Arusha kata ya Kaloleni yatema viwanja vya soweto kwenye Mkutano wa CHADEMA

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
306
Yaani kila dakika zinavyowenda ndivyo watu wanavyozidi kujaa kwa wingi kwenye viwanja vya soweto kwenye mkutano wa Chadema ambapo kwa wakati huu Mbunge Lema anahutubia na wengi ya wakazi wa kata ya kaloleni hasa wale ambao nyumba zao zinataka kuvunjwa ili kumpisha mwekezaji anayetaka kujenga shoping Mall.
 
Mkubwa!

Ngoja kama ntawahi kbl ya mkutano kumalizika.
Naona nitachelewa kwn miundo mbinu ya barabara kuwa siyo naona kama sitowahi kwani nipo kwenye jam isiyokuwa na mwelekeo hata kidogo.

Derimto!
Rusha mpya tu kwani naona kadri ninavyojaribu kusogea jam nayo inazidi maradufu.
 
Yaani kila dakika zinavyowenda ndivyo watu wanavyozidi kujaa kwa wingi kwenye viwanja vya soweto kwenye mkutano wa Chadema ambapo kwa wakati huu Mbunge Lema anahutubia na wengi ya wakazi wa kata ya kaloleni hasa wale ambao nyumba zao zinataka kuvunjwa ili kumpisha mwekezaji anayetaka kujenga shoping Mall.

Picha mkuu kabla ya yote si unajua cdm hatupigi blablaa lazima twende kwa uthibitisho tofauti na magamba
 
Wawekezaji na magamba bana! Hv wawekezaji kujenga mall ni hadi watumie dola kufukuza wananchi na kubomoa makazi yao? Si wajenge pengine?
 
Hii haina tija. Kinachotakiwa kupewa kipaumbele ni kuomba fidia na sii siasa za majukwaani. Hamna mtu aliwahi kupanga majukwaani. Acheni ujinga.Fikirieni vya muhimu!
 
Wale wale lakini safari hii mmeshikika kila mkigusa mnaanikwa!!!!!!!!!!!! CDM aluta continua kazi kwako kamanda Lema!!!!!!!!!!!
 
hii haina tija. Kinachotakiwa kupewa kipaumbele ni kuomba fidia na sii siasa za majukwaani. Hamna mtu aliwahi kupanga majukwaani. Acheni ujinga.fikirieni vya muhimu!
toa ukichwa nazi wako hapa lazima serikali iwaombe raia waridhie ndio iwalipe fidia tn na ya usumbufu juu vinginevyo serikali iwape wawekezaji eneo lingine lilikoko wazi.
 
haya ndio madhara ya kuchagua wabunge vilaza.badala ya kuwahamasisha wananchi washirki katika kuboresha jiji lao yeye anahamasisha fujo.maana hiyo complex itawapa wananchi ajira nk.huyu mbunge wetu wizi mtupu.
 
Kabla wananchi hawajahamishwa kupisha ujenzi wa hiyo complex ni lazima walipwe stahili zao. Huwezi kuwahamisha watu kienyeji tu kama unahamisha ng'ombe.

Tumeshuhudia complex ngapi zikijengwa na ajira kuishia mikononi mwa wageni? Hapa kuna uhakika gani kwamba wanaarusha watafaidika na uwekezaji hu?
Mbunge ni muwakilishi wao waliyemchagua wana kila sababu kwenda kumsikiliza na hapa anazungumzia mustakabali wa hatma ya makazi yao, sasa sijui wewe kinakuuma nini. Je kati yako na mbunge anayetimiza wajibu wake nani kilaza?

Kwakuwa waliofanya maamuzi ya kuhamisha watu bila kuwashirikisha wadau walifanya hivyo kisiasa, basi lazima washughulikiwe kisiasa!
 
Hii haina tija. Kinachotakiwa kupewa kipaumbele ni kuomba fidia na sii siasa za majukwaani. Hamna mtu aliwahi kupanga majukwaani. Acheni ujinga.Fikirieni vya muhimu!

