Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,256
- 2,862
Wanakuja
Hesabu 21:4-9 "Waisraeli walifunga safari kutoka mlima Hori wakapitia njia inayoelekea bahari ya Shamu ili waizunguke nchi ya Edomu....
''Wakiwa njiani wakaanza kumnung'unikia MUNGU na pia Musa wakisema kwa nini mmetutoa Misri tuje kufia humu jangwani? Humu hamna chakula wala maji,nasi tumechoshwa na chakula hiki duni....MUNGU akapeleka nyoka wenye sumu miongoni mwa watu,wakawauma hata watu wengi wakafa....wakatambua baadaye kuwa walikuwaa wametenda dhambi mbele ya MUNGU na Musa pia,wakamwendea Musa wakimtaka awaombee.Musa akawaombea na Mungu akamwambia"tengeneza nyoka wa shaba,umtundike juu ya mlingoti.Mtu yeyote atakayeumwa na nyoka akimtazama nyoka huyo wa shaba atapona.Basi Musa akatengeneza nyoka wa shaba akamtundika juu ya mlingoti.Kila mtu aliyeumwa na nyoka mwenye sumu akimtazama huyo nyoka wa shaba,mtu huyo ALIPONA.
Kwa hiyo alama ya nyoka ni uponyaji yaani TIBA.
Lakini kabla ya huo uponyaji nyoka huyo huyo ilikuwa alama ya mauti, au? Maana hao waliopona kwa kumwangalia nyoka, walikuwa wameumwa na nyoka.
Habar,nimekuwa Nikijiuliza Maswal Juu Ya Hi Logo Inayo Onesha Nyoka Amejikunja Katka Kijit Ama Fimbo Kwanin Inatumia Na Mambo Yahusuyo Matibabu Ama Dawa , Nimejaribu Pia Kuangalia Baadh Ya Hospital Za Kidin Na Binafsi Zikiwa Na Nembo Hii Naomba Mwenye Kufaham Maana Ya Hii Atufungue Macho, Natanguliza Shukran Kwenu
Alikuwa nyoka wa nyama, alitengenezwa nyoka wa shaba
Lakini kabla ya huo uponyaji nyoka huyo huyo ilikuwa alama ya mauti, au? Maana hao waliopona kwa kumwangalia nyoka, walikuwa wameumwa na nyoka.
Binafsi nashawishika kuamini kwamba hili ndilo jibu sahihi kwa swali lililoulizwa.Ni mnyoo Anaitwa GUINEA WORM au LITTLE DRAGON OF MEDINA ni huyo mnyoo kumtoa mwilini ilikua lazima uchomeke stick na kuizungusha ndio umtoe....
sasa baada ya jaribio hilo kufaulu ni alama ya ushindi kwenye sekta ya afya ulimwenguni.
ila wataalamu wa udakitari na afya wanajuza vizuri kuliko mimi
Alama Ya Uponyaji, Rejea Katika Biblia Kipindi Musa Anawakomboa Wana Wa Israel Toka Utumwani Misri Kuna Wakati Walimkosea Mungu Akaamua Kuwashushia Majoka Yakawa Yanawauma Wanakufa. Ndipo Musa Akamlilia Mungu Awasamehe, Mungu Akasikia Akamwamuru Musa Atengeneze Nyoka Wa Shaba Ambaye Walipoumwa Na Nyoka Walimtazama Na Wakapona.Kwa Hiyo Daktari Ni Nyoka Wa Shaba Au Mponyaji,japo Sisi Tuna Watupaga Mabwepande Huko, Hata Hospitali Ni Nyoka Wa Shaba Pia,kwani Ni Mahali Pa Uponyaji
Si Kweli Kwmb Ni Uponyaji. Na Lile Tendo La Nyoka Wa Shaba Lina Maana Kubwa Tofauti Kabsa Unavyodhani. Lile Ni Tendo La Imani Ambapo Musa Aliambiwa Na Mungu Afanye Na Ndio Maana Matokeo Yakaonekana.
Sasa Swali, Hiyo Alama Ya Nyoka Inayotumika Kwny Hosptal Ni Mtumishi Wa Mungu Gani Alyetoa Huo Unabii Leo? Na Je, Wagonjwa Leo Wanapona Kwa Kuangalia Alama Hiyo?
Mimi Kama Mchungaji Ninakemea Hilo Jambo,na Kila Kusudi Lilokusudiwa Kwa Mamlaka Ya Jina La Yesu Kristo.