Arusha: Green guards wawapiga wananchi wa Daraja mbili

Wakuu mimi ni moja wa waathirika wa vurugu hizo, nilikuwa kwenye gari moja na huyo kamanda aliyejeruhiwa nilipigwa vibaya sana hata sasa siwezi kugeuza shingo yangu! Huu unyama wa CCM utafikia mwisho wake hivi karibuni! Wametupora laptop, iPAD, na simu! Kweli hawa jamaa ya CCM ni vibaka!

Kamanda gani kapigwa hahahaha kmanda wa muvi ya kidosi....chezea Jumanne Mjusi
 
Mungi, even kids are fade-up! I wonder watu wazima still embracing that party.

Ni kweli mkuu, jana tumeingia pale shule ya felix mrema, watoto kumwona kamanda lema upepo ulibadilika kabisa. jamaa moja akachokoza kwa kusema peopleeeeez, watoto wote wakaitikia poweeeeeeeeerrrrrrrrrrr!!!

And I think hata watu wazima are fade up too, isipokuwa wapo kimaslahi kwenye ccm. In fact baadhi ya watu wazima siyo mtaji wa mabadiliko tunayoyataka.
 
huyu Jumanne Mjusi inasemekana ni Jambazi sugu la muda mrefu wakuu





Hivi ARUSHA kuna nini? kila mgombea mara nyingi anapewa wasifu wa " ALIKUWA JAMBAZI SUGU, JAMBAZI WA KULIPWA na WENGINE WARIDHAA" Jamani kama una cha kuchangia ni bora uwe msomaji tu, wanajitolea kuongoza Arusha kwa moyo wao wote basi wapeni nafasi na achaneni na propaganda za kichama
 
Napata wasiwasi na "ukamanda" wa Hao makamanda wa CDM, Mbona Green Guard ya Arusha Sasa hivi imechoka! Ni watoto mateja wa Junior Nako, Nigger Bronx na wakudisi kutoka Bongonyoo..... Green Guard ni ile ya kwetu Kuanzia miaka ya 99 hadi 2008, 2009 enzi za KINA Ommy, ramaa, salvaa, Elia baunsa, kaka yake Mudi lingoo (manyoks) RIP.Muulizeni Simba Yule alikuwa mgombea wa udiwani CDM Kata ya Kati Ana habari zetu alihamisha hadi duka.. Ilikuwa tukikalisha tunakalisha haswa, sio hawa wa Sa hizi mateja afu mnalalamika! Je Sasa hawa wangekumbana na sisi wa kipindi hicho ingekuwa je?
 
Mkuu Gwalihenzi
Tatizo liko wapi? hayajakukuta haya siku yakikukuta utasahau kama kuna kitu kinaitwa sera

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu Chama, mapenzi hayalazimishwi! kama mwanamke anakuwa limbukeni na anaamua kukutosa unasababu gani kuendelea kumng'ang'ania? Si unakauka kwanza moyo uzoee kisha unaanza upya? Mbona wapo wengi tu hawa! achana nae! songa mbele, tafakari maswala makubwa, haya madogomadogo unawaachia watu wadogowadogo waendelee nayo!
 
Mbona kama imekuuma sana kama ulikuwa unamtaka jamaa akuoe wewe ungefunguka tu: hujachelewa by the way unaeza olewa mke wa pili maana seems unawas:hwa mbaya.

Jamaa si Kameruun Jun*** mwenyewe si wake kuna mshkaji wa Mwanza ndio anamsaidia.....hahaha sasa anawezaje oa mke wapili ilhali ile iliyomfukuzisha Kanisan imemshinda? Acha kutokwa na mapovu Jombaa
 
Hili narudia na tena ya kwamba itawagharimu sana mafisadi wa ccm!

Laana itazidi kuongezeka. Sijui kama watamaliza mzozo wao wa chaguzi zao za rushwa. Nilishawahi kutabiri humu kuwa mwisho wa CCM ni 2012 watu wakaniona labda hayawani. Narudia tena mwisho wa chama cha mafisadi ni dec 2012.
 
hivi sisi chadema tutalialia mpaka lini? hao green gurd walikuwa wangapi? na kesho mtawaacha waendelee kutamba mitaani...

Crashwise,
Ndiyo maana msimamo wangu uko palepale .Tuunde strong Red Brigade ili kumaliza huu upuuzi wa green guard.Hatuwezi kuruhusu vitisho na manyanyaso ya wafuasi wetu huku polisi wakiangalia tu.
 
Watake wasitake ni wakati wa mabadiliko!

Leo jioni green guards wamewashambulia na kuwaumiza vibaya wananchi wa daraja mbili kwa madai kuwa wamewasaliti. Hali hiyo ilitokana na wanachi kuonyesha ishara ya vidole viwili vitumiwavyo na chadema.

Baada ya kichapo hicho kada mmoja wa chadema alipigwa na green guards na kuumizwa vibaya na kushonwa nyuzi nne, amepigwa mbele ya polisi na green guards wakiongozwa na jumanne mjusi
 
Baada ya uamsho sasa ni chadema.Ni mwendo wa piga, ua, tafuna, meza,sahaukika duniani.Nawahakikishia chadema mtafutwa na msajili wa vyama na kupotezwa kwenye nyanja za siasa.
Vipi ndugu upo nyumba ya kupanga nini na umeandika kupitia simu ya mchina ukiwa chooni na mpangaji mwenzio amekugongea anahitaji kuingia chooni maana ujumbe wako umeuandika bila fikra pevu.
 
Kamanda gani kapigwa hahahaha kmanda wa muvi ya kidosi....chezea Jumanne Mjusi
Umeambiwa walikuwa wanapigwa chini ya usimamizi wa Polisccm wakiwa na siraha ulitarajia wafanye nini na ungekuwa wewe ungefanya nini?
 
Back
Top Bottom