Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,722
- 218,286
Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke, lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga, ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za Tanganyika , watu wameanza kuja.
Vikundi vya kutumbuiza wananchi tayari viko jukwaani , awali watu wa Afya (Red cross) walishafika viwanjani mapema asubuhi
Updates
=======
Baba Askofu Mwamakula atoa siri kwamba wao kama viongozi wa dini wanajua mambo mengi kuhusu mkataba huu ndio maana wanaukataa , anasema ni vema tukauvunja sasa badala ya kusubiri yatukute ya Djibout .
Watu ni wengi mno ! Maagizo ya Mwaipopo yamegonga mwamba
Habari zaidi, soma: