Aliyechomwa moto South Beach afariki! Kigamboni vurugu tupu

Sasa hali inatulia polisi wamefanikiwa kutuliza. Lakini sidhani wataweza kufuta hasira ya wananchi kwa kutumia nguvu. They must think of alternatives
 
Sasa hali inatulia polisi wamefanikiwa kutuliza. Lakini sidhani wataweza kufuta hasira ya wananchi kwa kutumia nguvu. They must think of alternatives

Gurudumu, hii club iko maeneo gani?

Yes, hapa haki itabidi itendeke na walio husika wachukuliwe hatua kali.
It is very sad.
Tunisia ilianza hivi hivi ingawa yule alijichoma mwenyewe but kitendo kiliamsha hisia za wengi.
 
Duh! Tegeta, then kigamboni, i gues wangejaribu kubomoa nyumba along moro road wangekutana na moto wa mapanga na rifles!
 
Huyo bosi afungwe ili akome huko jela hakuna cha kuonga kabisa

Na iwe fundisho kwa mabosi wengine wanadhani pesa zao ndio maisha

Mungu amlaze pema peponi, poleni sana familia
 
Huyo bosi afungwe ili akome huko jela hakuna cha kuonga kabisa

Na iwe fundisho kwa mabosi wengine wanadhani pesa zao ndio maisha

Mungu amlaze pema peponi, poleni sana familia

YUPO NJE KWA DHAMANA......jamani dhaman hizi huwa wazi kwa wenye nazo tu...?
 
I wish i had a way,hv hao wananchi around wanasubr nn?wapige hata mawe tu,pumbavu zao,wamelaaniwa wapuuzi hawa,au wamemtoa kafara,i want the hotel down coz hata mteja atakaenda hapo atalaaniwa tu,wamama waliowazaa wahusika ni heri wangekuwa tasa,nawaombea wahusika kila baya katika hi dunia na vifo vya mateso na aibu,
 
AME, umenigusa sana, Let me tell you my dear Tanzanian, mimi hawa wazungu wachafu naishi nao kabisaaaaaa. for 24 hrs. Nikiwa mkaazi wa kwanza hapa ninapo ishi nilijionea mambo, Ukiingia kwenye lift wao hawaingii! unajua hatimayake tulikuwa tunawazomea, na kuwaambia mnaringia nini, kama maji, vyoo, lift vyote tunatumia sawa na tunalipia kodi sawa hata tukipata ajali wote tutadhurika hatuoni sababu ya ninyi kuringa kana kwamba mu wa thamani. kwa kuwabeza hivyo siku hizi wamejirekebisha.

Lakini hapa kwetu Tanzania aliyewaaribu ni askari wetu, siku moja waligombana wafanyabiashara hapa chini, basi mwenye akili akampigia Mwema alete askari na ikawa hivyo, yule mwingine akakimbia wiki nzima akijificha. Fikirini MWEMA kutumika kijinga hivyo, je, askari wengine? Bora uwe na simu ya askari tu, Ukimuuliza mhindi jambo anakwambia wewe nani ngoja nipigie askari simu!! ukiw abold enough mwambie piga ni ndugu yangu huyo, basi hathubutu!! HaleluYahu Poleni sana wafiwa.

mkuu matatizo ni yetu Watanzania wenyewe, wengi wa Watanzania hatuna confo kabisa juu ya hawa wageni, kuna siku nilianzisha tifu pale mlimani city kwenye ofisi ya vodacom, baada ya kushughulikiwa mambo yangu ilinipasa nitoe copy ID yangu wakaniambia Photocopy yao ya hapo ni mbovu hivyo niende pale kwenye dry cleaner kufanya copy, baada ya kutoa copy na kurudi Voda nikakutana na yule jamaa aliyeniambia fotocopy yao mbovu anamtolea copy ya passpot mama mmoja wa kizungu, yaani nilitetemeka na tifu lililotokea hapo lilikuwa si dogo

Watanzania Tuna matatizo sana na serikali ndio inachangia kwa asilimia kubwa tu, utakuta waliomchoma huyo jamaa ni Watanzania wenzake ila walishindwa kuwakatalia hao wahindi
 
kama wewe ni mtu mweusi, tafadhali fikiria juu ya avatar yako, hitler ni miongoni mwa watu ambao hawakuheshimu kabisa watu weusi, aliamini ni manyani siyo watu. hata wakati wa michezo ya olympic mwaka 1938 mjini Berlin alikataa kutoa medali ya dhahabu kwa mshindi mwamerika mweusi Jesse owens. Please fikiria hili jambo acha kujifedhehesha namna hii, watu wanaojua historia wanakuona hayawani. kama wewe ni mzungu basi samahani kwa hoja yangu.

