Ajali mbaya ya ndege kutokea Tanzania soon

Kapatia, maombi yake yamesaidia kuondoa 'fatallity' ya hiyo ajali. KAKAJAMBAZI akifungua kanisa na kujiita 'Prophet KK Jambazi' atavuta wengi na kuwatoza 10% ya mapato yao naye atakuwa tajiri kwa muda mfupi maana Dunia ina homa kali.

Kazi kweli kweli. Teh teh teh
 
Wee sasa ni zaidi ya Shekh Yahy, Tunashukuru ATCL imeanguka Kigoma ila hakuna aliyekufha
 
pole na kazi Prophet Kaka Jambazi.. maombi yako na yana-JF tulio watiifu na milki ya BWANA wa Majeshi, yameepusha madhra makubwa ambayo yangetokea..
 
hiyo roho na hiyo ndoto ishidwe katika jina YESU..NAUFUNIKA KWA DAMU YA YESU USAFIRI WOTE WA ANGA,Hakuna usafiri wowote wa aga utakaopata ajari kwa Jina la Yesu.AMEN
Pole, yaelekea maombi yako hayakupata kibali toka patakatifu, kwani ajali mbaya kabisa ilitokea tarehe 10 Aprili 2015 kule Kigoma ambapo ndege ya Air Tanzania iliyokuwa ikiruka ilidondoka na kuharibika kabisa kiasi cha kutotengenezeka tena na kujeruhi watu kadhaa ingawa hakuna aliyekufa.
 
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuomba na kukemea nami, ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.

Wee sasa ni zaidi ya Shekh Yahy, Tunashukuru ATCL imeanguka Kigoma ila hakuna aliyekufha

Pole, yaelekea maombi yako hayakupata kibali toka patakatifu, kwani ajali mbaya kabisa ilitokea tarehe 10 Aprili 2015 kule Kigoma ambapo ndege ya Air Tanzania iliyokuwa ikiruka ilidondoka na kuharibika kabisa kiasi cha kutotengenezeka tena na kujeruhi watu kadhaa ingawa hakuna aliyekufa.

Huyu Jambazi ni hatari sana!!!!

Hawezi yaani amesema na imekuwa kweli. Kwani hii ajali ya ndege ya ATCL imekuwa ni janga la Taifa na hasara kubwa sana kwa Taifa. Sababu tulikuwa na ndege mbili na sasa tuna ndege moja tu. Nayo pia ni fufuka fufuka;

Ikilala na hii moja iliyobaki itabidi ichukuliwe ndege ya Rais ili ifanye kazi ya kusafirisha abiria.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Back
Top Bottom