Ajali mbaya ya ndege kutokea Tanzania soon

Mkuu Pasco, umeniacha hoi! Zaidi ya kuwa na imani iliyopitiliza (fundamentalism) nafikiri utakuwa na conspiracy between your soul na mtoa mada.

How can you live believing in dreams? Maonao, maajabu, etc has never been witnessed for the last decade hata huko alikozaliwa Yesu.

Ndoto na weather forecast vinafanana? TB katabiri kuna rais wa Africa atakufa, ila akatoa angalizo kwamba atamtaja wakati ukifika! Hapa kamlenga Muganbe na kile kibabu cha Africa Magh. Atapata pesa!
Wabandwa, hayo niliyoyaandika ni mambo ya kweli yaliyopo wala hakuna conspiracy theory yoyote kwenye issue hii!. Some dreams ni ukweli mtupu ambapo astra body yako inaondoka na kushuhudia. Lipo somo la namna ya kushuhudia hiyo astral body ikitoka na kuiacha physical body kitandani inaitwa 'astra travel'. Huku kwetu ndio wanaita wanga!.
 
I hope wewe siyo terorist! isije ikawa ni deeds zako halafu unajifanya kutabiri! (maana hata mzee Osama alijidai kutabiri yale magorofa kuanguka spetacularly).
 
Nahisi mtoa mada anajihusisha na shughuli za ugaidi kwa hiyo ameweka mada hii makusudi kupima uhalisia na ugumu/urahisi wa kutekeleza jukumu lake la kulipua ndege tz
Ingekuwa tuna Usalama wa Taifa ulio hai (Yaani haujachakachuliwa kama ulivyo sasa) KakaJambazi angepaswa kufuatiliwa ili kujitosheleza kwamba yeye si mmoja wa magaidi wanaopanga ajali hiyo. Tatizo hawa jamaa wapo wapo tu maana kama wangekuwepo kikwelikweli watu wasingethubutu kuihujumu nchi kiasi hiki na kashfa za IPPTL, Aggrecco, EPA, Richmond, Rada, Ndege ya "Kuleni Nyasi" n.k. zisingekuwepo. Na kwa kuongeza hata ulipuaji wa ubalozi wa Marekani uliopora roho kadhaa za ndugu zetu hapa usingefanikiwa.
 
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuomba na kukemea nami, ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.[/QUOTE

Vema na iwe hivyo.

Je ni nani anatekeleza? TISS ya nani, Elshabab, Elqaida au Boko haramu
 
Shekhe Yahya kama umeona kutatokea ajali tunakuomba ile ndege tulioambiwa itanunuliwa, walalahoi tutakula nyasi basi naiomba uifanye hiyo ipate ajali mbaya na abiria mashuhuri wafe papo hapo. Itakuwa nafuu kwa Taifa na auheni kwa rasilimali zetu.

aaahaa! Nimekusoma. Amen
 
Dah, mkuu naona hisia zako zilikua Congo, au wewe ndo wale Wacongoman wanaojiita wabongo?
 
Ni kweli, na ajali hiyo imeishatokea leo. Arusha, imejeruhi kidogo tu.... eh, umesema nini, ndege? oh mi nilidhani baiskeli!
 
Bubu Msemaovyo na Kaka Jambazi, najua baadhi ya watu wasiojua mambo haya, watawaona kama machizi fulani, lakini sisi tunaoelewa tunaelewa mnazungumza nini.

Nyinyi wote wawili mna vipaji na vipawa vya kuona mbali, wenzetu wanaita, preamonition na precognition, kama manabii walivyokuwa na uwezo wa kujua yajayo. Ni watu wengi tuu wana vipawa/vipaji hivi ila hawajijua, ila wengine jambo likishatokea, ndipo wanakumbuka kuwa tukio kama hilo, waliwahi kuliona.

Wengine wanaonyeshwa tuu kama 'vissions', maono na wengine wanaonyeshwa ndotoni, ila hiyo ndoto inakuwa inajirudia rudia.

Hizo ni works of powers zinazoitwa "PSI", au "psychic" kila mtu anazaliwa nazo, ila kadri anavyokuwa, zinapotea kidogokuwageuza au wachawi, au waganga etc.

Baadhi ya mashirika makubwa ya ndege, likiwemo British Airways, wamewaajiri watu kama hawa, ili kuzui ajali za ndege zake, hutakaa usikie BA imepata ajali!.