Nafikiri hamjui Bayume Mohame Husein mtanzania aliyekufa kwenye death camp
Bayume Mohamed Husen
 
Hao magabachori wengi wao wanakifadhili chama tawala na fedha chafu..kama hauamini pita kariakoo kwenye maduka yao ..bendera ya kijani inapepea..yote kukwepa kulipa kodi..so sidhani kama strong decision ya kuwabana itatoka juuu..kuna mwingine alimuua mtz akawa anajaribu kutorka wakamdaka..these pipo zinahitaj kufunzwa adabu..Coz hata nyumba za NHC wanarithishana huyu anatoka kupeleka utajir aliouchuma tz india anaingia mwingine kapuku na kuanza kuiba tena..kuanzia leo mimi na mhindi ni vita kila wanionapo ni vita...tukiwa kwao manyanyaso tunapata na kwetu pia watunyanyase??this is ridiculous..shame on them..hata wenyewe kwa wenyewe wanabaguana sana na mfumo wao wa caste..sijui untouchable..sijui nin..
 
Kama kuna uwezekano ianzishwe kampeni ya kususia hiyo hoteli. Kampeni hiyo isambazwe kwa njia ya simu za viganjani, social media n.k.

Wabongo inatubidi tuanze kuwa na tabia za kuhamasisha harakati za kutetea haki zetu pale zinapovunjwa na watu wa namna hii. Vinginevyo tutazidi kukandamizwa ndani ya nchi yetu "huru" mpaka tukome!
 
kwa kweli huwa sina huruma na vibaka, wezi na majambazi na mafisadi ndio usiniambie kabisa yaani hadi leo nikishauriwa ni adhabu gani wapewe kwa kweli sijui kwani kila adhabu ninayoijua hapa duniani naona ni ndogo. but kwa hii kesi ya huyu kijana kwa kweli hawa wote waliuhusika hakuna adhabu mbadala na kifo ambayo wanastahiki. naungana na familia ya marehemu na watanzanioa wote tulioumizwa na msiba wa huyu mwenzetu ktk kumuombea marehemu m'mungu amsamehe makosa yake na amlaze mahala pema peponi.
 
Nilisoma michuzi huyo kijana huwa anauza nguo za kuogelea ni maharufu maeneo ya beach za Kigamboni. Sasa hapo Southbech wanatabia ukiingie unalipa pesa na unavalishwa karatasi mkononi (mimi mwenyewe nilikuwa mteja mzuri wa hiyo beach) ili wajuhe umelipa au umezamia. Sasa kijana amekutwa hana hicho kibangili kwa hiyo wakajua amezamia. Walinzi wakamripoti kwa meneja wa hiyo hotel. Meneja akawambia wamchome moto. Can you imagine! Ndo hivyo kalazwa hospital na sasa nasikia kafa masikini. Kwa kweli sitenda kwenye hiyo hotel tena.
hiyo ya kuuawa ilitokea lini?
 
wewe jamaa sio mtanzanaia kama sni mtanzania hujawahi kuishi nchi za nje ukabaguliwa hata kwa sekunde moja tu, usingesema haya maneno yako

mimi ni mtanzania na ninaishi Tanzania na huko nje unakosema nimeenda mara kibao- tazama vizuri tukio hili- Lilah alikamatwa na wamatumbi wenzzie, alichomwa moto na wamatumbi wenzie, wewe unakomazza issue kwa kuwa eti meneja unayethani alifanya unyama huu ni foreigner. My point which i wanted you and others to understand is unyama wa ainahii unafanyika kila siku mitaani- hapa badala ya kukemea unyama tuna-discuss unyama wa foreigner. To me this is missing the track. Nataka tutafute namna ya kumaliza unyama huu.
 
Rest in peace Lillah. Mwenyezi Mungu aipe nguvu na faraja familia yako katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
 
R.i.p lillah...tunaomba huyo meneja pamoja na walinzi wafikishwe mahakamani..wapate kifungo jela..inasikitisha.
 
