Ajali mbaya ya ndege kutokea Tanzania soon

Imetokea mara mbili kwenye ndoto na wakati mwingine nahisi huzuni flani hivi nikiwa relaxed,mara ghafla mawazo ya ajali yananijia, usiku wa leo pia imetokea, baada ya kumaliza kukemea, niliwasha tv, nikakuta matukio ya ajali za ndege mbalimbali miaka 70s KLM, Panama etc, Nikajiuliza what a coincedance!!

Labda unaoneshwa ni kweli lakn sio Tanzania.inaweza kuwa ni ndege ya shirika kubwa na aitakuwa na waTZ huko.Tuombeni jamani sio kila kitu ni cha kupuuza na kubeza.
 
aliyekuwa mchawi mkuu wa serikali ya tanganyika na baadaye kubadilishwa jina na kuitwa tanzania yahaya huseini amefariki dunia leo tarehe 20 mai 2011.

Yahya aliingizwa kwenye system ya nchi na waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya tanganyika marehemu julius kambarage nyerere, baada ya kushauriwa na waganga wa kishenzi wa bagamoyo, kabla ya kupata uhuru wa tanganyika. Siku hiyo nyerere alizuru lango kuu la kuzimu la zazuni, bagamoyo alipokwenda kufanyiwa uganga. Yahaya alikuwa bado kijana mdogo aliyependwa sana na viongozi wake, na alikuwa na kipaji kikubwa cha mambo ya unajimu na ulozi. Yahaya akiwa ndani ya ikulu ya dar es salaam, alitengeneza jini aliloligeuza umbo na kuwa fimbo, yahaya kwa msaada ya lango la kuzimu la mustallah waliomba watengenezewe saa ya kijini pia ambayo, kama kuna jambo lisilokuwa la kawaida saa ilikuwa inabadilika rangi kwa ndani na kuwa nyekundu.

Nyerere ambaye kwa asili yake ya kabila la kizanaki, ushirikina ni jambo la kawaida na mara nyingi alikuwa akihudhuria matambiko yote yaliyokuwa yakifanyika kijijini kwake. Jina la kambarage ni jina la mzimu wa mvua, marehemu ndiye alikuwa kiongozi wa mzimu huo, na ndiyo maana aliamua aitwe jina la muzimu huo wa mvua, kambarage.

Yahaya akitumia ujuzi wake wa unajimu wa kuchukuwa kichawi nyota za watu zenye vipawa vikubwa, alimsaidia sana nyerere, baada ya kumpatia nyota ya utawala, kuongea kwa ufasaha na mvuto. Kwa kawaida kipawa chochote kutoka kwa mwenyezi mungu hasa kwa kiongozi, mtu unakuwa umekamilika kila idara, ndiyo maana leo hii ukisikiliza hotuba za nyerere, unabaki kushangaa, kama mtu huyu na mawazo kama haya alishindwa vipi kuyatekeleza kwa vitendo, wakati serikali yote ilikuwa chini yake na maamuzi yake mbona hayakuwa yanatekelezwa. Binadamu tunazaliwa na vinasaba vinavyofanana kifamilia kutoka mababu wa zamani na vinasaba hivyo huendelea kuridhiwa na watoto na wajukuu, ndiyo maana kwa bahati mbaya vinasaba hivyo havisikiki kwa watoto wake wala wajukuu.

Yahaya aliendelea na nafasi yake ya mchawi mkuu wa taifa baada ya uongozi wa nchi kuwa chini ya ali hasani mwinyi, majukumu makubwa ya wachawi ni kudidimiza na kuharibu maisha ya watu, hivyo kwa kutumia lango la kuzimu la mustallah la upanga, siku zote mipango yao ilikuwa ni ya uharibifu, ndiyo maana mzee mwinyi kila akijitahidi kubadilisha hali ya maisha ya wananchi, alikuwa akiishia kubomoa misingi ya uchumi wa taifa.

Yahaya baada ya kumudu kuwadhibiti watawala hawa, kuzimu walimpandisha cheo, na kuwa mkuu wa lango la kuzimu la mustallah. Nyumbani kwake mkwajuni kinondoni alichimba bwawa la kuogelea, lakini hiyo ni geresha, siyo bwawa la kuogelea, bali ni lango kuu la kuingilia kuzimu, ndiye mchawi pekee, kama anavyosifiwa wa afrika mashariki na kati kuwa na lango binafsi la kuingilia kuzimu. Usiku alikuwa akiingia ndani ya bwawa lake na kutambaa chini kwa chini ya ardhi hadi anaibukia juu ya lango la kuzimu la mustallah, upanga. Wachawi karibu wote hupaa angani kwa ungo, lakini mkongwe wa ulozi alikuwa anapasua udongo na miamba chini ya ardhi na njia inatokea.