Naona hata Nape mwajili yenu **** tu ukiwamo wewe mwenyewe,hivi kuna raia yeyote aliyeshirikiswa kiasi cha kuridhika na fidia atakayopewa???Zaidi wanasikia tu mtaani na kwenye media kuwa watahamishwa?why,how,nk.
 
Wananchi walipwe stahiki zao zipi unafahamu zile nyumba zinamilikiwa na nani? Lile ni eneo la AICC na mmliki ana haki ya kufanyia chochote lile eneo acheni siasa na ushabiki tsio na tija

Kabla wananchi hawajahamishwa kupisha ujenzi wa hiyo complex ni lazima walipwe stahili zao. Huwezi kuwahamisha watu kienyeji tu kama unahamisha ng'ombe.

Tumeshuhudia complex ngapi zikijengwa na ajira kuishia mikononi mwa wageni? Hapa kuna uhakika gani kwamba wanaarusha watafaidika na uwekezaji hu?
Mbunge ni muwakilishi wao waliyemchagua wana kila sababu kwenda kumsikiliza na hapa anazungumzia mustakabali wa hatma ya makazi yao, sasa sijui wewe kinakuuma nini. Je kati yako na mbunge anayetimiza wajibu wake nani kilaza?

Kwakuwa waliofanya maamuzi ya kuhamisha watu bila kuwashirikisha wadau walifanya hivyo kisiasa, basi lazima washughulikiwe kisiasa!
 
Hii haina tija. Kinachotakiwa kupewa kipaumbele ni kuomba fidia na sii siasa za majukwaani. Hamna mtu aliwahi kupanga majukwaani. Acheni ujinga.Fikirieni vya muhimu!

Mjinga ni ww unaesema ovyo bila kufikiria. Unawaza kuweka picha ya ******
 
Wananchi walipwe stahiki zao zipi unafahamu zile nyumba zinamilikiwa na nani? Lile ni eneo la AICC na mmliki ana haki ya kufanyia chochote lile eneo acheni siasa na ushabiki tsio na tija

Hilo nalo neno, kumbe viwanja vina wenyewe si wananchi?? tupe habari zaidi mkuu
 
Wananchi walipwe stahiki zao zipi unafahamu zile nyumba zinamilikiwa na nani? Lile ni eneo la AICC na mmliki ana haki ya kufanyia chochote lile eneo acheni siasa na ushabiki tsio na tija

Wewe tulia maana hujui nyumba zinazozungumziwa! Nyumba za kaloleni ndio zinazotakiwa kuvunjwa kupisha mwekezaji wa kiarabu na sio nyumba za Aicc. Acha kupotosha watu!

Mpango mzima wa huo uwekezaji unanuka rushwa. Utaratibu wa kutangaza tenda umekiuka sheria ya manunuzi. Tenda haikutangazwa. Amekaa huyo anayejiita meya na mwarabu wakamalizana. Eti madiwani watapelekwa uarabuni wakaone uwekezaji kama huo wakati ramani na prototype zipo. Rushwa tu! Leo mbunge anawaeleza wananchi unasema ni kilaza. Kilaza ni yule anayekaa kimya au anayesema!? Kufikiria hivyo ni kudhihirisha ufupi wa akili yako!
 
heri ya mbunge anayehamasisha fujo na kupiga kelele kuliko hao wa magamba walio kimya na waoga kisha ni wezi na viraza wa mikataba feki je yupi bora unavyofikiria wewe na masaburi yako? pumbaaaaf!!
 
Wananchi walipwe stahiki zao zipi unafahamu zile nyumba zinamilikiwa na nani? Lile ni eneo la AICC na mmliki ana haki ya kufanyia chochote lile eneo acheni siasa na ushabiki tsio na tija

We uko mbali na Arusha? Hizo nyumba si za AICC ni zile Nation housing za Kaloleni AICC wanajenga wamehamisha ili wajenge za kwao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom