Arsenal na Manu; Nani Kununa Jumamosi?

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Mods, naomba hii thread ikae kwa muda hapa mpaka baada ya mechi hii:

Tukiwa tunajiandaa kuona mtanange huu na baada ya Arsenal kutokutumia mapesa kusajili majina makubwa na kubakia na kuendelea kulea vipaji. Je, wataweza kuhimili vishindo vya Manu hapo Ngome Kongwe? Je, ushindi wa mechi na hasa ya jana kuwa chachu ya ushindi hapo Ngome Kongwe[sema: Old Trafold]? Je, Manu na migoli ya kulazimishia na kupulizwa na vijana wachanga katika EPL wanaweza kuzinduka na kuzima bunduki za wanaimarati? Je, Rooney anaweza kusimama bila mapande ta Tevez na Ronald? Karibu katika kutoa michango yako kuelekea katika kipute hiki hapo Ngome Kongwe.
 
Man Utd v Arsenal (1715 KO)

_46273181_manu_ars_0506.gif


Like all good teams, you bounce back from defeats which Manchester United did after their loss to Burnley.
Arsenal are through to the Champions League group stages. It will be interesting to see how much Wednesday night's win against Celtic has taken it out of them.
I fancy a draw because it's so early in the season.
Verdict: 1-1

Source:http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/8223307.stm
 
Kimsingi kabisa Mimi kama shabiki wa Arsenal naamini kuwa kumfunga Man U ni kitu kinawezekana saana tu wala hakina ubishi. Cha msingi zaidi ni kusubiri hizo dakika tisini zikatike ndio tutarudi tena hapa kujuzana kama tunachokisema sisi wapenzi wa Arsenal na cha kweli au la

Arsenal forever at top four and winning the premier cup is also easier this season than any other season past or in the future
 
Natabiri Man U watanuna tena sana. Watalabwa 2-0
hata moja tu linatosha sana
sema tu dose ya Arsena kwa sasa ni kuanzia tatu na kuendelea so naona hizo mbili zitakuwa chache sana Mkuu
 
ebu tumalizane na draw la champions league kwanza hapo baadae alafu ndio tudiscuss hii mechi kubwa ya jumamosi.leo jioni naenda bagamoyo kuficha timu tukitoka huko moja kwa moja old trafford.
 
ebu tumalizane na draw la champions league kwanza hapo baadae alafu ndio tudiscuss hii mechi kubwa ya jumamosi.leo jioni naenda bagamoyo kuficha timu tukitoka huko moja kwa moja old trafford.

...mkuu fungua thread maalum ya 2009/2010 UEFA CHAMPIONS LEAGUE basi,...
bado dakika chache tu msemakweli atawekwa hadharani...
 
Home advantage - Lakini bila hata hilii United bado hawajaonyesha kiwango. Wakiwachanganya Wigan kwa magolil ya haraka haraka kipindi cha pili.
 
SAF alichanganyikiwa alipoingia Emirates kuwaangalia Fabrigas, Ashavin na Vanpersie alafu kwenye mechi ya jtano kati ya asernal na celtic ili ajue jisni ya kufundisha mabeki wake jinsi ya kuwakaba alafu akakuta wote wapo nje.

Na ubaya wa watoto wa wenger ukiwabana washambuliaji basi wafungaji siku iyo wanakuwa viungo na mabeki sasa man wana kazi kwa maana wanachanganyikiwa na hawajui wamkabe nani wamuache nani. kesho Wana Arsenal ni kicheko tu
 
Wadugu natafuta mtu wa ku-bet nae. Mimi naamini Arsenal watalazimisha droo au watakula kichapo. Anayebisha a-bid mapema tujue muafaka unakuwaje.
 
...mkuu fungua thread maalum ya 2009/2010 UEFA CHAMPIONS LEAGUE basi,...
bado dakika chache tu msemakweli atawekwa hadharani...

sawa profesa nakusikilizia hiyo kesho Ngome Kongwe.
 
Wadugu natafuta mtu wa ku-bet nae. Mimi naamini Arsenal watalazimisha droo au watakula kichapo. Anayebisha a-bid mapema tujue muafaka unakuwaje.

Mimi nasema Manu anakula kipigo tena kitakatifu mwelekeo wa gemu umeshaonyesha hivyo!
 
Ikiwa tumeanza ligi vizuri kwa kutoa dozi ndefu kuliko wote basi wembe ni ule ule lazima tumfunge manu 4-0
 
The full draw for the Champions League group stage is:
Group A: Bayern Munich, Juventus, Bordeaux, Maccabi Haifa
Group B: Man Utd, CSKA Moscow , Besiktas, Wolfsburg
Group C: AC MIlan, Real Madrid, Marseille, FC Zurich
Group D: Chelsea, Porto, Atletico Madrid, Apoel
Group E: Liverpool, Lyon, Fiorentina, Debreceni
Group F: Barcelona, Inter Milan, Dynamo Kiev, Rubin Kazan
Group G: Seville, Rangers, Stuttgart, Unirea Urziceni
Group H: Arsenal, AZ Alkmaar, Olympiakos, Standard Liege
 
Back
Top Bottom