Aliyechomwa moto South Beach afariki! Kigamboni vurugu tupu

Hawa wahindi wananichefua sana....wanapenda sana kuwa............. zetu lakini sisi wabongo/waafrika hawaturuhusu kabisa tuwa.......dada zao. Ningepata madaraka siku moja ningefanya kama alivyowafanyia Idd Amini Dadaa au kama ambavyo angewafanyia mzee wa kiraracha kama angeshika hatamu.
 
BT, na bosi wao (mhindi) naye amekamatwa?
...Na wahindi wanajua sana jinsi ya kuwanunua wabongo na hasa hawa polisi wetu. Unless watu wa haki za binadamu walishikie bango otherwise wadosi watatembeza pesa kila kona. RIP Lila....
 
mimi ni mtanzania na ninaishi Tanzania na huko nje unakosema nimeenda mara kibao- tazama vizuri tukio hili- Lilah alikamatwa na wamatumbi wenzzie, alichomwa moto na wamatumbi wenzie, wewe unakomazza issue kwa kuwa eti meneja unayethani alifanya unyama huu ni foreigner. My point which i wanted you and others to understand is unyama wa ainahii unafanyika kila siku mitaani- hapa badala ya kukemea unyama tuna-discuss unyama wa foreigner. To me this is missing the track. Nataka tutafute namna ya kumaliza unyama huu.

mkuu kama nimekusoma vizuri unataka haki itendeke kumaliza unyama huo
unafananisha tukio hili na vibaka wanaochmwa mitaani kila siku
hebu soma kwa makini maneno yako hapo juu kwenye red..alikamatwa na wamatumbi wenzie na kuchomwa na haohao..
je hao wamatumbwi wenzie wamepata order ya kumcoma kutoka kwa nani kama si gabachori?
gabachori angesema wamwache si wangemwacha!hebu think first critically before u write bana
hao waliomripoti walifanya hivyo juu ya uoga waliojengewa na hao magabachori la sivyo wangemwacha aende zake

sisi watanzania tunapenda sana kuwaona hawa wageni kama Mungu vile tunawaogopa na ku over waheshimu while its the other way round sisi tukiwa kwao..mimi siwapendi na siwaogopi hasilani..

wacha wananchi wawaonyeshe kazi na wao..dawa ya moto ni moto..wao walichukua sheria mkononi wacha na nguvu ya umma ifanye hivyo ili iwe fair, cause vyombo vya sheria havijui kazi yake hapa nchini, it looks like sasa hivi tanzania the only fairness tuliyonayo ni sheria mkononi ..tif for tat.

Inauma sana kwa kweli. poleni sana ndugu jamaa na marafiki wote wa Lila.
R.I.P Lila.
 
Dawa ni kulipiza kisasi,dawa yamoto nimoto,wakamate hao waliomchomamoto nawao wachomwe moto mpaka wafe waone utamuwake,badae wachomemoto hoteli yote nakila kilichomo viteketee na gabachori achomwe moto,hakuna dawa zaid yahiyo,naitakua fundisho kwawajinga wengine wasiojua utu,dawa ya moto ni moto tu!
 
Hiyo miswahili ni MIPUMBAVU mno!!

Wao wanaagizwa na bosi wamchome moto huyo kijana nao wanatekeleza!! kesi ikienda mahakamani huyo mhindi anaweza kuwaruka kwamba hakuwatuma ikala kwao......kwa nini walimpeleka kwa meneja in the first place? si wangeweza kumfukuza nje ya hoteli mambo yakaisha???

Ama kweli miafrika ndio tulivyo!!
 
1. Umekwenda mara kibao lakini inaonekana kila mara ulikuwa unachungulia tu. Hujakaa vya kutosha (according to my experience, it takes a minimum of 15 years to start to grasp the realities)!

2. Looks like it is you that is missing the track here.

3. I fully agree with you, but I do not think we should use this particular case as a starting point.

Soma mada ya mtoa mada, ameanisha namna watu wanavyochomwa moto mitaani. Kwa wewe haya hatupaswi kuyaangalia kwa kuwa aliyefanya siyo foreigner- zombe anaruhusiwa kuamrisha watu watano wauawe, walinzi wa hotel ya mhindi wanaruhusiwa kumchoma Moto lillah(RIP) all what we can discuss ni "wageni wanatunyanyasa". MIMI NAOMBA KUULIZA= walinzi wa Hotel ya south beach waliomchoma moto Lillah wako wapi, to me hawa ndo wz kushughulikia kwa kipaumbele, wahindi baadae.
 
Hiyo miswahili ni MIPUMBAVU mno!!