Hawa wenzetu wenye rangi inayofanana na wazungu namacho yanayofanana na sisi sijui kwanini hwapendi kuelewa kuwa attitude zao ni mbaya katika jamii. It once happened to me pale city garden; nilipaki gari langu kwenye parking meneja wa hiyo hotel akiwa katika gari lake akataka kupaki hapo karibu na mimi dereva wake akaona ile nafasi ni ndogo akashuka kuangalia then dereva wangu alikuwa hapo karibu alipomwona kamwambia hapo hawezi kupaki atakwangua gari sasa akamwambia acha mimi nilitoe gari langu ili ninyi mpaki mimi nitafute parking sehemu nyingine. Dereva wangu actually na yeye aliona huyo mzungu mweusi anahaki zaidi ya sisi wakati parking ile ni yakulipiwa na hakuna reserve pale tulipopaki. Wakati madereva wanajadiliana boss akaona yeye hastahili ile hali akamnyang'anya funguo dereva wake akaingia ndani ya gari kabla hajaliweka vizuri akaligonga gari langu. I was just in a distant watching, alipoligonga watu wakaja juu wakaanza kumzonga yule boss akaona zile kelele hazimhusu akaingia ndani ya ofisi yake. Then mimi nikanyanyuka naku mwita dereva wangu nilitaka niite trafic aje pale asilitoe lile gari pale. Akaja officer wa hotel kumbe yule alikuwa akichungulia whats going on akasema kaka sory huyu dereva wetu kaligonga gari lako bahati mbaya so boss anaomba uende ofisini umwambie ni kiasi gani kitatosha utengeneze hilo gari. Kwakweli I felt very bad yaani yule boss mimi nimfuate ofisini kwake wakati yeye ndiyo mkosaji? Then amebadilisha issue na kumsingizia dereva while I was seeing what was happening. Nikamwambia nadhani hii kesi haimhusu yeye (ofisa) ila nadhani traffic maana ni mambo ya magari na parking na si hotel basi naomba asijali naita traffic waje then wahusika wataenda kujitetea mahakamani mimi sina haja ya kuongea na mtu. Lakini likaja wazo la leagal enforcement nikajiona very small for the first time lakini nikaamua kulinda heshima yangu nakumwambia I know what I will do ila kwa sasa siko tayari kumwona huyo boss wako ila mwambie nitatumia njia nyingine kukomesha hii tabia yake na wote wanaofanana na yeye.

Thats actually why am so much involved in opposition maana raia watanzania kwakweli serikali yao imeshindwa kuwalinda wao na mali zao. Si rahisi kujua ila mpaka ukutane na mambo haya ndo utagundua jinsi raia wanavyo nyanyaswa. Pale nilipokuwa vijana wengi waliona kama vile am somebody with mighty power kumfunza adabu yule msomali maana kazidi kuwanyanyasa; I knew why they thought that way not knowing mimi kama nilivyo was as helpless as them. Na yule msomali pia aliogopa kwasababu ya mawazo yake juu yangu ambayo hayakuwa na ukweli wowote; kumbe maskini I was just as any other Tanzanian barabarani asiye na msaada kama serikali yake haimsaidii. I learnt kwamba Tanzania si sheria inayotawala bali majina something which even rulers dont know siku raia wakichoka wao ndo watakuwa victim wakubwa. Nobody is safe kama hakuna utawala wa sheria.
ni kwel kabisa hawa weupe koko wanaamini watanzania hatuna haki katika nchi yetu.DAWA ni ubaya kwa ubaya mpaka kieleweke.Viwandani kwa wahìnd unapoenda kuna matusi meng sana!
 
Ila mdau hapo juu nimemuelewa. Tabia ya kuchukua sheria mkononi itatupeleka pabaya. Nimesikia kuna kijana majuzi amepigwa mpaka kufa Mwenge wakati yeye ndio aliibiwa laptop akawa anawafukuza wezi wake wakamgeuzia kibao na kumwita mwizi. Anyway system ya usalama iko ovyo ndio maana watu wanaamua kuwa wahitaki, waendesha mashitaka na watoa hukumu. Ila ni hatari aisee. Waweza kuuaawa bila kosa kwa kusingiziwa. Polisi na mahakama wafanye kazi bila upendeleo ili watu warudishe imani na kuhacha kujichukulia sheria mikononi.
 
Kama kuna uwezekano ianzishwe kampeni ya kususia hiyo hoteli. Kampeni hiyo isambazwe kwa njia ya simu za viganjani, social media n.k. <br />
<br />
Wabongo inatubidi tuanze kuwa na tabia za kuhamasisha harakati za kutetea haki zetu pale zinapovunjwa na watu wa namna hii. Vinginevyo tutazidi kukandamizwa ndani ya nchi yetu &quot;huru&quot; mpaka tukome!
<br />
<br />naunga hoja.
 
Back
Top Bottom