Nyamagana: CHADEMA kufanya Mkutano wa Hadhara leo tarehe 13/03/202, Lema atakuwepo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,721
218,273
Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.

Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania.

Wote mnakaribishwa.

FB_IMG_1678697000189.jpg

=============

Wananchi waingia uwanjani kwa Maandamano ya kupaza sauti na kutoa neno KATIBA MPYA , nadhani wimbo huu wa Katiba Mpya upitishwe kuwa wimbo maalum wa Mikutano yote ya hadhara nchi nzima .

View attachment 2549380View attachment 2549383
View attachment 2549385
 
Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.

Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania.

Wote mnakaribishwa.

View attachment 2548583
Lema anaenda kuharibu mambo si mtu sahihi wa kumpamba pamba kwa sababu ni mwaribifu kama Magufuri.
 
Anakuja Mwanza akiwa kavuta bange za Arusha?

Halafu leo anakuja na matusi gani kwa wananchi?
 
Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo tarehe 13/03/2023 kitafanya Mkutano Mkubwa wa hadharara kwenye Jimbo la Nyamagana.

Mkutano huo utafanyika kwenye Viwanja vya Ngongozi, Kata ya Milongo, kuanzia saa 6 kamili mchana , kwa saa za Tanzania.

Wote mnakaribishwa.

View attachment 2548583
Mungu ibariki CHADEMA
 
Back
Top Bottom