Nguvu hizi zinafanya kazi kwa kutumia "power of Mind", au "will Power" zimegawanyika katika makundi mbalimbali namiongoni mwake ni
Faith Healing-Kutibu kwa imani (wengi wakiita miujiza).
Demon Casting -kufukuza mapepo (watu wa dini wakiita kukemea, wasahili wakiita kupunga mashetani)
Telepathy-Kuwasiliana bila kuonana
Telepotation-Kuhamisha kitu bila kukigusa
Levitation- Kupaa juu na kuelea hewani.
Metal Bending-Kupinda vyuma bila kukigusa.
Precognition-Kutambua yajayo kabla hayajatokea.
Preamonition- Kutabiri yajayo
Clayvoyance-Kuzungumza na waliokwisha kufa ili kuuliza ulipo urithi etc (kiafrika kuzungumza na mizimu"
Dowsing-Kutambua mahali ardhini ambapo zimechimbiwa mali, maji au madini (Myahudi Uri Geller" ni tajiri mkubwa kwa kugundua yalipo mafuta au madini, na mkataba wake ni just 1% ya net profit).
Astral Travel- Kutembelea ndugu jamaa na marafiki bila wao kukuona (huku tunawaita wanga)
etc etc.
Etc, etc.
Topic hii ni ndefu, mimi nimesoma for leisure mambo haya na nina hazina kubwa ya vitabu kuhusu mambo haya. Nilipanga nikitulia, nimshauri mode aanzishe jukwaa rasmi la "Mambo Makuu ya Ajabu na Kweli" ili kuwabaini watu hawa na kuwasaidia ku channels hizo powers walizonazo through a good use!.

Angalizo: The deviding line between source ya nguvu hizo kama ni nguvu za Mungu au ni nguvu za giza, is very thin!. Mimi ni Mkatoliki na kuna vitabu nimesoma wanadai Katoliki ni demonics!. Kuna watu wenye nguvu za uoni nimewahi kuzungumza nao, wameniambia wachungaji karibu wote kuanzia Benny Hinn, T.B Joshua, Mwingira, Kakobe, Lusekelo, Rwakatare etc, wote wanatumia nguvu za giza kufanya uponyaji japo wanalitaja jina la Bwana!.

Mtu huyo aliniambia, kile kifungu cha Biblia Takatifu kinasema wazi "Omba Utapewa"!. Amesisitiza Mungu wa ukweli, analo jina lake hali, neno 'Mungu" ni cheo chake tuu ndio maana kuna miungu kibao, ili kufanyiwa miujiza kwa jina la Mungu, wote wanaotibu kwa jina la Mungu, au Bwana, wanatibu kwa kutumia jina la cheo tuu na sio jina halisi!, akasisitiza Shetani ndio amejidisguise na kulitumia jina la cheo cha Mungu, ila uishie hapo hapo kwenye kutaja cheo, bila kulitaja jina halisi la Mungu, hivyo shetani atafanya kila kitu ikiwemo hiyo miujiza ili kumake bilieve kuwa anayefanya ni Mungu!.

Jee tutajuaje kuwa miujiza hii ni ya shetani na sio ya Mungu?. Hii ni topi inayojitegemea!.

Pasco.

pasko kwahyo unataka kutwambiaje?kwamba hakuna mchungaj mkwel au?hilo jina la Mungu ambalo ni halisi ni lipi ambalo wakristo wote hawalijui?mind u Devil is a liar,kwa mawazo kama yako unaweza kuishia upagan,soma neno na kuomba Mungu atakupa pakusimama!Kila akiibuka mtmsh mkubwa anahusishwa na evil power inamaana basi shetan ana nguvu kuliko Mungu?
 
simshangai mtoa mada.kuna kidege fulani kinaendaga mwanza ni jet jina nimesahu iko moja tu nina mashaka na usalama wake.
 