Wao wanaagizwa na bosi wamchome moto huyo kijana nao wanatekeleza!! kesi ikienda mahakamani huyo mhindi anaweza kuwaruka kwamba hakuwatuma ikala kwao......kwa nini walimpeleka kwa meneja in the first place? si wangeweza kumfukuza nje ya hoteli mambo yakaisha???

Ama kweli miafrika ndio tulivyo!!

huo ni uoga waliojengewa na hao wahindi
inawezekana wametishiwa kufutwa kazi kama wasipofanya kazi kitimilifu and all that
sasa matokeo yake ndo hayo wameripoti boss kasema wamchome,na kwa huohuo uoga wao kwamba wasipofuata maelekezo ya boss wanaweza futwa ajira na wao bila kujali consequences zake wakamchoma moto..
yani huu ni ulimbukeni unaosababishwa na hali duni ya maisha
 
  • Thanks
Reactions: Ame
As you can see watu wamehamishia janvi kwenye uzawa badala ya kdiscuss juu ya scale ya uhalifu, unyama, irresponsility and carelessness katika nji yetu.
Kwa hiyo unataka kumaanisha nini ulivyosema? Uliwahi kumripoti yupi na ni nani anayefahamika aliyewahi kuchoma kibaka? Nina wasiwasi na uzawa wako ndg.
 
Soma mada ya mtoa mada, ameanisha namna watu wanavyochomwa moto mitaani. Kwa wewe haya hatupaswi kuyaangalia kwa kuwa aliyefanya siyo foreigner- zombe anaruhusiwa kuamrisha watu watano wauawe, walinzi wa hotel ya mhindi wanaruhusiwa kumchoma Moto lillah(RIP) all what we can discuss ni "wageni wanatunyanyasa". MIMI NAOMBA KUULIZA= walinzi wa Hotel ya south beach waliomchoma moto Lillah wako wapi, to me hawa ndo wz kushughulikia kwa kipaumbele, wahindi baadae.
Kwani hilo la Zombe alikuwa discussed humu? je wana JF waliliunga mkono au walilipinga. mbona unakuwa mgumu kuelewa. dhana ya mada hii au ya tukio hili.
ninavyo ona mimi, ungelipinga au kukemea tukio hilo hili na kuongezea kwamba tunapoliongelea hili pia tusiache au tusisahau ya Zombe na wengineo wengi ambao wamefanya/wanafanya jambo/mambo kama haya/hili, mfano kuna mwekezaji moja aliwafungia watu kwenye container nk nk.
na usichukulie moja kwa moja ni issue ya wazawa dhidi ya wageni , bali kumekuwa na tabia haya hawa ndugu zetu za kufanya hivi, na matukio kama haya unaweza kwenda nyuma hata miaka 20 iliyo pita utayaona yapo.
mfano kuna jamaa yangu moja alikuwa anafanya nufaika distributors, basi siku ya mwisho wa mwezi wakampa fifty yake mdosi akapewa zaidi, basi yule mdosi aka mringishia jamaa kwamba yeye anapata zaidi , basi jamaa yangu alichukua bahasha ya jamaa akatokomea zake, maana institution zetu hazifany kazi ipasavyo.
 
mshenzi nini unacheza na uhai wa mtu tena amefanyiwa unyama na wewe unaleta kejeli za kijinga hapa na mimi nitasaidia mpaka mwisho wake na haki itatendeka na itakuwa ni fundisho kwa watu wanaojichukulia sheria mikononi
Nashukuru kuwa wewe ndo utapata fundisho, Lakini kwa kukusaidia tu: Zombe na wenzie wako wapi, hata Mh.Dito(RIP) aliweza kupitishwa mlango wa majaji ili hivyo vikamera vyenu visije vikamdhuru. Just to give you a lesson. Usidhani na kejeli huu ndo ukweli lakini mgumu kumeza. RIP marehemu.
 
inauma sana na inauma zaidi pale alofanya haya ni mgeni na atasaidiwa na wazawa kusolve tatizo nimekutana na hali kama hii mswahili mwenzangu ananifukuza kwa matusi na kejeli ni toe gari kwenye parking ili apaki mhindi kwakweli niligeuka mbogo ckujua ujasiri ulitoka wapi niliongea mpaka mhindi akaogopa na mwahili akafyata mkia kweli yapo na yanatendwa na waswahili wenzetu wanaowanyenyekea wageni
 
Soma mada ya mtoa mada, ameanisha namna watu wanavyochomwa moto mitaani. Kwa wewe haya hatupaswi kuyaangalia kwa kuwa aliyefanya siyo foreigner- zombe anaruhusiwa kuamrisha watu watano wauawe, walinzi wa hotel ya mhindi wanaruhusiwa kumchoma Moto lillah(RIP) all what we can discuss ni "wageni wanatunyanyasa". MIMI NAOMBA KUULIZA= walinzi wa Hotel ya south beach waliomchoma moto Lillah wako wapi, to me hawa ndo wz kushughulikia kwa kipaumbele, wahindi baadae.

