Aliyechomwa moto South Beach afariki! Kigamboni vurugu tupu

First thing, hiyo hoteli ilitakiwa kufungwa mpaka uchunguzi ukamilike huku washtakiwa wa mauaji wakiwa tayari wanashikiliwa na polisi ikiwamo huyo muhindi aliyetoagiza kumchoma moto binadamu mwenzie.

Mbili, damu ya marehemu iwaandame hao watu wote waliofanya unyama wa aina hii mpaka nao wakiingia kaburini..

Pumzika kwa amani ndugu mtanzania..
 
Ninyi nyote mliopata exposure ni mashahidi kwenye kuheshimu utu wa mwanadamu wenzetu hawa mumuniyi maneno. Mzungu atakuchukia lakini kamwe haki yako hakunyimi. Sasa sisi viongozi wetu wamegeuka matarishi wa hawa wanaojidai wawekezaji kumbe ni wawekezaji uchwara tu ambao wanakuja na begi na kiatu kimoja and after sometime kutokana na tabia za kifisadi za viongozi wetu wanakuwa milionea na kama vile halitoshi wanashirikiana kuwanyanyasa ndugu zetu ambao ndiyo walipa kodi wakubwa huku wao wakiwa wana samehewa kodi ili waendelee kututumikisha na viji biashara vyao feki visivyoweza ku break even kama kutakuwa na leagal enforcement. Tanzanians work up; hatuwezi kuendelea kuimba wimbo wa amani wakati ndugu zetu wana kufa kwa mamia kutokana na mfumo wa unyanyasaji uliobuniwa na wasaliti wachache huku wakiudhibiti kwa nguvu ya dola. Hatuna tu data kamili lakini wengi wanafukuzwa kazi pasipo kufuata sheria na pia kutokulipwa haki zao za msingi.

Wakati wa Nyerere magabachori ukimtishia polisi tu atakupa kila unachokitaka maana walijua kule hakuna kupona; leo hii wao wanalindwa kuendelea kuwa nyanyasa raia wetu. Hivi viongozi wetu hawaoni aibu kuwakana ndugu zao na kuwatumikia hawa wageni? CCM you are a disgrace please ondokeni mtuachie nchi yetu sisi tuweke misingi inayoeleweka yenye kujali utu na thamani ya mwanadamu. Swala kama hili Rais mwenyewe alitakiwa alikemee hadharani na kutoa onyo kwa mwingine yeyote atakayejaribu kufanya kitu kama hiki lakini utashangaa hao wana nchi ambao wana exercise expression ya feelings zao za kuwa neglected ndiyo watakao kuwa dealt with vibaya mno na dola; shame on you leaders!
 
Hoteli inatakiwa iwe imefungwa kabisa. Na mhindi plus waliohusika kwa tukio hili wawe kwenye vyombo vya sheria. Na serikali itumie uamuzi wa haki na busara kwa hili!..
This is too much kuchukua uhai wa mtu tena kwa kifo cha mateso na uchungu kiasi kile, siyo ubinadamu kabisa.
 
boycott and abstinence

Hiyo haitoshi mkuu,watanzania wata sahau na hata hivo,ni nani atakae monitor hiyo boycott?
Zaidi itakua kwa wenyeji tu,wageni hawatajua chochote na wataendelea kwenda
 
Whatever it is bado vinaendelea occasionaly. Sounds kama ni maeneo ya Barakuda or someplace nearby.

Kweli inasikitisha jamaa kuchomwa kivile.
Pia natamani hizi disco zote huku zifungwe, zamani watu tulikuwa tunalala madirisha wazi tunapata upepo, sikuhizi ni disco hadi asubuhi katikati ya makazi ya watu.
 
kama ni ndugu na wananchi wameamua kuvamia hyo hotel nimefurahi sana kwa sababu inasikitisha kwa hao washenzi kupoteza maisha ya ndugu yetu mtanzania mwenzetu kwa sababu ya anasa za kidunia
 
kama ni ndugu na wananchi wameamua kuvamia hyo hotel nimefurahi sana kwa sababu inasikitisha kwa hao washenzi kupoteza maisha ya ndugu yetu mtanzania mwenzetu kwa sababu ya anasa za kidunia

Kweli mbane,hawa watu ni wachinga sana
 
Vibaka wanachomwa moto kila siku hapo mtaani kwako, mbona hujawasaidia kisheria?

Kwa hiyo unataka kumaanisha nini ulivyosema? Uliwahi kumripoti yupi na ni nani anayefahamika aliyewahi kuchoma kibaka? Nina wasiwasi na uzawa wako ndg.
 
Last year watu kwa tabia zao chafu walichoma moto mtumishi wa serikali huko MWANZA ati ni kibaka. Afisa utumishi aligeuka kuwa kibaka na walidai alitoboa dirisha aibe nguo. siyo tabia nzuri hata kidogo na inapaswa kudibitiwa mara moja.