Pasco BA ishapata ajali nyingi tu baadhi ya hizo na matukio mengine haya hapa.
[h=2]Incidents and accidents[/h]
  • On 10 September 1976, a Trident 3B on British Airways Flight 476, flying from London Heathrow to Istanbul collided in mid-air with an Inex Adria DC9-31 near Zagreb, Croatia, resulting in the 1976 Zagreb mid-air collision.[SUP][141][/SUP] All fifty-four passengers and nine crew members on the BA aircraft died. This is the only fatal accident to a British Airways aircraft since the company's formation in 1974.
  • On 24 June 1982, Flight 9, a Boeing 747–200, G-BDXH, City of Edinburgh flew through a cloud of volcanic ash and dust from the eruption of Mount Galunggung, causing extensive damage to the aircraft, including the failure of all four engines.[SUP][142][/SUP] The crew managed to glide the plane out of the dust cloud and restart all four of its engines, although one later had to be shut down again. The aircraft made an emergency landing at Halim Perdanakusuma International Airport just outside Jakarta, Indonesia. No-one was injured.[SUP][143][/SUP]
  • On 10 June 1990, Flight 5390, a BAC One-Eleven flight between Birmingham and Málaga, suffered a windscreen blowout due to the fitting of incorrect bolts the previous day. The Captain suffered major injuries after being partially sucked out of the aircraft, however the co-pilot landed the plane safely at Southampton Airport. The captain, Tim Lancaster, despite the physical trauma he suffered, fully recovered and five months later he returned to duty.[SUP][144][/SUP]
  • On 29 December 2000, British Airways Flight 2069 from Gatwick Airport to Nairobi experienced a hijack attempt whilst flying over Sudan.[SUP][147][/SUP] A Kenyan student with a mental illness burst into the cockpit of the Boeing 747. As three crew fought to restrain the man, the auto-pilot became disengaged and the jet dropped 10,000 feet (3,000 m) with 398 passengers on board. However, with the help from the passengers, the pilots recovered the aircraft, successfully restrained the Kenyan with handcuffs and the plane landed safely.[SUP][148][/SUP] Passengers aboard the plane included English singer Bryan Ferry, urban planner Britta Engstrom, and socialite Jemima Khan.[SUP][149][/SUP]
  • On 19 February 2005, the No. 2 engine of a Boeing 747–400 G-BNLG surged (whereby the airflow through the engine reverses) and suffered internal damage just after take off from Los Angeles on a flight to London Heathrow with sixteen crew and 351 passengers on board.[SUP][150][/SUP] The crew shut the engine down and continued the climb and continued the flight, in line with BA's standard operating procedures for 4 engined aircraft. Because it was unable to attain normal cruising speeds and altitudes, the aircraft diverted to Manchester Airport, England. The United States Federal Aviation Administration had been critical of the Captain's decision and accused BA of operating the aircraft in an non airworthy condition.[SUP][151][/SUP] In June 2006 the UK Air Accidents Investigation Branch recommended that the UK and US authorities review the policy on flight continuation and give clear guidance. This has not happened but the FAA have accepted the United Kingdom Civil Aviation Authority’s determination that the aircraft was airworthy.[SUP][152][/SUP]

The damaged British Airways Flight 38​

  • On 17 January 2008, British Airways Flight 38, a Boeing 777-200ER G-YMMM, flying from Beijing to London, crash-landed approximately 1,000 feet (300 m) short of London Heathrow Airport's runway 27L, and slid onto the runway's threshold. This resulted in damage to the landing gear, the wing roots, and the engines, resulting in the first hull loss of a Boeing 777. There were 136 passengers and 16 crew on board. One serious and twelve minor injuries were sustained. The initial report from the Air Accidents Investigation Branch stated that the engines repeatedly failed to respond to commands for more thrust from both the autothrottle system and from manual intervention, beginning when the aircraft was at an altitude of 600 feet (180 m) and 2 miles (3.2 km) from touchdown.[SUP][153][/SUP] In September 2008, it was revealed that ice forming in the fuel might have caused the crash. In early 2009, Boeing sent an update to aircraft operators, identifying the problem as specific to the Rolls-Royce engine oil-fuel flow [heat exchanger] which has since been the subject of a fleet-wide modification programme to prevent recurrences of ice formation in the fuel flow.[SUP][[/SUP]
  • [SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/British_Airways#cite_note-2009-heat-exchanger-153[/SUP]hata wangekuwa na watu wa kutabiri nk ajali haziepukiki. source http://en.wikipedia.org/wiki/British_Airways
 
Uchuro huu. Ngoja tuhesabu miezi, tukiwa bado na uhai tutakukumbusha baada ya miezi sita kwamba huu ni uchuro tu.

Tatizo akiona miezi imeisha na hakuna kilichotokea, attamua kubali ID hapa JF.

Hvyo itakuwa ngumu kumnyooshea vidole.

ASHINDWE NA ALEGEEEEEEE !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuomba na kukemea nami, ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.

Ndugu, naomba nikuulize swali huenda litanisaidia kukuelewa zaidi kuhusu hii ndoto yako na ajali inayotegemewa.
Je, ndege hiyo ni ya namna gani??