Hivi unavyoendelea kutokuona hii issue kuwa ni ya wageni/gabachori a.k.a wawekezaji njaa naomba kuuliza kwenye militant system askari anaye institute command na yule anaye toa nani ni mkosaji? Hujui ya kuwa hao wabongo wanaishi katika situation ipi incase hawatafanya walichokifanya; je kama kuna monitoring system na kama wasipofanya hivyo wao wanateswa kwanjia nyingine unalifahamu/ Usikimbilie kuwahukumu tu hao bila kujua mazingira waliyo nayo hao wabongo wenzako tena ukijua kabisa nchi hii mbele ya sheria wenye haki ni wachache sana kutokana na corruption. Unaweza fanya otherwise ukaishia wewe na familia yako kulipa garama ya huo aliyechomwa na bado ukienda mbele ya sheria ukaongezewa na kesi juu uishie kufungwa milele.

My young bro was hakimu mahakama ya kazi akahukumu kesi inayomhusu mzungu mweusi mmoja dhidi ya wafanyakazi wake ambao aliwafukuza pasipokuwa na grounds zozote na kukataa kuwalipa mafao yao akaishia kuhamishwa na kupelekwa very remote sijui ilikuwa ni adhabu ama ni sehemu ya kazi lakini ilitokea baada ya hao mambo na wale wafanyakazi wakaishia kushindwa kwenye mahakama za juu. Hii ndiyo nchi tunayoishi hapo utawalaamu raia wanaoamua kuchukua sheria mkononi?
 
Asante kwa hoja za mtazamo chanya, watanzania tumeingiliwa mawazo ya kulalamikia matokeo na si kujadili chanzo/kisababishi.
Do the right thing siyo kujidai eti ni tabia mbaya; tabia gani? Hii ni expression ya feelings kwamba haki haitendeki inavyotakiwa ndiyo maana watu wanachukua short cut. Is a cry of a helpless mnashindwa ku insitute sheria ipasavyo then unakuja na eti tabia kati ya hao na ya viongozi ipi ni tabia mbaya zaidi? Which is the causative of the other? Acha wewe ingekuwa ni mtoto ama baba yako unayemtegemea ndo kachomwa moto ungekuja na hizo fanatics zako? Ni vyema viongozi wakaona dhamana wanayoibeba katika kulinda mali na utu wa mwanadamu haziwi compromised kwasababu hakuna kitu kinaweza companset uhai wa mwanadamu uwe ni mmoja ama wengi for none can make life come back to the dead person. Huyo anaweza ndo alikuwa the only hope kwenye ukoo mzima na kwa yeye pengine hiyo familia ingetoka katika level fulani ya welfare sasa unadhani hao utawapa compansetion gani ili uweze ku restore the lost hope. Na huyo victim utasubutuje kumlaumu wakati yeye anahaki ya kulindwa na wenye hiyo dhamana wameitoa rehani kwa maslahi ya tumbo?
 
Naona unamengi ya kueleza juu ya magabachori, lakini unaoverlook sababu zinazosababisha watu kujichukulia sheria mkononi.
Hivi unavyoendelea kutokuona hii issue kuwa ni ya wageni/gabachori a.k.a wawekezaji njaa naomba kuuliza kwenye militant system askari anaye institute command na yule anaye toa nani ni mkosaji? Hujui ya kuwa hao wabongo wanaishi katika situation ipi incase hawatafanya walichokifanya; je kama kuna monitoring system na kama wasipofanya hivyo wao wanateswa kwanjia nyingine unalifahamu/ Usikimbilie kuwahukumu tu hao bila kujua mazingira waliyo nayo hao wabongo wenzako tena ukijua kabisa nchi hii mbele ya sheria wenye haki ni wachache sana kutokana na corruption. Unaweza fanya otherwise ukaishia wewe na familia yako kulipa garama ya huo aliyechomwa na bado ukienda mbele ya sheria ukaongezewa na kesi juu uishie kufungwa milele.

My young bro was hakimu mahakama ya kazi akahukumu kesi inayomhusu mzungu mweusi mmoja dhidi ya wafanyakazi wake ambao aliwafukuza pasipokuwa na grounds zozote na kukataa kuwalipa mafao yao akaishia kuhamishwa na kupelekwa very remote sijui ilikuwa ni adhabu ama ni sehemu ya kazi lakini ilitokea baada ya hao mambo na wale wafanyakazi wakaishia kushindwa kwenye mahakama za juu. Hii ndiyo nchi tunayoishi hapo utawalaamu raia wanaoamua kuchukua sheria mkononi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom