hujui nyumba zinazozungumziwa! Nyumba za kaloleni ndio zinazotakiwa kuvunjwa kupisha mwekezaji wa kiarabu na sio nyumba za Aicc. Acha kupotosha watu!

Mpango mzima wa huo uwekezaji unanuka rushwa. Utaratibu wa kutangaza tenda umekiuka sheria ya manunuzi. Tenda haikutangazwa. Amekaa huyo anayejiita meya na mwarabu wakamalizana. Eti madiwani watapelekwa uarabuni wakaone uwekezaji kama huo wakati ramani na prototype zipo. Rushwa tu! Leo mbunge anawaeleza wananchi unasema ni kilaza. Kilaza ni yule anayekaa kimya au anayesema!? Kufikiria hivyo ni kudhihirisha ufupi wa akili yako!

Hebu njoo uelezee vizuri kuhusu sakata la hizi nyumba.
 
Wewe sio mkazi wa Arusha.huijui hii issue na huijui ina madhara gani kwa wananchi wa Arusha.Huwajui wahusika wakuu.
Kama lilivyojina lako sina muda wa kukuelimisha.unajitambua kuwa mjinga bakia na ujinga wako
 
Back
Top Bottom