Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

176615373l.jpg
 
hii gemu bado tunaweza kushinda tu, vijana wanacheza vizuri ilimradi yafanyike mabadiliko pale kati. Giggs leo siku nzuri kwake, yafaa awe-replaced.

Mtajuuuuta kumfahama Arshavi! Ile ilikuwa penati au? all the same 24 secs later kaweka kitu. Naanza kuamini maref wanapendelea Man U:D
 
Washabiki wa Arsenal mpira dakika 90 tafadhalini eeh?
Kweli mkuu,tusubiri dakika 90,hata hivyo goli likiingia si lazima watu tushangilie mkuu,ama unataka tununee...Ila goli la Arshavin ni zuri sana mkuu...In Arsene We Trust...Keep The Faith
 
Kweli mkuu,tusubiri dakika 90,hata hivyo goli likiingia si lazima watu tushangilie mkuu,ama unataka tununee...Ila goli la Arshavin ni zuri sana mkuu...In Arsene We Trust...Keep The Faith

Subiri kwanza kiongozi kushangilia mwishoni au?
 
Back
Top Bottom