Do the right thing siyo kujidai eti ni tabia mbaya; tabia gani? Hii ni expression ya feelings kwamba haki haitendeki inavyotakiwa ndiyo maana watu wanachukua short cut. Is a cry of a helpless mnashindwa ku insitute sheria ipasavyo then unakuja na eti tabia kati ya hao na ya viongozi ipi ni tabia mbaya zaidi? Which is the causative of the other? Acha wewe ingekuwa ni mtoto ama baba yako unayemtegemea ndo kachomwa moto ungekuja na hizo fanatics zako? Ni vyema viongozi wakaona dhamana wanayoibeba katika kulinda mali na utu wa mwanadamu haziwi compromised kwasababu hakuna kitu kinaweza companset uhai wa mwanadamu uwe ni mmoja ama wengi for none can make life come back to the dead person. Huyo anaweza ndo alikuwa the only hope kwenye ukoo mzima na kwa yeye pengine hiyo familia ingetoka katika level fulani ya welfare sasa unadhani hao utawapa compansetion gani ili uweze ku restore the lost hope. Na huyo victim utasubutuje kumlaumu wakati yeye anahaki ya kulindwa na wenye hiyo dhamana wameitoa rehani kwa maslahi ya tumbo?
 
Hawa wenzetu wenye rangi inayofanana na wazungu namacho yanayofanana na sisi sijui kwanini hwapendi kuelewa kuwa attitude zao ni mbaya katika jamii. It once happened to me pale city garden; nilipaki gari langu kwenye parking meneja wa hiyo hotel akiwa katika gari lake akataka kupaki hapo karibu na mimi dereva wake akaona ile nafasi ni ndogo akashuka kuangalia then dereva wangu alikuwa hapo karibu alipomwona kamwambia hapo hawezi kupaki atakwangua gari sasa akamwambia acha mimi nilitoe gari langu ili ninyi mpaki mimi nitafute parking sehemu nyingine. Dereva wangu actually na yeye aliona huyo mzungu mweusi anahaki zaidi ya sisi wakati parking ile ni yakulipiwa na hakuna reserve pale tulipopaki. Wakati madereva wanajadiliana boss akaona yeye hastahili ile hali akamnyang'anya funguo dereva wake akaingia ndani ya gari kabla hajaliweka vizuri akaligonga gari langu. I was just in a distant watching, alipoligonga watu wakaja juu wakaanza kumzonga yule boss akaona zile kelele hazimhusu akaingia ndani ya ofisi yake. Then mimi nikanyanyuka naku mwita dereva wangu nilitaka niite trafic aje pale asilitoe lile gari pale. Akaja officer wa hotel kumbe yule alikuwa akichungulia whats going on akasema kaka sory huyu dereva wetu kaligonga gari lako bahati mbaya so boss anaomba uende ofisini umwambie ni kiasi gani kitatosha utengeneze hilo gari. Kwakweli I felt very bad yaani yule boss mimi nimfuate ofisini kwake wakati yeye ndiyo mkosaji? Then amebadilisha issue na kumsingizia dereva while I was seeing what was happening. Nikamwambia nadhani hii kesi haimhusu yeye (ofisa) ila nadhani traffic maana ni mambo ya magari na parking na si hotel basi naomba asijali naita traffic waje then wahusika wataenda kujitetea mahakamani mimi sina haja ya kuongea na mtu. Lakini likaja wazo la leagal enforcement nikajiona very small for the first time lakini nikaamua kulinda heshima yangu nakumwambia I know what I will do ila kwa sasa siko tayari kumwona huyo boss wako ila mwambie nitatumia njia nyingine kukomesha hii tabia yake na wote wanaofanana na yeye.

Thats actually why am so much involved in opposition maana raia watanzania kwakweli serikali yao imeshindwa kuwalinda wao na mali zao. Si rahisi kujua ila mpaka ukutane na mambo haya ndo utagundua jinsi raia wanavyo nyanyaswa. Pale nilipokuwa vijana wengi waliona kama vile am somebody with mighty power kumfunza adabu yule msomali maana kazidi kuwanyanyasa; I knew why they thought that way not knowing mimi kama nilivyo was as helpless as them. Na yule msomali pia aliogopa kwasababu ya mawazo yake juu yangu ambayo hayakuwa na ukweli wowote; kumbe maskini I was just as any other Tanzanian barabarani asiye na msaada kama serikali yake haimsaidii. I learnt kwamba Tanzania si sheria inayotawala bali majina something which even rulers dont know siku raia wakichoka wao ndo watakuwa victim wakubwa. Nobody is safe kama hakuna utawala wa sheria.

Tutangaze vita kama South Africa watashika adabu
 
Poleni wafiwa , haki itendeke damu ya mtanzania haitapotea bure. Disco tu ndio kumchoma mtu kama kuku?? This is too much. Aliyeamrisha achomwe,na waliomchoma wote wawajibishwe khaaa! Unyama gani huu!
 
hawa wahindi washenzi sana na ndo maana nilikuwa kwao nilikuwa nawapiga sana na mpaka na wengine tukapelekana polisi uko kwao india naniliwashinda kesi kwa sababu nilikuwa najieleza kuwa wameniita nyani mweusi basi nikawa naachiwa huru iweje waje hapa kwetu watunyanyase tena na kufanya muaji? Ni vyema raia wakachukua hatua kwa sababu serikali imefumba macho
 
sio JK kweli?

kama wewe ni mtu mweusi, tafadhali fikiria juu ya avatar yako, hitler ni miongoni mwa watu ambao hawakuheshimu kabisa watu weusi, aliamini ni manyani siyo watu. hata wakati wa michezo ya olympic mwaka 1938 mjini Berlin alikataa kutoa medali ya dhahabu kwa mshindi mwamerika mweusi Jesse owens. Please fikiria hili jambo acha kujifedhehesha namna hii, watu wanaojua historia wanakuona hayawani. kama wewe ni mzungu basi samahani kwa hoja yangu.
 
Back
Top Bottom