Aliyechomwa moto South Beach afariki! Kigamboni vurugu tupu

Vibaka wanachomwa moto iku hapo mtaani kwako, mbona hujawasaidia kisheria?
Tukiacha kasaidia eti kwa sababu vibaka wanachomwa moto kila siku bila msaada itakuwa ni makosa,na kwa kuwa mwanzo wa kuhesabu ni moja basi huu uwe mfano na mwanzo mzuri.
 
Niko Kigamboni, hivi punde nimesikia mlio wa pili mkubwa sana na kishindo kama kile cha mabomu. Sina uhakika ni kitu gani wenye taarifa sahihi tafadhali tunaomba. Ni hofu tupu tayari.

Huku tumezoea milio ya bunduki na bastola za wenyeji lakini mlio huu wa leo siyo.


Updates 1:
Taarifa za polisi zinadai kwamba ni kweli kulitokea uvamizi wa southbeach kutumia mabomu ya kutengeneza kwa mikono. Polisi waliokuwa wanalinda hoteli hiyo walifanikiwa kuzima jaribio hilo. Vijana waliohusika wanaishi Mwananyamala na waliingilia upande wa baharini. Tangu tukio hilo litokee hakuna biashara na wahindi hawatoki hata kufika mji mwema

Pia taarifa hizo zinasema kwamba kijana aliyeuawa kwa kuchomwa moto amezikwa leo kwa usalama bila fujo

Lakini hivi navyoandika hii risasi bado zinarindima huko.

Update 2:
Wananchi wamepata kisingizio! Hapatoshi southbeach! Wanataka walipue hoteli, askari wameongezwa wengi mno na mabomu wanadhibiti. Kama mnapafahamu eneo lenyewe limezungukwa na pori nene kila upande hivyo polisi wanashindwa ku establish no cross line. Wamepanic wanapiga hovyo mabomu na risasi hewani

Update 3:
Sasa hali inatulia polisi wamefanikiwa kutuliza. Lakini sidhani wataweza kufuta hasira ya wananchi kwa kutumia nguvu. They must think of alternatives
 
Kuna taarifa toka kwa mtu wangu wa karibu kwamba wananchi wenye hasira wa kigamboni wamejikusanya na kuweka kizuizi barabara ya kuingilia south beach kisha kukagua gari moja baada ya nyingine nakikuta wahindi au mhindi wanamshusha na kumtembezea mapanga..kama kuna mtu ana taarifa zaidi atujuze jamani..habari za hivi punde..naomba kuwasilisha
 
mmmh....isije ikawa ndio kumekucha tena......hebu mwingine aliyesikia atuhabarishe
 
mimi kuna mjinga mjinga moja wa temeke bakery iliyopo karibu na libya street? nilikwenda chukua keki ya birthday ya mtoto, basi naye akaja moto moto nitoe gari, basi zilipanda zile hasira za kimasai nilimbonda mbele ya staff wake halafu nikamwambia akalete hao mabwana zake anaofikiria wata mtetea, washenzi saana hawa watu, na ni sisi wenyewe tunawaachia wanatutia vodole machoni, kutokana na kuwa na viongozi wabovu wabofu
 
Hata mie nimesikia mara mbili na sasa hivi nasikia vidogo vidogo kama baruti. Ila kama maeneo ya Mjimwema.
Navy si iko kule Machava? Au?
 
nashangaa sana yaani bongo tunawaogopa sana hawa wageni wawekezaji wanaotoka nje imefika kipindi mpaka waafrica wenzetu hawa wanigeria na waghana tunawaogopa kweli inauma sana mwana amechomwa moto amefariki na hana mtetezi je ungekuwa ndio mbongo upo nje ya nchi ukamchoma raia wa huko nje ya nchi moto ingekuweje!!!mimi nasikitika sana hatuna umoja wa kuteteana katika majanga kama haya wengi wabongo wananyanyaswa sana makazini hasa kwenye makampuni ya kigeni na hakuna kiongozi yeyote wa kuwatetea!!!!jamani ifike wakati tuingie mtaani wenyewe kupambana na hawa watu mie hata siku moja sipo tayari kuona mtanzania ananyanyaswa na mhindi au hata raia yeyote yule wa kigeni plz stay in peace lili
 
Hata mie nimesikia mara mbili na sasa hivi nasikia vidogo vidogo kama baruti. Ila kama maeneo ya Mjimwema.
Navy si iko kule Machava? Au?

Hizo pistol mkuu siyo baruti, watu wengi humu wanamilki bunduki kubwa na pistol. Hawa sasa wanapiga hovyo kujihami, uoga
 
AME, umenigusa sana, Let me tell you my dear Tanzanian, mimi hawa wazungu wachafu naishi nao kabisaaaaaa. for 24 hrs. Nikiwa mkaazi wa kwanza hapa ninapo ishi nilijionea mambo, Ukiingia kwenye lift wao hawaingii! unajua hatimayake tulikuwa tunawazomea, na kuwaambia mnaringia nini, kama maji, vyoo, lift vyote tunatumia sawa na tunalipia kodi sawa hata tukipata ajali wote tutadhurika hatuoni sababu ya ninyi kuringa kana kwamba mu wa thamani. kwa kuwabeza hivyo siku hizi wamejirekebisha.

Lakini hapa kwetu Tanzania aliyewaaribu ni askari wetu, siku moja waligombana wafanyabiashara hapa chini, basi mwenye akili akampigia Mwema alete askari na ikawa hivyo, yule mwingine akakimbia wiki nzima akijificha. Fikirini MWEMA kutumika kijinga hivyo, je, askari wengine? Bora uwe na simu ya askari tu, Ukimuuliza mhindi jambo anakwambia wewe nani ngoja nipigie askari simu!! ukiw abold enough mwambie piga ni ndugu yangu huyo, basi hathubutu!! HaleluYahu Poleni sana wafiwa.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Niko maeneo ya karibu sana na Navy, hakujasikika milio hapa kambini, labda maeneo ya vijibweni huko huwa kunasikika milio ya risasi mara kwa mara
 
Pole sana kwa wafiwa na hao wahusika inabidi wachukuliwe hatua kali za kisheria.
 
Kisasi ni kwa Mungu, ila siku hizi kiko mikononi mwa watu wenyewe. Mungu atatenda hata kama siyo leo wala kesho, kuna siku tu.

Tuwe na subira ndugu zanguni.
 
Hali kwa kweli imekuwa mbaya, kama tumefika huko inahitajika wahusika wafanye juhudi kuondoa hatari hii.
 
safi sana!wao wamemuua mmatumbi mwenzetu kwa moto kisa disco jee angekula chakula bure wangemfanyaje?walitegemea nini?eti ni wawekezaji
 
Back
Top Bottom