Awamu ya tatu ya benjamin, aliendelea na cheo chake kile kile cha mchawi mkuu wa taifa, jukumu kubwa likiwa ni uharibu wa maisha ya wanadamu, kipindi hiki yalijitokeza mambo makubwa ya uharibifu huko kuzimu, na kafara kubwa kubwa zilitakiwa, kafara kubwa mara zote zinatakiwa damu za binadamu kunyamazisha kuzimu. Kumbuka ajali ya meli ziwa victoria, kumbuka ajali kubwa kubwa zilizomaliza maisha ya watanzania barabarani, kumbuka ajali za treni za abiria kila wakati kipindi chote cha utawala wa mkapa. mpango mkubwa ulioshindikana ni wa kuangusha ndege ya abiria ya precisios iliyokuwa inatoka mwanza kuelekea dar, kuzimu walishapanga mwezi, tarehe, siku na saa ya kuiangusha ndege hiyo juu ya soko kuu la kariakoo. Ilikuwa ni bahati mbaya sijui, ilikuwa ni bahati nzuri sijui lakini waliingia abiria wawili ndani ya hiyo ndege, abiria hao kuingia kwao ni baada ya abiria wengine wawili kuahirisha safari yao ya kwenda dar hivyo tiketi zao zikapatiwa ruhusa ya kusafiri na ndege hiyo, watu hao walijulikana kama walokole, ndege ilipofika katika anga na eneo la maafa, mitego ya kichawi iliteketezwa, kwenye ulimwengu usioonekana moto ulilamba wachawi waliokuwa wamejipanga na madumu ya kuchukulia damu, misingi ya kuzimu ilipasuka, tangu siku hiyo makafara yaliyohitaji damu yalipugua sana.

awamu ya sasa ndiyo aliwathibitishia watanzania kuwa yeye ndiye mchawi mkuu wa taifa, anayetoa ulinzi usioonekana. Kumbuka mwaka 2005 nyota ya kilozi ilivyokuwa iking'aa kwa kiongozi wetu, inashangaza nyota imefifia kwa kasi ya ajabu, haijulikani kesho itakuwaje. Uchumi wa taifa upo kitandani muhimbili, wananchi wamekosa matumaini makubwa baada ya ahadi kubwa kubwa walizopewa.

Ni lini taifa litapata viongozi wanaomuogopa na kumtegemea mwenyenzi mungu na kuzivunja laana hizi za kichawi zinazolitafuna taifa tangu mwaka 1961 ?

Je nafasi ya mkuu wa wachawi wa taifa itafutika, au ipo wazi kwa muda?


cheki hapo kwenye nyekundu...nawakilisha
 
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuomba na kukemea nami, ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.
wewe ni mjukuu wake marehemu shehe yahya hussein
 
hiyo roho na hiyo ndoto ishidwe katika jina YESU..NAUFUNIKA KWA DAMU YA YESU USAFIRI WOTE WA ANGA,Hakuna usafiri wowote wa aga utakaopata ajari kwa Jina la Yesu.AMEN
 
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuomba na kukemea nami, ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.


I am praying to my God-Jehovah, everything will be well....please say AMEN
 
Nafurahi sana JF wehu wengi huyo kapiga cha malawi!!

Wewe ndiye umepiga hicho kitu, mtoa mada katoa kitu ambacho kinaumiza mtima wake mara kwa mara, kama unaona amepiga kitu cha huko ulikosema, ingekuwa bora kama ungesoma tu na kusepa
 
Nakumbuka foretellers wa zamani walikuwa specific mwenzetu naona uko nusu!
 
GOD will keep us out of trouble instead of having to resque us from trouble!!
 
Bubu Msemaovyo na Kaka Jambazi, najua baadhi ya watu wasiojua mambo haya, watawaona kama machizi fulani, lakini sisi tunaoelewa tunaelewa mnazungumza nini.

Nyinyi wote wawili mna vipaji na vipawa vya kuona mbali, wenzetu wanaita, preamonition na precognition, kama manabii walivyokuwa na uwezo wa kujua yajayo. Ni watu wengi tuu wana vipawa/vipaji hivi ila hawajijua, ila wengine jambo likishatokea, ndipo wanakumbuka kuwa tukio kama hilo, waliwahi kuliona.

Wengine wanaonyeshwa tuu kama 'vissions', maono na wengine wanaonyeshwa ndotoni, ila hiyo ndoto inakuwa inajirudia rudia.

