baba swalehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ugumu wangu

    Baba Swalehe uko wapi Mkuu?

    Jamani wana JF namtafuta huyu rafiki yangu wa siku nyingi sana humu Nyumba ya furaha, lakini simsikii kabisa baba Swalehe uko wapi nakutafuta mkuu?
  2. X

    VIMBWANGA MATUKIO CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

    Kuachana na kusherekea sikukuu hizi kwa kupata burudani mwanana Pia tuna ndugu zetu wa kidigital hutufurahisha sisi tuliokosa location Nabandika vimbwanga vyangu nilivyoshuhudia hapa duniani mwaka huu nawe bandika vyako :D:Dtamka neno moja la kijasiri :D Mubashara
  3. Che Kalizozele

    Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

    Naomba kufahamishwa kwa nini katika nembo za kada za afya(sina hakika kama ni zote) zina nyoka.Nyoka ni alama ya nini,anawakilisha nini na kwa nini nyoka isiwe chura au binadamu.Nakumbuka katika nembo ya pharmacy kuna nyoka na hata katika nembo ya Muhimbili kuna nyoka pia si chuo si hospitali...
  4. Waterbender

    Hapa mkuu Lifecode alikuwa anamaanisha nini?

    Habari zetu wana JF, Naomba mnisaidie kudadavua au kutolea maelezo kidogo au kwa upana kuhusu hiyo short notes ya mkuu lifecode nimejaribu kuchokoza mara kwa mara lakin holaa. Natanguliza shukuran. Trained bender (Lifecode) Language that the universe speaks is through symbols asigned into...
  5. X

    Vihoja wanavyofanya mwaka wa kwanza pindi wanapoingia chuoni kwa mara ya kwanza

    Wanafunzi wanaoendelea na masomo vyuo vikuu vya Tanzania hujishughulisha na shughuli mbalimbali za kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza, ikiwemo mizaha na vicheshi miongoni mwa wanafunzi wenzao. Mabadilishano haya ya ucheshi husaidia wanafunzi wapya kuhisi sehemu ya utamaduni wa jumla na...
Back
Top Bottom