Ajali mbaya ya ndege kutokea Tanzania soon

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuomba na kukemea nami, ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.
 
sheikha yahaya aliacha wanafunzi wengi sana aisee... hiyo ajali ni ya shirika la ndege la tanzania, au ndege irukayo humu nchini au hata ndege ya mbali bali irukayo anga letu???

aisee, sheikh yahya annex uko juu
 
Njaa tu inakusumbua nadhani ukishiba utaona mambo ya maendeleo yanaclick kwenye akili yako!!! badala ya ajali ya ndege..
 
Shekhe Yahya kama umeona kutatokea ajali tunakuomba ile ndege tulioambiwa itanunuliwa, walalahoi tutakula nyasi basi naiomba uifanye hiyo ipate ajali mbaya na abiria mashuhuri wafe papo hapo. Itakuwa nafuu kwa Taifa na auheni kwa rasilimali zetu.
 
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuombana kukemea nami ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.

Mkuu pole nadhani ni roho ya unabii. Mimi pia nina hali hiyo ila nikipata maono hayo nisipomwambia mtu jambo hilo hutokea. nikisema kwa mtu halitokei.
 
Pole sana!we pray isijekutokea kweli!achana na hao wanaokwambia eti mfuasi wa sheikh yahaya!that is a freedom of speech!
 
Uchuro huu. Ngoja tuhesabu miezi, tukiwa bado na uhai tutakukumbusha baada ya miezi sita kwamba huu ni uchuro tu.
 
Kwenye ndoto yako uliona hii ndege?
kipanya_26-_01-_2012_20120201_1088718067.jpg
 
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuombana kukemea nami ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.

Mungu wa hivyo hhayupo siku hizi,Mungu wa sasa amezeeka hana muda wa kutoa taarifa,ushindwe na ulegee!
 
Back
Top Bottom