Hizo ni works of powers zinazoitwa "PSI", au "psychic" kila mtu anazaliwa nazo, ila kadri anavyokuwa, zinapotea kidogo kidogo, ila wengine Mungu anakuwa amewajalia kuzimaitain. Wale wanaoligundua hili mapema, wakizishapen, zinafanya wonders!.

Wenzetu wazungu wameshazifanyia research na ukigundulika unazo, wewe ni tajiri!. Haku kwetu wale wanaogundulika kuwa nazo, vibabu na vibibi, vinawawahi na kuwageuza au wachawi, au waganga etc.

Baadhi ya mashirika makubwa ya ndege, likiwemo British Airways, wamewaajiri watu kama hawa, ili kuzui ajali za ndege zake, hutakaa usikie BA imepata ajali!.

Nguvu hizi zinafanya kazi kwa kutumia "power of Mind", au "will Power" zimegawanyika katika makundi mbalimbali namiongoni mwake ni
Faith Healing-Kutibu kwa imani (wengi wakiita miujiza).
Demon Casting -kufukuza mapepo (watu wa dini wakiita kukemea, wasahili wakiita kupunga mashetani)
Telepathy-Kuwasiliana bila kuonana
Telepotation-Kuhamisha kitu bila kukigusa
Levitation- Kupaa juu na kuelea hewani.
Metal Bending-Kupinda vyuma bila kukigusa.
Precognition-Kutambua yajayo kabla hayajatokea.
Preamonition- Kutabiri yajayo
Clayvoyance-Kuzungumza na waliokwisha kufa ili kuuliza ulipo urithi etc (kiafrika kuzungumza na mizimu"
Dowsing-Kutambua mahali ardhini ambapo zimechimbiwa mali, maji au madini (Myahudi Uri Geller" ni tajiri mkubwa kwa kugundua yalipo mafuta au madini, na mkataba wake ni just 1% ya net profit).
Astral Travel- Kutembelea ndugu jamaa na marafiki bila wao kukuona (huku tunawaita wanga)
etc etc.

Etc, etc.
Topic hii ni ndefu, mimi nimesoma for leisure mambo haya na nina hazina kubwa ya vitabu kuhusu mambo haya. Nilipanga nikitulia, nimshauri mode aanzishe jukwaa rasmi la "Mambo Makuu ya Ajabu na Kweli" ili kuwabaini watu hawa na kuwasaidia ku channels hizo powers walizonazo through a good use!.

Angalizo: The deviding line between source ya nguvu hizo kama ni nguvu za Mungu au ni nguvu za giza, is very thin!. Mimi ni Mkatoliki na kuna vitabu nimesoma wanadai Katoliki ni demonics!. Kuna watu wenye nguvu za uoni nimewahi kuzungumza nao, wameniambia wachungaji karibu wote kuanzia Benny Hinn, T.B Joshua, Mwingira, Kakobe, Lusekelo, Rwakatare etc, wote wanatumia nguvu za giza kufanya uponyaji japo wanalitaja jina la Bwana!.

Mtu huyo aliniambia, kile kifungu cha Biblia Takatifu kinasema wazi "Omba Utapewa"!. Amesisitiza Mungu wa ukweli, analo jina lake hali, neno 'Mungu" ni cheo chake tuu ndio maana kuna miungu kibao, ili kufanyiwa miujiza kwa jina la Mungu, wote wanaotibu kwa jina la Mungu, au Bwana, wanatibu kwa kutumia jina la cheo tuu na sio jina halisi!, akasisitiza Shetani ndio amejidisguise na kulitumia jina la cheo cha Mungu, ila uishie hapo hapo kwenye kutaja cheo, bila kulitaja jina halisi la Mungu, hivyo shetani atafanya kila kitu ikiwemo hiyo miujiza ili kumake bilieve kuwa anayefanya ni Mungu!.

Jee tutajuaje kuwa miujiza hii ni ya shetani na sio ya Mungu?. Hii ni topi inayojitegemea!.

Pasco.

Mkuu Pasco, umeniacha hoi! Zaidi ya kuwa na imani iliyopitiliza (fundamentalism) nafikiri utakuwa na conspiracy between your soul na mtoa mada.

How can you live believing in dreams? Maonao, maajabu, etc has never been witnessed for the last decade hata huko alikozaliwa Yesu.

Ndoto na weather forecast vinafanana? TB katabiri kuna rais wa Africa atakufa, ila akatoa angalizo kwamba atamtaja wakati ukifika! Hapa kamlenga Muganbe na kile kibabu cha Africa Magh. Atapata pesa!
 
Hahaaaaa ha ha ha majibu yaliyomo humu yamenichekesha sana, teh teh tehe, mbavu zangu wee!!! Wana JF leteni ndoto zenu tufurahi!!!
 
Back
Top Bottom