Ally Kanah
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,479
- 388
Ccm ndio wanaipeleka pabaya nchi hii,mie sijui wanataka nini? vurugu za udini wao ndio waasisi,mauaji ya albino wahusika wao,mauaji yanayofanywa na policcm wao hivi hawa wanataka nini au wamechoka kula hela zao za kifisadi?
Bado makamanda waoga wa CHADOMO