KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
- Thread starter
- #81
Kakajambazi:
Ni jambo zuri ulilofanya kushikisha watu jambo hili. lakini naomba Forum imejaa mizaha sana. Naomba kukuuliza:
Ubarikiwe.
- Je wewe ni mlokole?
- Je, umeshawahi kusikia huduma kama vile New Life in Christ, Prayer action Tanzania, Vikundi mbali mbali vya maombi? au hata kanisani kwako. Could you please share this vision with your local pastor. Anaweza kukupa ushauri wa kufanya au hata kuomba pamoja naye, ili Mungu aonyeshe dhahiri nini kiko mbele ya nchi ama Taifa.
Mkuu mimi kwa sasa nimeokoka.