Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Kyaiyembe hilo swali lako linanithibitishia bado hujanielewa................cdm ni ccm-b kimfumo wa uendeshaji wa chama hicho sawa na vyama vyote vya upinzani.........................
matatizo ya ccm ni ya kimfumo na hivyo cdm inayo ila hayaonekani kwa sababu bado hawajakamata dola na watakapokamata dola ndipo yatajitokeza kuwa hakuna uthibiti wa wanasiasa kutoka ndani ya chama na hujithibiti wao wenyewe........................
Moja ya Tatizo la CCM ni kutokuwajibishana ndani ya Chama Chao, Je unamaanisha Kwamba hata Chadema kuna hili tatizo?
Kitu cha pili, najua watu wanaoongoza CHADEMA ni binaadamu kama wale wanaoongoza CCM nachokuomba ni kwamba usisahau nguvu ya Culture katika uendeshaji wa Chama, ninaamini kwamba, kwa sasa CHADEMA kuna culture dhabiti ya kukabiliana na rushwa contrarly na CCM. Ninarudi kusoma upya kabisa post yako ya kwanza, sababu sijaelewa mpaka sasa unatumia basis gani kufananisha CHADEMA na CCM.