Kutokana na Sayansi siku hizi kuna ndege za aina nyingi:-

(a) Zinazoendeshwa na marubani tunazoziona kuuka toka katika viwanja vya ndege (MF. DIA, KIA)
(a) Ndege za kivita.
(c) Ndege za WACHAWI (UNGO) ambao pia kisayansi wanaita ndege kwani unaruka juu. Na kama tulivyoshuhudia ule ungo uliodondoka pale maeneo ya Mbezi Kimara - DSM

Niweke wazi ili nichangie mada hii.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kakajambazi:

Ni jambo zuri ulilofanya kushikisha watu jambo hili. lakini naomba Forum imejaa mizaha sana. Naomba kukuuliza:
  1. Je wewe ni mlokole?
  2. Je, umeshawahi kusikia huduma kama vile New Life in Christ, Prayer action Tanzania, Vikundi mbali mbali vya maombi? au hata kanisani kwako. Could you please share this vision with your local pastor. Anaweza kukupa ushauri wa kufanya au hata kuomba pamoja naye, ili Mungu aonyeshe dhahiri nini kiko mbele ya nchi ama Taifa.
Ubarikiwe.
 
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuomba na kukemea nami, ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.

Mkuu Sheikh Yahaya alikuachia mikoba?
 
wewe ni mjukuu wake marehemu shehe yahya hussein


Hapana huyu siyo mjukuu wa Sheikh yahaya Hussein; BALI HUYU NI MWANACHAMA WA CHAMA CHA MAJAMBAZI (CCM) wewe kwa ushahidi angalia hata jina lake alilotumia hapa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hivyo wameshaona tayari wameua Wagonjwa walalahoi, kisha wakashinda Uchaguzi wa UZINI Zanzbar.

Sasa wanataka kudondosha ndege ili washinde Uchaguzi wa Arumeru.

"MSHINDWE NA MLEGEEEEEEE CCM WOTE NA NJAMA ZA KUTOA KAFARA"


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Jamani msiombee hii kitu

plane-crashing1.jpg
 
Angalizo: The deviding line between source ya nguvu hizo kama ni nguvu za Mungu au ni nguvu za giza, is very thin!. Mimi ni Mkatoliki na kuna vitabu nimesoma wanadai Katoliki ni demonics!. Kuna watu wenye nguvu za uoni nimewahi kuzungumza nao, wameniambia wachungaji karibu wote kuanzia Benny Hinn, T.B Joshua, Mwingira, Kakobe, Lusekelo, Rwakatare etc, wote wanatumia nguvu za giza kufanya uponyaji japo wanalitaja jina la Bwana!.

Mtu huyo aliniambia, kile kifungu cha Biblia Takatifu kinasema wazi "Omba Utapewa"!. Amesisitiza Mungu wa ukweli, analo jina lake hali, neno 'Mungu" ni cheo chake tuu ndio maana kuna miungu kibao, ili kufanyiwa miujiza kwa jina la Mungu, wote wanaotibu kwa jina la Mungu, au Bwana, wanatibu kwa kutumia jina la cheo tuu na sio jina halisi!, akasisitiza Shetani ndio amejidisguise na kulitumia jina la cheo cha Mungu, ila uishie hapo hapo kwenye kutaja cheo, bila kulitaja jina halisi la Mungu, hivyo shetani atafanya kila kitu ikiwemo hiyo miujiza ili kumake bilieve kuwa anayefanya ni Mungu!.

Jee tutajuaje kuwa miujiza hii ni ya shetani na sio ya Mungu?. Hii ni topi inayojitegemea!.

Pasco.

Kwa hiyo Pasco, Na wanaoponya kwa Jina la Yesu (in the name of Jesus Christ) nao wanaponya kwa nguvu za giza?

Hii imekaaje lakini?je, shetani anaweza kuufitini ufalme wake mwenyewe?

Ni kweli ukisoma Biblia Mathayo 24 ile sura yote inazungumzia huo mwisho utakuwaje, Yesu aliwaonya wanafunzi wake kwamba watakuja manabii wengi wauongo, nao watafanya miujiza na ishara kubwa kwa jina lake,

Tatizo ni jinsi gani unatofautisha?

Can you assist? hasa hapa kwenye utabiri, maana wengine wanatabiri vinatokea vyote (e.g T.B. Joshua) mfano anapoombea wanandoa wasiopata mtoto zaidi ya miaka 10, in a year time wale wanandoa wanarudi kutoa ushuhuda na watoto mikononi au mimba, ni nini ile, ni nguvu ya nani ile jamani natamani nijue
 
hahaa aitakuwa ni Gulf stream to hiyo ...mwe afadhali itokee tusiende kazini wikii nzima
 
Back
Top Bottom